spiritual

A spiritual practice or spiritual discipline (often including spiritual exercises) is the regular or full-time performance of actions and activities undertaken for the purpose of inducing spiritual experiences and cultivating spiritual development. A common metaphor used in the spiritual traditions of the world's great religions is that of walking a path. Therefore, a spiritual practice moves a person along a path towards a goal. The goal is variously referred to as salvation, liberation or union (with God). A person who walks such a path is sometimes referred to as a wayfarer or a pilgrim.

View More On Wikipedia.org
  1. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kuna kiwango chapesa huwezi kufikia bila kuwa na spiritual stamina

    Kuna kiwango chapesa huwezi kufikia bila kuwa na spiritual stamina yes Ni kweli. Kuna hatua za mafanikio ambazo akili, mikakati, na bidii peke yake haziwezi kukufikisha — unahitaji uthabiti wa ndani (spiritual stamina) unaokusaidia: Kuvumilia msimu wa giza — kipindi ambacho hakuna matokeo ya...
  2. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Spiritual warfare

    Katika hali ya kawaida kabisa kuna vitu vinatokea maishani mpaka Unashindwa kupata jawabu... Vita ya kiroho ni moja ya vita mbaya sana. It weakens the soul. Mwili na akili vyote hushindwa kupata jawabu because haziwezi ku detect. Kuna kipindi katika maisha yangu hasa katika ukuaji nilikumbwa...
  3. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Hakuna "Mimi" Wala "Wewe": Spiritual awakening(non-duality)

    Kabla sijaanza, nataka niweke wazi kuwa spiritual awakening si sawa na dini. Dini mara nyingi hutufundisha namna ya kumtafuta Mungu nje yetu, lakini spiritual awakening ni safari ya kujitambua ndani yetu. Si kuhusu kubadilisha dini, kuacha imani fulani au kuwa “mtakatifu”… bali ni kuanza kuhoji...
  4. O

    JamiiForums Kenya A Rare Spiritual Coincidence: Lent & Ramadan Begin Today

    Leo ni siku ya kipekee sana. Wakristo wameanza kipindi cha Lent, wakati huohuo Waislamu wameanza Ramadan. Coincidentally, both faiths are entering a sacred season of fasting, prayer, repentance, and reflection each in its own way, but with the same spirit. Ni kipindi cha kujinyima, kusaidia...
  5. Mallerina

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa spiritual life sogelea hapa

    Habari zenu Wana jf 🔴Ni Mimi peke yangu naogopa kuaga mwili wa marehemu au ni wengi wetu humu 🔴Leo nimeshangaa chakula cha msiba kimeshindwa kupita kwenye koo(wali nyama cabbage) Kuna baadhi ya mazishi nimehuduria ikiwemo Leo Kuna mambo flani nimegundua yanayotokana na Imani ya watu...
  6. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Spiritual laws you must respect they don't care if you believe them or not

    LAW OF RECIPROCITY - what you send out energy, thoughts and actions returns amplified. LAW OF AUTHORITY - spirits only respect those who knows they are. if you're confused they dominate. LAW OF RESONANCE - you attract what matches your vibration, purity =clear outcomes. LAW OF TIMING -...
  7. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Njia Ya Kuponywa ambayo watu wachache wanaiamini na wameona matokeo yake

    Tumezoea Kuona watu wanaumwa Na kutegemea Dawa sana Na wengine wanaenda kwa waganga kumbe wanaongeza matatizo Kwa Nguvu za Mungu hakuna lisilowezekana -Imani Kuwa na Imani na unapo sali Na pia Omba toba usamehewe dhambi zako Math 9:22 Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti...
Back
Top Bottom