Washindi wa "Tuzo za watu"

Washindi wa "Tuzo za watu"

Hakuna tuzo hapo ni ujanja ujanja.. Tangu walipozitoa video za Mdogo Mdogo na Ntampata Wapi eti kwa kigezo zimefanyiwa South Africa nikazitoa maana hizi tuzo... Kama unakataa kuishindanisha video kwa kuwa imefanyiwa nje ya nchi, inakuwaje unamshindanisha Mtangazaji anaefanyia kazi yake kituo cha nje ya nchi na wa ndani ??.

Eti papaso ndio kipindi kinachopendwa duh.. Mtu ajawai kucheza movie ata moja ndani ya mwaka 2014 ila anakuwa muigizaji bora wa kike mwaka 2014.
 
Mwanamuziki wa kiume anaependwa:: ALI SALEHE KIBA.

Mwanamuziki wa Kike anaependwa::JAY DEE

Muigizaji wa kiume anaependwa::HEMED SULEIMAN

Muigizaji wa Kike anaependwa::WEMA SEPETU

Muongozaji wa Filamu anaependwa::VICENT KIGOSI 'RAY'

Director wa muziki anaependwa::HANSCANA

Mtangazaji wa runinga anaependwa::SALIM KIKEKE(BBC SWAHILI)

Mtangazaji wa Radio anaependwa:😀JARO ARUNGU(TBC FM)

Kipindi cha radio kinachopendwa:😛APASO(TBC FM)

Tovuti/Blogu inayopendwa::MILLARDAYO.COM

TUZO HIZI HUTOLEWA KUTOKANA NA IDADI YA KURA ZINAZOPIGWA NA MASHABIKI.

Salim Kikeke angekuwa anatumia busara zaidi kujitoa kwenye tuzo hizi. Ushiriki wake hauna usawa na washindani wengine wanaosikika ndani ya Tanzania pekee, tofauti na yeye anayefanyia kazi chombo ambacho ni cha kimataifa na hivyo kutokuwa na fairness katika upatikanaji wa wapiga kura.
 
Kura ndo zime decide hayo mengine hisia. Mi nilipiga nyingi sana tu na wote niliowapigia wame win.

Watu kumi wakipiga kura kumi kumchagua King Majuto... Na wewe mmoja ukipiga kura 90 kumchagua Hamed Phd.. Hamed anakuwa mshindi wa tuzo za watu.... Hii mizengwe ndio iliua BSS hizi tuzo mtakuja niambia, labda wabadilike.
 
Wema ameigiza movies gani hadi apendwe au ni tuzo za mtu anaeandikwa sana na Shigongo.

Hivi leo ukiitisha show kati ya kiba na Diamond mkoa wowote Tanzania nani atajaza ukumbi.

hizi tuzo ndio zinazomfanya Diamond zaidi kuwa juu na ajitume zaidi.

Juzi Diamond kafunika London wakati wengine hupigia show kwenye sebule za wabongo huko majuu

Jana kapokelewa kama Mfalme Mwanza, na Bado Mond atazidi kuwacharaza bakora tu

Wema ameigiza movie gani?? ..maisha yake yenyewe maigizo so kila siku kila saa kila dakika kila sekunde anatoa movie yule
 
Yaani hizi tuzo ni full maigizo ni kama maalumu kwa watu fulani kuonyesha kuwa na sie tupo
 
Ile bihashara kama ukipiga kura nyingi zaidi ndo unavyoeaongezea kipato wale jamaa walioandaa shindano hivyo ndo maana wakasema piga kura uwezavyo
 
Hakuna tuzo hapo ni ujanja ujanja.. Tangu walipozitoa video za Mdogo Mdogo na Ntampata Wapi eti kwa kigezo zimefanyiwa South Africa nikazitoa maana hizi tuzo... Kama unakataa kuishindanisha video kwa kuwa imefanyiwa nje ya nchi, inakuwaje unamshindanisha Mtangazaji anaefanyia kazi yake kituo cha nje ya nchi na wa ndani ??.

Eti papaso ndio kipindi kinachopendwa duh.. Mtu ajawai kucheza movie ata moja ndani ya mwaka 2014 ila anakuwa muigizaji bora wa kike mwaka 2014.

Mkuu! BBC ni kituo cha habari ambacho kipo nje ya Tanzania na Africa, lakini wana ofisi zao hapa Tanzania muda mrefu sana, tena kwa taarifa yako, ofisi kama majengo yao binafsi zilizinduliwa mwaka jana na katibu mkuu mstaafu wa AU, Salim Ahmed Salim. Ukibisha hapa nitakushangaa sana.
 
Wema ameigiza movies gani hadi apendwe au ni tuzo za mtu anaeandikwa sana na Shigongo.

Hivi leo ukiitisha show kati ya kiba na Diamond mkoa wowote Tanzania nani atajaza ukumbi.

hizi tuzo ndio zinazomfanya Diamond zaidi kuwa juu na ajitume zaidi.

Juzi Diamond kafunika London wakati wengine hupigia show kwenye sebule za wabongo huko majuu

Jana kapokelewa kama Mfalme Mwanza, na Bado Mond atazidi kuwacharaza bakora tu

Kwanin sasa uyo mond wako ajashinda..? Acha unafiki tuzo za watu kiba 4 real na bado KTMA mtasubir sana....
 
Hakuna tuzo hapo ni ujanja ujanja.. Tangu walipozitoa video za Mdogo Mdogo na Ntampata Wapi eti kwa kigezo zimefanyiwa South Africa nikazitoa maana hizi tuzo... Kama unakataa kuishindanisha video kwa kuwa imefanyiwa nje ya nchi, inakuwaje unamshindanisha Mtangazaji anaefanyia kazi yake kituo cha nje ya nchi na wa ndani ??.

Eti papaso ndio kipindi kinachopendwa duh.. Mtu ajawai kucheza movie ata moja ndani ya mwaka 2014 ila anakuwa muigizaji bora wa kike mwaka 2014.

Mkuu hoja yako dhaifu sana,domo kakwama anapendwa na watoto sana labda tuandae tuzo za msanii wa kiume anaependwa na watoto..
 
Jaydee kapewa ili kuua soo. Lengo la tuzo hizi kutolewa wakati huu ni mbinu ya clouds kuuaminisha umma juu ya msanii mtumwa wao ambaye wanataka kumbeba KTMA. Wanafanya hivi kwa sasa kuwaandaa watu kisaikolojia ili wakihujumu watu waone kawaida.

Angalizo kwa KTMA ambao ni watu makini, nawashauri wasikubali kuingia katika mchezo mchafu. Watende haki na sisi watanzania tuone haki inatendeka.

Watu wa timu zote mbili waridhike, hata watu wa Kiba wakimtembelea nifah pale mapokezi Rombo Green View Sinza wafurahi pia.
 
uyu arungu ni nani? bora ao kina kikeke, wema,kiba na hemed. arungu ni yupi uyo na actor or musician?
 
Mkuu! BBC ni kituo cha habari ambacho kipo nje ya Tanzania na Africa, lakini wana ofisi zao hapa Tanzania muda mrefu sana, tena kwa taarifa yako, ofisi kama majengo yao binafsi zilizinduliwa mwaka jana na katibu mkuu mstaafu wa AU, Salim Ahmed Salim. Ukibisha hapa nitakushangaa sana.

Kipindi anachotangaza Salim Kikeke kinataalishwa, kinazalishwa na kurushwa uingereza, huku tunapokea tu. Video za Diamond za Mdogo Mdogo na Ntampata Wapi zimefanyika na kuzalishwa South Africa ila zinachezwa na kuwa requested huku ..

Kikeke kila kitu chake kinafanyika nje ya nchi akaingizwa kwenye mchakato na watangazaji wa huku.

Diamond video zake zimefanyika nje ya nchi wakakataa kuziingiza kwenye mchakato eti sababu zimefanyika nje ya nchi.

We uoni kuna kitu akijakaa sawa hapa? Mtu akihisi wanamuhujumu anakosea hapa?
 
Wema ameigiza movies gani hadi apendwe au ni tuzo za mtu anaeandikwa sana na Shigongo.

Hivi leo ukiitisha show kati ya kiba na Diamond mkoa wowote Tanzania nani atajaza ukumbi.

hizi tuzo ndio zinazomfanya Diamond zaidi kuwa juu na ajitume zaidi.

Juzi Diamond kafunika London wakati wengine hupigia show kwenye sebule za wabongo huko majuu

Jana kapokelewa kama Mfalme Mwanza, na Bado Mond atazidi kuwacharaza bakora tu

Watanzania hebu acheni ujinga na upofu wa fikra, nani kakwambia hizi tuzo zinatolewa kwa msanii mwenye movie au umeona wapi jina la movie? HIZI TUZO NI KWA MSANII WA MOVIE WA KIKE ANAYEPENDWA, sasa wewe ulitaka nani apewe na hata kura hujapiga.

Pia Nani kakwambia kujaza watu ukumbi ndiyo kigezo cha mtu kushinda hizi tuzo? Ok fine, lets say Diamond alijaza watu London na jana mwanza kapata mapokezi makubwa, swali kwanini sasa hao hawakumpigia kura ili ashinde? Je wewe hapo ulipiga kura?

Kwa hoja za kingese kama hizi subirini na tuzo za KTMA mtapigwa huku mmesimama mwaka huu.
 
duh kiba ashukuru alifanyiwa kampeni kubwa sana na watu wanaokosa usingizi na diamond, hasa hasa w..... maanaa

Hivi wewe unajielewa kweli? Hizi tuzo zimeanza kuwa mbaya na mapungufu mwaka huu au sio? Mwaka jana kipindi mnabeba ilikuwa inshanlah tu.
 
Mkuu hoja yako dhaifu sana,domo kakwama anapendwa na watoto sana labda tuandae tuzo za msanii wa kiume anaependwa na watoto..

Hahahahahah eti Domo anapendwa na watoto, waambie kina Luca bongo 5 walete data za mchakato wote ulivyokwenda hapa alafu tuone nani ni mshindi wa watu. Subiri baadae Mwanza urudi kuzungumza anapendwa na watoto au dunia nzima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom