nyaggad
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 1,160
- 694
Habari,wakuu!, Binafsi mi ni mpenzi sana wa movie ila kwa upande wa Bongo movie,nilikuwa na wapenda sana marehemu (Steven kanumba na sajuki),kusema ukweli hawa wasanii enzi za uhai wao walikuwa wanajitahidi sana kusukuma mbele gurudumu la Bongo movie,siwasifii kwa sababu wameshakufa ila ni kwa sababu walikuwa wanajitambua sana na kuthamini kazi zao,sisemi siku hizi hakuna wasanii wazuri,wasanii wazuri wapo wengi tu ila Tatizo wengi wamekosa "vision" ndio maana Tathinia ya Filamu nchini inaonekana kudumaa na kudorola,hali ambayo imepelekea baadhi ya watu kusema (Steven kanumba) amekufa na Bongo movie na wasanii wamebaki kuitupia lawama serikali haiwajali na haithamini kazi zao,ukweli kuhusu kudorola kwa Bongo movie nchini unatokana na sababu zifuatazo na sio serikali pekee kama wasanii wanavyodai.
(1)story mbovu,wasanii wa Bongo movie wengi story nzao mbovu za movie na hii inatokana na ubinafsi wao kujifanya wanaweza kufanya kila kitu pekee yao,kutunga story wao,kuigiza na ku Direct,huwa inakera sana movie ukiangalia mwanzo tu umeshajua hadi mwisho,wanaacha kununua story nzuri kwa watu wenye vipaji vya kutunga matokeo yake wanajitungia stori za kitoto ambazo hazina mvuto hata kidogo,Dunia sasa hivi kwenye movie imebadilika kwa hiyo hata watunzi wanatakiwa wajue Dunia inataka nini,sio kulilia serikali izuie movie za nje ili nyie mnufaike hata serikali ikizuia kuingiza movie za nje watu hawataangalia movie zenu zikiwa kama ni mbaya na hata hivyo kutokana na ukuaji wa teknolojia watu watazipata tu.kama huwezi kutunga story nzuri tafuta watu wenye vipaji kweli sio wababaishaji, wakupatie story nzuri.
(2)Ma Director wa bovu,Bongo ina ma director wa bovu sana na hii inatokana wengi hawajaenda shule,wasanii wengine hulazimisha ku Direct movie zao wenyewe matokeo yake huziharibu,huwa inakera sana unaangalia movie utafikiri unaangalia "Documentary",kama hauna shule ya udirector au kipaji ni bora uwaachie wanaojua.
(3) kutokuwa na umoja"wahenga husema umoja ni nguvu utengano ni udhaifu",kukosekana kwa umoja Wa Dhati wa wasanii wa Bongo movie kumeifanya hadi serikali kuchelewa kushughulikia kero zao.
(3)ELimu,wasanii wengi hawajaenda shule ya sanaa na hawapendi kusoma na sanaa ni maisha kila siku inabadilika, usipopenda kujifunza lazima upotee kwenye sanaa,katika Dunia ya Leo kama unataka kusoma kuongeza maarifa ya kipaji chako hususani sanaa ni rahisi Sana,sema Bongo sanaa watu wanaichukulia kama sio kazi ndio maana hawapendi kuongeza maarifa ili wawe bora zaidi,wasanii wengi kazi yao ni kutafuta Kiki tu na sio kuongeza maarifa ya sanaa ili wawe bora zaidi ndio maana Bongo movie inadorola.
Kwa Leo naishia hapo ila na mengi ya kusema nitayasema siku nyingine,kama unahitaji story nzuri za uhakika kwa ajili ya movie nitafute WhatsApp number 0719269820 nikikupatia moja ya story yangu ucheze movie!, lazima ufanye kazi nzuri,mimi sio kama watunzi vilaza wasiokuwa na ELimu, ubunifu wala vipaji na wasiojua mwelekeo wa movie Duniani kwa sasa.