Wassira: CHADEMA kufa ni Ngumu

Wassira: CHADEMA kufa ni Ngumu

Huyo dume la nyani haiwezi CDM!
Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.

Source Gazeti Jamuhuri
 
Hakuna haja ya kukifuta,cha kuangalia ni namna ya kurekebisha sheria inayompa madaraka msajiri wa vyama vya siasa kukubaliana na katiba za vyama zenye kuruhusu uwepo binafsi wa vyombo vya kulinda vyama hivyo kitu ambacho ni kinyume na katiba ya nchi.Hivyo basi kuifuta CHADEMA si suluhisho la kulekebisha sheria zinazopingana na katiba ya nchi,kikubwa hapa ni kwa msajiri wa vyama either kuruhusu vyombo vya ulinzi katika vyama au kuvifuta vyama vyote
vilivyokiuka katiba.
 
Huyo ndiye Rais wenu Mtarajiwa 2015.
Chadema mnajua jamaa kwa hoja na uwezo ni kiboko yenu.
Mtaisoma namba, WASIRA FOR PRESIDENCY 2015.
Mti wenye matunda hupopolewa mawe, Chadema mkiona mtu anawapinga matusi na kashfa ndio shughuli yenu.
Bahati nzuri wenye Akili timamu na tusiotumiwa kama nyie Tunajua kuwa WASIRA ni hazina kubwa katika Nchi hii na bila Mashaka ANATOSHA KULIONGOZA TAIFA HILI KAMA RAIS 2015.
Hapo najua mumenuna lakini UKWELI ndio huo!
UKWELI una kawaida ya Kuuma, ukitulia unakuwasha mpaka utajikuna tu.

Duh! JF haiishiwi vituko!
 
Wassira alifikiri ni rahisi kuimaliza CDM kama alivyoifanyia NCCR Mageuzi miaka ya 1990s mwishoni. Tunashukuru kama hatimaye ameanza kuelewa taratibu yamkini atasaidia kuwaelimisha pia vijana wake akina mwigulu, nape, jerry slaa, shonza, mwampamba na wengineo wenye mawazo hayo. Tunamtakia uzee mwema na maisha marefu ili aendelee kushuhudia utimilifu wa kauli yake!

Acha kucheza na Wasira wewe!
The man is strong and capable.
Wassira is the upcoming President via CCM 2015.
Kinachofanyika hapa ni majungu na Taarifa zisizokuwa na vyanzo sahihi, coz Wasira yuko Bunda jimboni kwake anahudumia wapiga kura wake, hayo umeyatoa wapi?
 
Watajutia ole wao wanaoingia mknge wa hawa MAFIA wa CHADEMA.

Bora nijiunge na hawa mafia kuliko hawa wezi na mafirauni ... wanauza mpaka wanyama wetu nje ili wazungu wasije kututembelea tena kwa ulafi wao...
wewe chagua moja..
A) wezi na mafisadi, walafi, wanyang'anyi, wabinafsi na matapeli(CCM)
B) watetea wananchi, wahuni na mafia( Chadema)
mi na wenzangu tumechagua B.
 
Kufutwa kwa CDM ni sawa na kukaribisha mapinduzi kwa serikali ya CCM. People's Power
 
Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.

1002316_555828297812696_2004089766_n.jpg
 
Hakuna haja ya msajili kukifuta,matendo na kauli za viongozi wake zitaiondoa kwenye uwanja wa siasa
 
Hao sio wanaccm ni wachumia matumbo yao na bado walifikiri pesa inaweza kununua kila mtu mwakani nimejitolea bila kulipwa na mtu yeyote nitasimamia kituo kimoja pesa yangu wawape vijana wa redbrigade
 
Uzushi unaoenezwa hapa JF huwa ni wa kisiasa ili kuwachafua viongozi waadilifu ambao mismamo yao haifanani na cdm, mODS kauli hii HAINA UKWELI WOWOTE maana hiyo source haina Taarifa hiyo, pia mleta mada anatamani may bekusikia kauli ya Mhe. Wasira kitu ambacho ni adimu na ghali kwake.
WASIRA,MWIGULU,NAPE na wengineo wataendelea kutesa mioyo ya cdm mpaka basi.
 
Duh, siku hizi kuna mamluki kibao humu JF!
There are currently 552 users browsing this thread. (56 members and 496 guests)
 
Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.

Source Gazeti Jamuhuri

Ndomana Tendwa anaongea ongea sana mara oh kwa hili la Red Brigade CHADEMA nitaifuta mara etc. Kumbe wanamshawishi! Sasa kama ndo hivyo, wana CCM msijitambe kua chama chenu ni cha kidemokrasia kama kila siku mnakaa na kubuni njia ya kuviangamiza vyama vya upinzani haswa kile mnachoona kinakubalika kwa wananchi CHADEMA.
 
Uzushi unaoenezwa hapa JF huwa ni wa kisiasa ili kuwachafua viongozi waadilifu ambao mismamo yao haifanani na cdm, mODS kauli hii HAINA UKWELI WOWOTE maana hiyo source haina Taarifa hiyo, pia mleta mada anatamani may bekusikia kauli ya Mhe. Wasira kitu ambacho ni adimu na ghali kwake.
WASIRA,MWIGULU,NAPE na wengineo wataendelea kutesa mioyo ya cdm mpaka basi.
Mwadilifu ni nani Wasira ambaye alihukumiwa na mahakama 1997 kuwa mtoa rushwa hivyo akazuiwa hata kugombea ubunge kwa miaka mitano akawa muuza sangara Namanga huku akijipendekeza kwa JK na alipofunguliwa 2005 akagombea kwa rushwa tena akahonga mpinzani wake aka pita bila kupingwa kwa ujumla ni mla rushwa aliyekubuhu,sijui unabishana hata na hukumu za mahakama kuu bila kukata rufaa!? Inji hii inauzwa na majitu majinga kama wewe
 
Back
Top Bottom