idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
Wengi wanaolalamika hata kulahawakupiga
Kama ni hiyo kwenye red ni halali washinde
Wengi wanaolalamika hata kulahawakupiga
Sasa ndio utuambie wewe, ulitaka Diamond arudi BET kwa wimbo upi labda kwa mfano? Maana BET wanachoangalia ni msanii yupi anahit na kwa wimbo upi na lazima kuhit huko kuvuke mipaka ya nchi, sasa labda ulitaka ule wimbo wa tarabu na khadija kopa ndio umepeleke BET?
Hizi tuzo ni za "watu wanoonewa huruma"Wameona diamond hana mpinzani mkuu so wameamua kumbebabeba kiba wakidhani ndo atakuwa mpinzani wa diamond
Hivi kibaya kinapendwa? Kichwa unafugia nywele tu.
Hizi tuzo ni za "watu wanoonewa huruma"
Billionare Dangote yupo kwenye BET? Na ni kwa nini hayupo? Hii ni tafsiri yake yake anapanda au anashuka? Punguza povu na mimate yako.
Kipindi anachotangaza Salim Kikeke kinataalishwa, kinazalishwa na kurushwa uingereza, huku tunapokea tu. Video za Diamond za Mdogo Mdogo na Ntampata Wapi zimefanyika na kuzalishwa South Africa ila zinachezwa na kuwa requested huku ..
Kikeke kila kitu chake kinafanyika nje ya nchi akaingizwa kwenye mchakato na watangazaji wa huku.
Diamond video zake zimefanyika nje ya nchi wakakataa kuziingiza kwenye mchakato eti sababu zimefanyika nje ya nchi.
We uoni kuna kitu akijakaa sawa hapa? Mtu akihisi wanamuhujumu anakosea hapa?
magumash tu hakuna lolote tuzo wanapeana kama machungwa
duh kiba ashukuru alifanyiwa kampeni kubwa sana na watu wanaokosa usingizi na diamond, hasa hasa w..... maanaa
Hizi tuzo mfumo wake wa kupiga kura kwamba mtu mmoja anaweza kupiga kura mara zaidi ya moja...
Sasa unaposema kwamba ni tuzo za watu, alafu kwamba mtu mmoja anaweza kupiga kura hata mara mia moja..haireflect kwamba huyu mtu anapendwa na watu wengi zaidi.. kwa msingi huo bhasi matokeo yake haya reflect ukweli kwamba msaniii fulani anapendwa na watu wengi..ila huenda akawa anapendwa na watu wachache ila wamepiga kura mara ningi zaidi....
Kwa msingi huo tuzo za watu hazina validity kwa msingi kwamba ni tuzo ambazo anapigiwa kura msanii, na msanii anaeshinda kwamba ni anapendwa zaidi na watu wengi zaidi...
My TAKE..
Next time waandaaji wanatakiwa waangalie njia nzuri ambayo watu watapiga kura pasipo kurudia ili kupata valid namba ya idadi ya mashabik wanaompenda msanii........
Lastly napenda kuwapongeza wasanii pamoja na watangazaji walio shindaa
Kiba for real
Wema
Kikekeee
Millad ayo
Jdeeee
N.b kwa walio shindwa wajipange upyaa
Wema ameigiza movies gani hadi apendwe au ni tuzo za mtu anaeandikwa sana na Shigongo.
Hivi leo ukiitisha show kati ya kiba na Diamond mkoa wowote Tanzania nani atajaza ukumbi.
hizi tuzo ndio zinazomfanya Diamond zaidi kuwa juu na ajitume zaidi.
Juzi Diamond kafunika London wakati wengine hupigia show kwenye sebule za wabongo huko majuu
Jana kapokelewa kama Mfalme Mwanza, na Bado Mond atazidi kuwacharaza bakora tu
Kumbe msanii mmoja unaweza kujiandalia bajeti ya sms ili ushinde...!
Yaani hizi tuzo ni full maigizo ni kama maalumu kwa watu fulani kuonyesha kuwa na sie tupo
Mkuu hoja yako dhaifu sana,domo kakwama anapendwa na watoto sana labda tuandae tuzo za msanii wa kiume anaependwa na watoto..
Hahahahahah eti Domo anapendwa na watoto, waambie kina Luca bongo 5 walete data za mchakato wote ulivyokwenda hapa alafu tuone nani ni mshindi wa watu. Subiri baadae Mwanza urudi kuzungumza anapendwa na watoto au dunia nzima.
Kubali tu kuwa kura hazikutoshaNimepiga sana sana just like 20 times mana zilikua kura kichaa zile unapiiga tu uwezavyo ukipata bando.
Hizi tuzo ni za "watu wanoonewa huruma"