Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,903
Game changer 🤣🤣🤣😂 michezo wamempa karismatiki fella
Game changer 🤣🤣🤣😂 michezo wamempa karismatiki fella
Hana pakutokea hata ashindanishwe na I'd zisizotumika.🤣🤣🤣 asingechomoka hapa aisee. Na alikuwa analalamika baadhi ya post zake za KATAA NDOA walikuwa wanazifuta
Huyu jamaa ana mbwembwe sana 😂Game changer 🤣🤣🤣
Naunga mkono hojaHizi sio tuzo za kuponda waalimu
Laana za walimu zimemkosesha ushindiKumwacha mpwayungu village nimekosa raha kabisa, sina amani moyoni mwangu walah [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Sawa babu yake Leniemimi sio "mkuu"... mimi ni babu
Jwa sababu umeamua kuilinganisha mbingu na ardhi
Hamkutoa fursa kwa baadhi ya majukwaa kushindaniwa, au kulikuwa na majukwaa mahsusi tu?Habari wana JF,
Jamii Forums inatambua mchango wa wanachama wake walioshiriki mijadala vizuri kwa mwaka 2022. Mchakato huo ulikuwa wa wazi na shirikishi. Kwa mujibu wa kura zilizopigwa hapa jukwaani washindi wetu ni kama ifuatavyo.
Jukwaa Mshindi Kura Jokes 47% Kilimo na Uvuvi 68% Technology 93% Celebrities 28% MMU 69% Siasa 49% Michezo 49% Afya 58% Garage 40% Lugha 56% Elimu 54% International & Kenyan 62% & 83% Historia No competitor Photos & Habari na Hoja & Intelligence 83% & 50% & 32% Biashara na uchumi 42% Chef No competitor Sheria No competitor Entertainment 82%
Kwa wote ambao wametajwa katika orodha hii, mnaomba kuingia inbox ili kujua utaratibu wa kuchukua zawadi zenu Mtapokea ujumbe kutoka kwa ID official ya JamiiForums.
NB: Utaratibu wa kuchukua tuzo hautahusisha kufichua utambulisho wa mwanachama yeyote.
Hongereni sana.
Saana aisee na akisimamia kwenye msimamo wake hakuna wa kumbadilisha 😅Huyu jamaa ana mbwembwe sana 😂
Halafu jukwaa la Jobless likasahaulika kuwekewa member wa kupigiwa kura.Hongera Genta japo
Nimeumia sijamwona mpwayungu kwenye list
😀😀Hebu waache😀View attachment 2563719
Hao wote ni Eye witnesses wa operation Sangara ( Kataa Ndoa) UNafkiri mwenyekiti angetoboa kwenye hz tuzo huku na wao wanaowaza ndoa.
Ni mbishi sana yeye ndie maana halisi ya ubishi, ukiingia nae ligi unapaswa ujipange 😂Saana aisee na akisimamia kwenye msimamo wake hakuna wa kumbadilisha 😅
Tumwachie Mungu [emoji120][emoji120][emoji120]Kumwacha mpwayungu village nimekosa raha kabisa, sina amani moyoni mwangu walah [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kama nimekuona hapo.😀😀Hebu waache😀
AahahaaTumwachie Mungu [emoji120][emoji120][emoji120]