Wassira: CHADEMA kufa ni Ngumu

Wassira: CHADEMA kufa ni Ngumu

Awaambie wakubwa zake warudishe fedha zetu walizo ficha Uswiss!!! Vinginevyo asubiri mwisho wake.
 
Ndo maana alifichwa ujio wa OBAMA-mawazo yake ya kiporiporiiii
 
Sisi watanzania tuendelee kula crumbs kwa amani na mshikamano. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.

wanatumia uvumilivu wetu kama ngazi ya kuchuma na kula keki ya taifa
 
Kula makande yalotiwa karanga inaleta usingizi sana!hebu tupieni picha hapa tufanye analysis wakati anaongea macho yalikuwaje?kope za juu zilikuwa bado zipo juu,au zimeshuka nusu jicho,au zinashukaaa halafu mic ikipulizwa na upepo ikanguruma zinapanda ghafla juu,baada ya muda kukitulia zinaanza kushuka tena taratiibu..ah si unaona nishaanza observation kabla ya kuanalyse na kupostmoterm..aargh!nisameheni nimeamka asubuhi nimekuta viroba viingi pembeni ya kitanda najaribu ku-do research nani kavinywa...hikh..hikh..aah,kumbe mimi!basi tunakwenda sawa na huyu babu yangu,tofauti yetu yeye anatumia alternative dosage but results are the same,kubwabwaja ovyo! hebu ni-logout!
 
Afadhali ameshaona kuwa ni vigumu kukiua.Kama huwawezi juinge nao,huu ndio ustaarabu.
 
Gombeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
jamuhuri kwani mnamjua vema mhariri wa hili gazeti should be in dust bn.
 
chadema haiwezi kufa kwa sababu wachaga wapo chadema na wachaga damudamu.
 
sijaona kitu kikubwa sana kwa chadema iwepo au isiwepo ni yaleyale tu hawana sera zozote za maana.
 

:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:Mh Wassira kaona mbali ....Chupa yao ya Madaraka Wine (MVINYO) yaelekea kwisha 2015....!:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 
Huyo ndiye Rais wenu Mtarajiwa 2015.
Chadema mnajua jamaa kwa hoja na uwezo ni kiboko yenu.
Mtaisoma namba, WASIRA FOR PRESIDENCY 2015.
Mti wenye matunda hupopolewa mawe, Chadema mkiona mtu anawapinga matusi na kashfa ndio shughuli yenu.
Bahati nzuri wenye Akili timamu na tusiotumiwa kama nyie Tunajua kuwa WASIRA ni hazina kubwa katika Nchi hii na bila Mashaka ANATOSHA KULIONGOZA TAIFA HILI KAMA RAIS 2015.
Hapo najua mumenuna lakini UKWELI ndio huo!
UKWELI una kawaida ya Kuuma, ukitulia unakuwasha mpaka utajikuna tu.
 
wangemrushia Ndizi waala hayo yote asingeyabwatuka...
Angekuwa bussy kuipeleka pwani
 
Atakufa yeye kwanza,itafuata CCM yao then CHADEMA itaendelea kudunda.
 
Sasa hivi karibu kila Mtanzania anajua nguvu ya CDM hata wale diehard CCM.
 
Wassira alifikiri ni rahisi kuimaliza CDM kama alivyoifanyia NCCR Mageuzi miaka ya 1990s mwishoni. Tunashukuru kama hatimaye ameanza kuelewa taratibu yamkini atasaidia kuwaelimisha pia vijana wake akina mwigulu, nape, jerry slaa, shonza, mwampamba na wengineo wenye mawazo hayo. Tunamtakia uzee mwema na maisha marefu ili aendelee kushuhudia utimilifu wa kauli yake!
 
Naona mnaanza kukiri kwa vinywa vyenu kwamba hata Kanda ya Kati, Chadema inakubalika. Ni bado wewe pekee maana huenda mkeo ni Chadema kwa siri. Wanao ndo usiseme kabisa!!

Mkuu mtaishia pande hizo tu kwa sababu wengi wamevurugwa hawaelewi kabisa. Arusha mtakufa kwa ujinga wenu.
 
Back
Top Bottom