ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
Unanikumbusha jamani daaaaa Warumi hayuko tena duniani
Unanikumbusha jamani daaaaa Warumi hayuko tena duniani
Kwenye emoji za vicheko@Extrovert umemuweka wp
🤣Kwangu wote nawapa 100%Huyo jamaa na raraa reree ni sawa na Coastal Union Vs Barcelona. Hapa najua atanigongea Like lazima. Labda kama kadedi jana
Amepata mrithi sahihi
Hawa ni kina nani jombaa... Naona kuna ka-Utukufu wa Mungu sehemu fulaniView attachment 2563719
Hao wote ni Eye witnesses wa operation Sangara ( Kataa Ndoa) UNafkiri mwenyekiti angetoboa kwenye hz tuzo huku na wao wanaowaza ndoa.
Wewe mbinguni utaenda kudeki vyoo vya watakatifu🤣Kwangu wote nawapa 100%
🤣🤣🤣 asingechomoka hapa aisee. Na alikuwa analalamika baadhi ya post zake za KATAA NDOA walikuwa wanazifutaView attachment 2563719
Hao wote ni Eye witnesses wa operation Sangara ( Kataa Ndoa) UNafkiri mwenyekiti angetoboa kwenye hz tuzo huku na wao wanaowaza ndoa.
HahahaaTufe na jukwaa la michezo, tubeti
Kwanini mkuu?Wewe mbinguni utaenda kudeki vyoo vya watakatifu
Umezeeka sasa utukufu ulio uona ni tiketi ya kifo.Hawa ni kina nani jombaa... Naona kuna ka-Utukufu wa Mungu sehemu fulani
Halafu huyo Half american ndo nani babuWewe mbinguni utaenda kudeki vyoo vya watakatifu
Hongera Genta japo
Nimeumia sijamwona mpwayungu kwenye list
😂 Michezo wamempa karismatiki fellaHahahaa
Kweli aisee acha tuishi humo, tuzo zetu sisi tunapokea kwa kanji.
Mimi sio "mkuu"... mimi ni babuKwanini mkuu?