Washindi wa "Tuzo za watu"

Washindi wa "Tuzo za watu"

Hakuna tuzo hapo ni ujanja ujanja.. Tangu walipozitoa video za Mdogo Mdogo na Ntampata Wapi eti kwa kigezo zimefanyiwa South Africa nikazitoa maana hizi tuzo... Kama unakataa kuishindanisha video kwa kuwa imefanyiwa nje ya nchi, inakuwaje unamshindanisha Mtangazaji anaefanyia kazi yake kituo cha nje ya nchi na wa ndani ??.

Eti papaso ndio kipindi kinachopendwa duh.. Mtu ajawai kucheza movie ata moja ndani ya mwaka 2014 ila anakuwa muigizaji bora wa kike mwaka 2014.

Kelele cha chura
 
Ameimba wimbo gani huyo Happy?

Amefanya kazi za kusaidia jamii. Na alivyoshare story yake ya endor... nn sijui desease"kua hana uwezo wa kupata mtoto. Story yake ime touch sana watu weng all around the world na movements through ha foundation aliyoianzisha itasaidia wanawake wengi kupata dawa au solution ya hili tatizo.
 
Mkuu! BBC ni kituo cha habari ambacho kipo nje ya Tanzania na Africa, lakini wana ofisi zao hapa Tanzania muda mrefu sana, tena kwa taarifa yako, ofisi kama majengo yao binafsi zilizinduliwa mwaka jana na katibu mkuu mstaafu wa AU, Salim Ahmed Salim. Ukibisha hapa nitakushangaa sana.

Nilikuwa naheshimu hoja zako, kwa hili umechemka. Kuwa na tawi au ofisi hakuondoi maana ya kuwa kituo cha nje.

Makampuni ya nje kwa kulijua hilo na kukwepa kuwa kilaza kama wewe, husajili tena kampuni zao Tz kama kampuni za kitanzania ili waweze kupata maslahi kama kutakuwa na sharti la kampuni za nyumbani.

Kwa BBC siyo hivyo kijana, ile ni ofisi tu na wala haijasajiliwa kama affiliate ya BBC nchini bali ni extension ya service zao nchini.

Kwa hiyo mwenzako alikuwa sahihi.
 
Billionare Dangote yupo kwenye BET? Na ni kwa nini hayupo? Hii ni tafsiri yake yake anapanda au anashuka? Punguza povu na mimate yako.

We hujui kitu tulia. Kama unafatiliza tuzo za BET ni ngumu kwa msanii kutoka african best act kuchaguliwa mara 2 mfululizo" angalia ambao diamond alichaguliwa nao last year kama kuna hata mmoja yupo tena. Lakn kwan wameshuka hapana. Bt unaweza ukarud kuchaguliwa tena by next year kama alivyorudi WizKid au Sarkodie ambao waliwahi kuchukua huko nyuma.
 
Amefanya kazi za kusaidia jamii. Na alivyoshare story yake ya endor... nn sijui desease"kua hana uwezo wa kupata mtoto. Story yake ime touch sana watu weng all around the world na movements through ha foundation aliyoianzisha itasaidia wanawake wengi kupata dawa au solution ya hili tatizo.

OK,thanks kwa info

nilidhani Ni mwanamuziki
 
Matumbo punguza ushabiki, hakuna category ya muigizaji bora wa kike bali muigizaji anayependwa zaidi wa kike, watanzania tumieni akili kuchambua mambo.

Hivi kibaya kinapendwa? Kichwa unafugia nywele tu.
 
We hujui kitu tulia. Kama unafatiliza tuzo za BET ni ngumu kwa msanii kutoka african best act kuchaguliwa mara 2 mfululizo" angalia ambao diamond alichaguliwa nao last year kama kuna hata mmoja yupo tena. Lakn kwan wameshuka hapana. Bt unaweza ukarud kuchaguliwa tena by next year kama alivyorudi WizKid au Sarkodie ambao waliwahi kuchukua huko nyuma.

Mbona Wikzd yule mnaijeria mwaka jana alikuwepo na mwaka huu kachaguliwa tena? Labda utuambie wewe kwa wimbo gani labda kwa mfano ambao ungefanya Diamond achaguliwe tena mara ya 2, au kwa huu wimbo wa Taarabu na mchiriku alioimba na Khadija Kopa?
 
Salim Kikeke angekuwa anatumia busara zaidi kujitoa kwenye tuzo hizi. Ushiriki wake hauna usawa na washindani wengine wanaosikika ndani ya Tanzania pekee, tofauti na yeye anayefanyia kazi chombo ambacho ni cha kimataifa na hivyo kutokuwa na fairness katika upatikanaji wa wapiga kura.

Nadhani wanapanga tuzo hizo ndio wanabidi wafanye hayo

Nakumbuka waliandika ndani ya nchi na wawe wamefanya kitu mwaka 2014.

Kama wanaruhusu watu wapitishwe na kutoondoa majina ndio hao waandaaji.

Waandaaji ndio wanaochemsha na ndio maana mtu anapigiwa kura hata mara elfu moja wakaona kura nyingi wakaogopa kutochagua majina ili tuzo zisidode

So waandaaji nao ni pesa tu hawana humakini.
 
Mbona Wikzd yule mnaijeria mwaka jana alikuwepo na mwaka huu kachaguliwa tena? Labda utuambie wewe kwa wimbo gani labda kwa mfano ambao ungefanya Diamond achaguliwe tena mara ya 2, au kwa huu wimbo wa Taarabu na mchiriku alioimba na Khadija Kopa?

Wizkid nadhani ulimuweka ww labda" alikuwepo Sarkodie tu ambaye yupo tena mwaka huu huyu pia ashawahi kuchukua hii tuzo. Ye ndo anabahat na tuzo hizi ni best Rapper in africa. Toofan, Mafikizolo, Tiwa savage, Davido ndo walikua na diamond last year
 
Huwaga nataman nimpe ujumbe mzuri daimondi sema nakosa mdaaa.some times huwaga anajiposition vibaya sana kwenye.media tofaut na alikiba ambaye yuko.neutral kwenye media...na mkubali mkatae huyu daimondi anajua mziki but team wema ilikuwa nayo.inampa.back up nzuri kwenye networking.
Back tuzo za watu anadesave kushindwa ukiwa mfatiliaji mzuri wa mambo si kwa kupokelewa mwanza kwa pikipiki.
 
Wizkid nadhani ulimuweka ww labda" alikuwepo Sarkodie tu ambaye yupo tena mwaka huu huyu pia ashawahi kuchukua hii tuzo. Ye ndo anabahat na tuzo hizi ni best Rapper in africa. Toofan, Mafikizolo, Tiwa savage, Davido ndo walikua na diamond last year

Sasa ndio utuambie wewe, ulitaka Diamond arudi BET kwa wimbo upi labda kwa mfano? Maana BET wanachoangalia ni msanii yupi anahit na kwa wimbo upi na lazima kuhit huko kuvuke mipaka ya nchi, sasa labda ulitaka ule wimbo wa tarabu na khadija kopa ndio umepeleke BET?
 
Wema ameigiza movies gani hadi apendwe au ni tuzo za mtu anaeandikwa sana na Shigongo.

Hivi leo ukiitisha show kati ya kiba na Diamond mkoa wowote Tanzania nani atajaza ukumbi.

hizi tuzo ndio zinazomfanya Diamond zaidi kuwa juu na ajitume zaidi.

Juzi Diamond kafunika London wakati wengine hupigia show kwenye sebule za wabongo huko majuu

Jana kapokelewa kama Mfalme Mwanza, na Bado Mond atazidi kuwacharaza bakora tu

Wameona diamond hana mpinzani mkuu so wameamua kumbebabeba kiba wakidhani ndo atakuwa mpinzani wa diamond
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom