Pukudu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 3,157
- 2,268
Jamiiforums siyo blog mkuu. JF ni forum
Mbona sasa zilishindanishwa katika category Moja??
Jamiiforums siyo blog mkuu. JF ni forum
Hivi mkuu una akili kweli wewe? Jamiiforums ni blog hadi iwepo kwenye category? Kwel watz tuna IQ ndogo sana
Mkuu! BBC ni kituo cha habari ambacho kipo nje ya Tanzania na Africa, lakini wana ofisi zao hapa Tanzania muda mrefu sana, tena kwa taarifa yako, ofisi kama majengo yao binafsi zilizinduliwa mwaka jana na katibu mkuu mstaafu wa AU, Salim Ahmed Salim. Ukibisha hapa nitakushangaa sana.
Wameona diamond hana mpinzani mkuu so wameamua kumbebabeba kiba wakidhani ndo atakuwa mpinzani wa diamond
Wizkid nadhani ulimuweka ww labda" alikuwepo Sarkodie tu ambaye yupo tena mwaka huu huyu pia ashawahi kuchukua hii tuzo. Ye ndo anabahat na tuzo hizi ni best Rapper in africa. Toofan, Mafikizolo, Tiwa savage, Davido ndo walikua na diamond last year
Nimepiga sana sana just like 20 times mana zilikua kura kichaa zile unapiiga tu uwezavyo ukipata bando.
We hujui kitu tulia. Kama unafatiliza tuzo za BET ni ngumu kwa msanii kutoka african best act kuchaguliwa mara 2 mfululizo" angalia ambao diamond alichaguliwa nao last year kama kuna hata mmoja yupo tena. Lakn kwan wameshuka hapana. Bt unaweza ukarud kuchaguliwa tena by next year kama alivyorudi WizKid au Sarkodie ambao waliwahi kuchukua huko nyuma.
Hivi kibaya kinapendwa? Kichwa unafugia nywele tu.
Yani wamezingua kinoma. Eti Nani kama Mama ndo video bora. Hv wanajua video bora. #Xo ya Joh ndio video yenye viwango inapigwa na Tv stations kibao kubwa africa. Wema kabaki wema wa Instagram tu kazi hamna. Papasa sijui papasi sijawahi hata kukisikiliza icho kipindi. Wamechemsha
Sio tuzo za kujaza ukumbi mkuu ni tuzo za wasanii wanaopendwa mashabiki wa diamond wanafiki wote wanampenda kwa maneno tuu ndio maana kura zake hazijatosha
Matumbo punguza ushabiki, hakuna category ya muigizaji bora wa kike bali muigizaji anayependwa zaidi wa kike, watanzania tumieni akili kuchambua mambo.
Hivi nyie kila tuzo zimekuwa mbaya kwenu, Tuzo za watu hazifai, KTMA hazifai, BET hazifai hahahhaha basi tunawashauri anzisheni tuzo zenu ili mpeane huko kwenu kama tuzo za H baba
km hvTeam daimond mmepanick nini???
Muwe mnapiga kura
Kupokeleqa na utitiri wa watu hakusaidii kama hampigi kura
Hata mjaze uwanja wa taifa kama hampigi kura haina maana
Muulize Boss wako Diamond alikuwa anampendea nini Wema? Na followers wa Wema wanampendea nini? Hivi mpaka mashabiki wake wameanzisha Team Wema bado unamuona hana influence kwa watu anaofanana nao akili?
Hilo suala ndo mnalijua mwaka huu baaada ya msanii wa kimataifa kukosa tuzo?
Wewe kilaza hapa tunazungumzia tuzo, kama unataka kuzungumzia mapenzi ya watu wasubiri wenzio muanzishe uzi.. Ushaniona ata siku moja umu najadili mapenzi ya yoyote? Mwanaume unakuja hapa na hoja ya Diamond alimpendea nini Wema!
Kama ni tuzo aliwekwa kama muigizaji, na alipigiwa kura kama muigizaji.. Ndio maana nikauliza 2014 alicheza movie gani akapendwa?
km hvWengi wanaolalamika hata kula hawakupiga
poleeeeeeeeeeeOoh yaan ww et bet wamechaguliwa wakenya tu ww unafatilia bet wapi we ongelea mambo ya Ktma bet nyamaza sasa ngoja nikuambie kwny bet kuna mtz anaitwa Millen magese anatuzo yke ya international global good award recipient huyu millen ndo yule happiness magese aliwahi kuwa miss Tanzania so sio Kenya tu hata tz tupo tena yeye ana haja ya kupigiwa kura iyo tuzo ipo tayari kwajili yke
mmefanya hii kitu au? @nifah
umeona eeehhhhAchana nao kura hawapigi wana kazi ya kulia lia hapa.
Hahahahaha, nimecheka sana watu wanavyotokwa povu.
umeona eeehhhh
acha wawaye waye hapa
wao tuzo hz si saizi yao
hizi tuzo zinaitwa tuzo za watuWema ameigiza movies gani hadi apendwe au ni tuzo za mtu anaeandikwa sana na Shigongo.
Hivi leo ukiitisha show kati ya kiba na Diamond mkoa wowote Tanzania nani atajaza ukumbi.
hizi tuzo ndio zinazomfanya Diamond zaidi kuwa juu na ajitume zaidi.
Juzi Diamond kafunika London wakati wengine hupigia show kwenye sebule za wabongo huko majuu
Jana kapokelewa kama Mfalme Mwanza, na Bado Mond atazidi kuwacharaza bakora tu
wameona diamond hana mpinzani mkuu so wameamua kumbebabeba kiba wakidhani ndo atakuwa mpinzani wa diamond
Hivi Wema kaigiza filamu zipi mwakahuu na mwakajana?
Hakuna tuzo hapo ni ujanja ujanja.. Tangu walipozitoa video za Mdogo Mdogo na Ntampata Wapi eti kwa kigezo zimefanyiwa South Africa nikazitoa maana hizi tuzo... Kama unakataa kuishindanisha video kwa kuwa imefanyiwa nje ya nchi, inakuwaje unamshindanisha Mtangazaji anaefanyia kazi yake kituo cha nje ya nchi na wa ndani ??.
Eti papaso ndio kipindi kinachopendwa duh.. Mtu ajawai kucheza movie ata moja ndani ya mwaka 2014 ila anakuwa muigizaji bora wa kike mwaka 2014.