Wassira: CHADEMA kufa ni Ngumu

Wassira: CHADEMA kufa ni Ngumu

1002316_555828297812696_2004089766_n.jpg
 
Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.

Source Gazeti Jamuhuri
[MENTION][MENTION][/MENTION][/MENTION]

Hivi zile dawa za usingizi alizomezaga hazijaisha kichwani nini? wakati anasema hayo alikuwa amekaa au amesimama?
 
hivi watu wa Bunda ndio mwisho wao wa kufikiria wakamchagua huyu kuwa mbunge wao kweli Bunda hakuna watu
 
Wassira naye utabiri wake kama wa mamlaka ya hali ya hewa tu, wanatuambiaga kutakuwa na mvua kali na upepo badala yake kunakuwa na jua kali na vumbi, Wassira katabiri CDM inakufa matokeo yake CCM ndio ipo hoi........Pole Mzee Wassira naona ushapagawa na sasa hujui unaongea nini, JK aliwaamini wewe na Mwigulu kuwa nyie ndio mwiba kwa CDM kumbe loh! hamna lolote zaidi ya kelele tu.
 
Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.

Source Gazeti Jamuhuri

Hizo ndio shortcut zao, Ingekuwa binadamu si inamaana wao ndio watesaji, wanyanyasaji, watoaji viungo na ndio wauwaji wa watanzania?
 
Acha kucheza na Wasira wewe!
The man is strong and capable.
Wassira is the upcoming President via CCM 2015.
Kinachofanyika hapa ni majungu na Taarifa zisizokuwa na vyanzo sahihi, coz Wasira yuko Bunda jimboni kwake anahudumia wapiga kura wake, hayo umeyatoa wapi?

That 'Wassira is the upcoming president via CCM 2015', is not only a redicule to Tanzanians but also even to CCM members and supporters. If this is the 'best' candidate CCM can provide for presidency let alone campaigning for him, then I can assure you of a landslide (read earthquake) loss to CCM and off course a victory to the opposition. In short, he is one of the political failures I have known for some decades now!
 
Chadema oyeeee, mmoja mmoja anaanza kushtuka kuwa chadema sio chama cha kufa leo wala kesho. Ccm kimezeeka na sera zao
 
Nauliza tena hivi CCM hamna mwenye akili hata MMOJA....Hoja ni kuifuta CDM au CCM kubadilika na kutekeleza ahadi ili kuleta maaendeleo yanayoonekana......ivi Arsenal IKIFUGWA na MAn u....Unaifuta man u au ARSENAL inajiimarisha.....Hakika CCM kuna wapumbavu wengi sana...
 
Mwadilifu ni nani Wasira ambaye alihukumiwa na mahakama 1997 kuwa mtoa rushwa hivyo akazuiwa hata kugombea ubunge kwa miaka mitano akawa muuza sangara Namanga huku akijipendekeza kwa JK na alipofunguliwa 2005 akagombea kwa rushwa tena akahonga mpinzani wake aka pita bila kupingwa kwa ujumla ni mla rushwa aliyekubuhu,sijui unabishana hata na hukumu za mahakama kuu bila kukata rufaa!? Inji hii inauzwa na majitu majinga kama wewe

Kama unakumbuka vizuri Wasira alikuwa anagombea na Waziri Mkuu kipindi hicho Jaji Joseph Warioba, Tuhuma za Rushwa zilikuwa za kutengenezwa, ndo maana kesi ilikuwa kisiasa kuliko sheria ilivyokuwa.
Pamoja na hayo ni Wabunge wachache kama sio hakuna waliowahi kuwang'oa Mtu kama Waziri Mkuu, Wasira is Strong since he was young /Junior in different position he held.
With this reputation and many others he can strongly become the Presidential candidate by 2015 VIA CCM.

PERIOD.
 
Hakuna haja ya kukifuta,cha kuangalia ni namna ya kurekebisha sheria inayompa madaraka msajiri wa vyama vya siasa kukubaliana na katiba za vyama zenye kuruhusu uwepo binafsi wa vyombo vya kulinda vyama hivyo kitu ambacho ni kinyume na katiba ya nchi.Hivyo basi kuifuta CHADEMA si suluhisho la kulekebisha sheria zinazopingana na katiba ya nchi,kikubwa hapa ni kwa msajiri wa vyama either kuruhusu vyombo vya ulinzi katika vyama au kuvifuta vyama vyote
vilivyokiuka katiba.

Robert ni kifungu gani cha Katiba ya nchi kinavunjwa kwa kuanzisha kikundi cha kujilinda (siyo Jeshi)? Maana tunaona vijiji vyetu vina sungusungu na sijawahi kusikia wamevunja Katiba.
 
Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.

Source Gazeti Jamuhuri
Tuwekee taarifa kamili kama ilivyoandikwa kwenye gazeti - maana yawezekana umenukuu vibaya!
 
That 'Wassira is the upcoming president via CCM 2015', is not only a redicule to Tanzanians but also even to CCM members and supporters. If this is the 'best' candidate CCM can provide for presidency let alone campaigning for him, then I can assure you of a landslide (read earthquake) loss to CCM and off course a victory to the opposition. In short, he is one of the political failures I have known for some decades now!

Give evidence in evidences on your argument.
Provide Statistical note on the red above b4 I can Prove you folly.
 
Maskini mzee wasira CHADEMA ni mipango wa mungu, CDM haitakufa kwa mpango wasira, nape, mwingulu wala ccm.
tupo na MUNGU muda wote
 
That 'Wassira is the upcoming president via CCM 2015', is not only a redicule to Tanzanians but also even to CCM members and supporters. If this is the 'best' candidate CCM can provide for presidency let alone campaigning for him, then I can assure you of a landslide (read earthquake) loss to CCM and off course a victory to the opposition. In short, he is one of the political failures I have known for some decades now!

Sifa za Wasira ni adhimu miongoni mwa Wagombea urais kupitia CCM na hata Dr.Slaa anajua kibarua kitakuwa kigumu kwa upande wa CHADEMA.
Wewe ni nani kuliko Lowasa anaeogopa?
We ni nani kuliko Dr.Slaa anayehofia ?
 
Back
Top Bottom