Nzuguni one
JF-Expert Member
- Dec 23, 2019
- 1,160
- 487
Anazeeka vibaya mzeeee, sasa wakifute
Hii kali
Anazeeka vibaya mzeeee, sasa wakifute
Hii kali
Sasa hivi ndio wanakaribia kukifuta kwa kutumia ushauri wa WassiraHatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.
Source Gazeti Jamuhuri
Hatimaye waziri wa Jk bwana Stephen Wasira kakili kuwa CHADEMA haiwezi kufa kirahisi na CCM wasibweteke na kudhani kitakufa kama walivyopanga huko nyuma na kuwaomba waangalie njia mbadala ikiwemo kumshawishi msajili wa vyama vya siasa kukifuta.
Source Gazeti Jamuhuri