Kwahiyo size yao ni zipi? BET? Wapo sasa huko kwenyewe?
Matumbo punguza ushabiki, hakuna category ya muigizaji bora wa kike bali muigizaji anayependwa zaidi wa kike, watanzania tumieni akili kuchambua mambo.
category inasema muigizaji anayependwa na watu kwa mwaka 2014??!!.. kama una akili kidogo tu itabidi uelewe kuwa huyo Muigizaji lazima awe ameigiza kwa mwaka huo husika...
je wema ameigiza movie gani??
Mimi naongea facts.. Mwigizaji anapendwa vipi bila kuwa na movie? Ebu tueleze amependwa baada ya kucheza movie gani 2014?.. Acheni hizi fitina kama hamziwezi mtaumbuka tu siku moja.
Kiba ajitokeze kukanusha kuwa akustahili kushnda iyo tuzo
Natafakr apa mpaka ubongo unauma, why wampe tuzo wema? Kwa filamu ipi labda?
Natafakr apa mpaka ubongo unauma, why wampe tuzo wema? Kwa filamu ipi labda?
Utaumaaaa sanaaaaaa usipopiga kuraaaaa
Ebu nisaidie aiseh, hawa wana akili nzur kwel? AU walitaka wafuraishe watu tu
Natafakr apa mpaka ubongo unauma, why wampe tuzo wema? Kwa filamu ipi labda?
Wewe ndiye uliyestahili? Tulia wewe aliyepewa kapewa, baki ukimwaga povu lako hapa watu tunasherehekea.
Natafakr apa mpaka ubongo unauma, why wampe tuzo wema? Kwa filamu ipi labda?
tulia na ushabiki mandaz wako kwan apo ulipo unasheherekea nn?
Hizo tuzo bora zifutwee tu tuzo gan za kupiga unajirudiaaa mara miaa