Wasichana na tabia ya kuchagua wanaume warefu

Wasichana na tabia ya kuchagua wanaume warefu

Nyie mbona mnachaguaga wasichana? Mara hamtaki flat screen, mara vimiguu kama njiti mnawasumbua wadada hadi wanaweka matako fake na kujichubua. We kama umekataliwa kisa mfupi kausha tu kama mnaowaita flat screen wanavo kausha. Wala hawaji huku kulalamika.
Nani amekwambia mi mfupi???
Alafu mbona kwenye hela hamchagui?? Mnapokea hadi hela za vijihomolo
 
Hahahaaaa! Kuwa mpole, mchezo hauhitaji hasira bwana mdogo.
Sio kosa lake naye ana chaguzi zake kama wewe unavyochagua utadhani uliwaumba.

Acha apate kitu roho inapenda.
Hela za watu wafupi mnapokea...
 
Kila mtu na utashi wake. Wengine wanapenda warefu, wengine wafupi. Wengine wanene, wengine wembamba. Wapo wanaopenda weupe na wengine weusi.

Uhuru wa kuchagua
ndio maana ake.

tena wanaume hatupendi wanawake wafupi maana wana wivu hawajiamini. kila wakati wanahisi sijui nini.

niliwahi kuwa na mdada mfupi aisee alinisumbua mpka basi. yaani kero.

ki ukweli kuwa na mwanamke mfupi ni changamoto kubwa sana.

vivyo hivyo hata wadada nao wanasema kuwa na mwanaumme mfupi ni changamoto kubwa wanasema hawajiamini kila wakati wahisi kusalitiwa.

ki ukweli mwanamme au mwanamke mrefu wanajiamini. ukiwa na msichana hakika anajiamini.( mimi ni mwanamme mrefu) najiamini sana. kuanzia kuongea mpka kutenda
 
"Sasa swali ni Je, aliyekwambia wanaume warefu wanataka mwanamke mfupi ni nani? Mbona babako na wajomba zako wafupi lakini unaishi nao, wakatae na hao. We mwenyewe mfupi kama sinia la njegere halafu unaleta sheria za Uarabuni zitumike Vatican"

Nimependa hapo
 
Mkuu mbona wanaume huwa tunaweka vigezo pia kuwa tunapenda wanawake labda wenye mikia...au wenye nywele za asili na sio mawigi.

Tumwaache kila binti aangukie kwa mwanaume mwenye sifa anayotaka...kupanga ni kuchagua.
 
Hahahahah...
 
Mbona hela za watu wafupi hawazikatai?
 
Relax Bro, work hard double Shillings, wala haiitaji hasira.. Wanawake ni urith wetu...
 
Tena na Mimi wananikera kweli, mademu wa Kibongo wana maujinga sana, tena hako kanakotaka tall utakakuta kenyewe kafuuupi kama kimba la Asubuhi. Oh mm nataka Handsome Boy, wakati baba yake ana sura kavu kama ngozi ya goti. Mashauzi ya kumwaga wakati k yake maji matupu. Na kitandani kama gogo la mnazi.
Sio hvyo jamani, mtu Kama Mimi nilivyopanda hewani kwa urefu unipe mfupi unanionea[emoji28]
 
Back
Top Bottom