Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

Status
Not open for further replies.
Kiza kinene sioni pa kupapasa

Baada ya kupitia baadhi ya comments kwenye uzi huu nimejikuta niko dilemma , sijui nini kinaendelea... Ila natumaini hakuna baya lolote litakalo tokea
 
Alitakiwa aende Uingereza akose michango AFE siyo
TL mjanja kakimbilia marekani kwa sababu kuna Watanzania wengi kule ambao wanamchangia pesa kwa sababu ufahamu wao uko chini sana, hathubutu kukanyaga nchi kama Wingereza ambako wapo Watanzania wabobezi na hawawezi kumchangia kibaka kama TL. Anakimbilia kwenye soft touch.
 
Nawashangaa kwa kumuombea mabaya binadamu mwenzio,hata kama unamchukia kiasi gani,lakn inapofkia kumuombea kifo,hapo utu unakuwa umekutoka....u become an animal or something far than that!

Wale jamaa "wasiojulikana" walompiga risasi Mhe.Tundu Lissu wakashangilia hivi walitaka AFE au walikuwa wakijifurahisha tu?
 
Kwakweli nchi inahitaji maombi makubwa sana wachawi wameanza kuroga watu mchana kweupe mbuzi anakula majani bila aibu,ramli zinapigwa kweupe bila aibu,
Jamani wachawi hawa wakiachiwa na ulozi wao wanaweza kuuwa watu au kudhuru kweupe.
Ni vyema kila mmoja kwa dini yake akaongeza maombi kulishinda hili kundi hatari la wachawi!
Ndo mjitafakari km mnapendwa au mnalazimishwa kupendwa!!!???

Watendeeni watanzania wema na sio kuwajutisha kwa makusudi kisha kujisikia raha kwa vile wavyoumia.Lione na Para lake, Bayaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom