Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,573
Mimi naongea facts.. Mwigizaji anapendwa vipi bila kuwa na movie? Ebu tueleze amependwa baada ya kucheza movie gani 2014?.. Acheni hizi fitina kama hamziwezi mtaumbuka tu siku moja.
Hili nalo Bongo 5 wanapaswa kuliangalia uwezi ukampa mtu tunzo ya muigizaji anayependwa wakati hana kazi sokoni! Walipaswa kuweka masharti ni lazima mmpendekezwa awe na kazi sokoni ndio ingekuwa fair!
Last edited by a moderator: