Serikali ya Zanzibar inafurahia Watu wa Bara wanavyo nyanyaswa?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Salaam Wakuu,

Watanganyika Waishio au wanaofanya kazi Zanzibar tunanyanyasika sana.

Hatuna Uhuru wa kuabudu, kufanya biashara, kujumuika na Jamii.

Watu tunapigwa na kudhalilishwa. Mengi yanafanywa na Wateuli wa Rais wa Zanzibar.

Watu wa Bara hatuajiriki, hatumiliki Ardhi.

Wafanyabiashara wakipeleka ndizi zinazamishwa baharini eti zina Mahonjwa, lakini wakija bara wanazila na kusema tamu.

Hata kwenye Karata ukiwa unacheza na Zanzibar, anajiona kama kakaa na Mkoloni.

Wanadai wao ni watumwa kwa watu wa Bara. Eti watu wa bara ni wakoloni na Zanzibar watumwa.

Uchaguzi wa Zanzibar unasimamiwa na tume yao ZEC. Sisi Bara tunahusikaje?

NAWAPA ANGALIZO SERIKALI YA ZANZIBAR

1. Mkivunja Muungano mtateseka sana. Mfano sasa hivi Zanzibar hamna sehemu ya kuchimba Mchanga. Mnajenga kwa kutegemea Mchanga wa Bara

2. Zanzibar hamna mifugo, Nyama, Ndizi, viazi, Mchele mnategemea Bara

3. Zanzibar Umeme mnategemea Tames

Dar Es Salaam inajaa Wazanzibar, wakifukuzwa watakaa wapi? Jambiani?

Zanzibar hamna Wasomi labda Masomo ya Quran.

Hivyo nawashauri kaeni kwa kutulia na mjipendekeze kwa Tanganyika.

Rais Hussein Mwinyi anafumbia mambo Maovu ya Viongozi wake, anahisi akikemea watamnyima Urais na kumuita Kafiri.

Serikali ya Zanzibar inayo Unga Mkono Ubaguzi ijitafakari.

Wakristo, Wamasai, wana Uhuru wa kuishi popote.

Unanilazimisha kifunga, Mimi Mpagani, dini yako inanihusu nini? Niache niende motoni kwani Moto siuogopi. Wewe inakuuma nini mimi nikihukumiwa kwenda Motoni?

HILI NI ONYO.

Rais Samia asiingilie kati. Na kuanza kutuaambia sijui R4. R4 huku wamasai Watanganyika tunaonewa?
 
Sisi wa bara hatutaki kuvunja muungano kwa sababu muungano ndiyo unazuia Zanzibar kuwa Dola la Kiislam. Zanzibar ikiwa Dola la Kiislam watatuletea siasa za Kigaidi
 
Mimi ni Mkristo lakini kwa mwezi huu kuwa na stara ni muhimu sana sana, tusiwatie wenzetu kwenye majaribu?, Si dhambi, kula upendavyo lakini basi kwa faragha kidogo, tusifanye kazi za shetani kwa kuwajaribu wenzetu hawa katika imani yao.
 
Mtu Mweusi Mnyime Bangi na Cocaine kikubwa Mpe DINI!
Thats when the legend Philosopher said;
"Religion is an Opium of the people"
 
Mtu Mweusi Mnyime Bangi na Cocaine kikubwa Mpe DINI!
Thats when the legend Philosopher said;
"Religion is an Opium of the people"
Tatizo la bongo zetu kujaa upepo, wala huwa hatufahamu jinsi ya kutafakari mambo kwa kina, kabla ya mwaka 1600, bongo zetu zilifanana na empty flash discs, toka tumejazwa na kushindiliwa upepo
 
Mimi ni Mkristo lakini kwa mwezi huu kuwa na stara ni muhimu sana sana, tusiwatie wenzetu kwenye majaribu?, Si dhambi, kula upendavyo lakini basi kwa faragha kidogo, tusifanye kazi za shetani kwa kuwajaribu wenzetu hawa katika imani yao.
Wewe sio mkristo wewe ni mjinga mjinga ndio maana kila sehemu unaweka maoni haya haya…mtu kuwa muislam ni kuhakikisha wengine wanateseka? Sasa kama mtu anafung kula huyo hata haijui dini bali anabadilisha muda wa kula!

Rais mwinyi anaharibu zanzibar na utalii kwa ujumla Mwinyi mwanzo nilidhani ni kiongozi lakini hii inaonesha wazi si kiongozi ..
 
Mimi ni Mkristo lakini kwa mwezi huu kuwa na stara ni muhimu sana sana, tusiwatie wenzetu kwenye majaribu?, Si dhambi, kula upendavyo lakini basi kwa faragha kidogo, tusifanye kazi za shetani kwa kuwajaribu wenzetu hawa katika imani yao.

Watu wenye imani ya kweli hufarijika wanapozishinda dhamira na tamaa zao.

Wewe umeamua kufunga, mtu akila wakati unaona, kwani anakuwa amekuwekea chakula mdomoni?

Mwenye funga ya kweli hawezi kushindwa kuendelea na funga yake eti kwa vile amekiona chakula. Tena unaweza kuwa mfanyakazi wa hoteli, ukaendelea kuhudumia watu wanaokula, huku wewe ukiwa umefunga. Kama kuna mtu anashindwa kuendelea na funga kwa sababu amekiona chakula, huyo hajafunga. Ni mnafiki.

Huku bara, mbona sisi wengine tunasafiri na waislam waliofunga, mnasimama sehemu, mnaenda kula, yeye anabakia kwenye gari, na mkifika sehemu, muda wa futari umefika, anawaomba msimame ili apate chochote, nanyi mnamsubiria. Ina maana hao hawajafunga?

Wazanzibari waache unafiki, waache chokochoko. Kufunga siyo tukio la ajabu wala siyo la pekee kiasi kwamba uwalazimishe na wengine wafanye unachotaka wewe wakati nao wana imani zao. Huko ni kukosa akili, ni kukosa hekima.

Hii funga ya maonesho ni funga ya shetani. Anayefunga hasa, hana sababu ya kufanya matangazo wala kuwalazimusha wengine wafanye nini eti ili aweze kufanikisha funga yake. Unatakiwa ufunge ukiwa katikati ya mazingira halisi.
 
Salaam Wakuu,

Watanganyika Waishio au wanaofanya kazi Zanzibar tunanyanyasika sana.

Hatuna Uhuru wa kuabudu, kufanya biashara, kujumuika na Jamii.

Watu tunapigwa na kudhalilishwa. Mengi yanafanywa na Wateuli wa Rais wa Zanzibar.

Watu wa Bara hatuajiriki, hatumiliki Ardhi.

Wafanyabiashara wakipeleka ndizi zinazamishwa baharini eti zina Mahonjwa, lakini wakija bara wanazila na kusema tamu.

Hata kwenye Karata ukiwa unacheza na Zanzibar, anajiona kama kakaa na Mkoloni.

Wanadai wao ni watumwa kwa watu wa Bara. Eti watu wa bara ni wakoloni na Zanzibar watumwa.

Uchaguzi wa Zanzibar unasimamiwa na tume yao ZEC. Sisi Bara tunahusikaje?

NAWAPA ANGALIZO SERIKALI YA ZANZIBAR

1. Mkivunja Muungano mtateseka sana. Mfano sasa hivi Zanzibar hamna sehemu ya kuchimba Mchanga. Mnajenga kwa kutegemea Mchanga wa Bara

2. Zanzibar hamna mifugo, Nyama, Ndizi, viazi, Mchele mnategemea Bara

3. Zanzibar Umeme mnategemea Tames

Dar Es Salaam inajaa Wazanzibar, wakifukuzwa watakaa wapi? Jambiani?

Zanzibar hamna Wasomi labda Masomo ya Quran.

Hivyo nawashauri kaeni kwa kutulia na mjipendekeze kwa Tanganyika.

Rais Hussein Mwinyi anafumbia mambo Maovu ya Viongozi wake, anahisi akikemea watamnyima Urais na kumuita Kafiri.

Serikali ya Zanzibar inayo Unga Mkono Ubaguzi ijitafakari.

Wakristo, Wamasai, wana Uhuru wa kuishi popote.

Unanilazimisha kifunga, Mimi Mpagani, dini yako inanihusu nini? Niache niende motoni kwani Moto siuogopi. Wewe inakuuma nini mimi nikihukumiwa kwenda Motoni?

HILI NI ONYO.

Rais Samia asiingilie kati. Na kuanza kutuaambia sijui R4. R4 huku wamasai Watanganyika tunaonewa?
View attachment 2948050
Wakiristo tulieni. Kuleni ndani kama hamuezi ondokeni mpaka Ishe ramadhani. Mikwaju tu mkila nje. Ushindani wa chadema vs ccm mnataka kuuleta ktk dini?
 
TUWE WAKWELI, KWA ZANZIBAR HUWA KUNA WARNING MAALUM KWA WAGENI NA WATALII HASA KATIKA MWEZI HUU WA TISA WA KIISLAM WA RAMADAN, ZANZIBAR DINI IMECHANGANYWA NA UTAMADUNI, :-
Ramadan Etiquette on Zanzibar.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Don't eat or drink in public during the day during Ramadan. It's not against the law to eat in public, but it is considered polite, while so many people are fasting, to eat lunch privately or at a hotel where restaurants will remain open for foreign guests.
 
Mimi ni Mkristo lakini kwa mwezi huu kuwa na stara ni muhimu sana sana, tusiwatie wenzetu kwenye majaribu?, Si dhambi, kula upendavyo lakini basi kwa faragha kidogo, tusifanye kazi za shetani kwa kuwajaribu wenzetu hawa katika imani yao.
Wewe mkristo jina, ungejua wakristo pia hufunga na hawacharazi watu bakora usinge sema huu upagani.
Ukifunga huwezi piga mtu sababu kupiga mtu umeharibu funga.
Funga inayokubalika ni ile ya hiyari toka moyoni siyo ya kulazimishwa na kupiga watu. Mimi sikubaliani na funga ya shuruti. Nafunga na sitamani kula wakati usiokubalika katika dini.
 
Hii inadhihirisha ni namna gani hawa watu wasivyo wasitaarabu na hawana uvumilivu wa kidini...shetani ndo kiongozi wa dini yao.
 
Huu Muungano ni wa kipumbavu sana na hauna maana yoyote ile. Kwanini tunaung'ang'ania kiasi?
ccm ndiyo wanaulazimisha huu muungano wa kiwendawazimu! Sijui wanapata manufaa gani kwa Tanganyika kuendelea kuyalea majitu mazima kwa miaka 60 sasa.
 
Back
Top Bottom