Washindi wa "Tuzo za watu"

Washindi wa "Tuzo za watu"

Kutuonyesha kuwa Wema anapendwa kuliko Riyama huu ni utani wa karne.!!

Hahahahaha thread umeijaza wewe! Kila dakika una neno jipya!
Tulia wewe, japo dawa chungu inywe hivyohivyo.
 
Kutuonyesha kuwa Wema anapendwa kuliko Riyama huu ni utani wa karne.!!

Riyama wampenda wewe siyo siyeeee hahahaha! Usimsingizie riyama bana sema tu una chuki na wema, hizi kelele mbona hukupiga wakat majina ya washindani yalivyokuwa released?? Hahaha halafu wewe unaweza kuwa ni mmoja wa washindani ila umekosa tuzo hahahahah!!
 
Hahahahahaa, maneno ya mkosaji haya.Inaumaje?
Lakini nyie si wakiintaneshino jamani? Tuzo local zinawaumia nini?

Yaan wangerekebisha tuzo ingekua inapigwa mara moja tu ,,unadhan naumia wala
 
Riyama wampenda wewe siyo siyeeee hahahaha! Usimsingizie riyama bana sema tu una chuki na wema, hizi kelele mbona hukupiga wakat majina ya washindani yalivyokuwa released?? Hahaha halafu wewe unaweza kuwa ni mmoja wa washindani ila umekosa tuzo hahahahah!!
idawa kachanganyikiwa....hahahaha
 
Last edited by a moderator:
Wewe hujioni ulivyo shabiki hamira? Kazi ku exaggerate mambo tu.
Unataka ujue ninachosherehekea....hakuna cha zaidi ya King Kiba kuchukua tuzo.Kura zangu hazijakwenda bure,kwanini nisisherehekee?
Eti Kiba ajitokeze aseme kua hakustahili! Pole sana! Na bado, maumivu yakizidi kunywa hamira upasuke!
nifah kwani wewe ulipiga mara mia ngapi hizo kura.?

Hadi msanii wako aonekane anapendwa.
 
Last edited by a moderator:
Yaan wangerekebisha tuzo ingekua inapigwa mara moja tu ,,unadhan naumia wala

Hata nyie timu yake mngempigia hata hivo hivo Mpaka zifike million moja asiye kubali kushindwa si mshindani. Mnyonge mnyongeni lakini haji yake mpeni. Wenu akishinda ni sawa mwingine ni kosa loh.Hata last year zilifanyika hizo tuzo mbona hawakulia lia. Kuna kitu bana.
 
Mimi nimekosoa upigaji wa kura wa kujirudia sijasema aliepewa tuzo hajastahili
 
nifah kwani wewe ulipiga mara mia ngapi hizo kura.?

Hadi msanii wako aonekane anapendwa.

Hhhhaaaaa jamani idawa kiba acha abebe tuzo jamanii na ktma atabeba tu iki asivunjike moyo jamanii
 
Last edited by a moderator:
nifah kwani wewe ulipiga mara mia ngapi hizo kura.?

Hadi msanii wako aonekane anapendwa.

Nilipiga mara 1000000000000000000! Kwani kuna mtu aliyekatazwa asipige kura awezavyo?
Shauri zenu, sie tulipiga kura usiku na mchana nyie mna kazi ya kumwaga mapovu tu huku jukwaani.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu! BBC ni kituo cha habari ambacho kipo nje ya Tanzania na Africa, lakini wana ofisi zao hapa Tanzania muda mrefu sana, tena kwa taarifa yako, ofisi kama majengo yao binafsi zilizinduliwa mwaka jana na katibu mkuu mstaafu wa AU, Salim Ahmed Salim. Ukibisha hapa nitakushangaa sana.

Tumia akili wewe, KIKEKE yupo BBC London sio BBC East Africa!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom