warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,213
- 18,455
wewe je?
upo kundi gani labda unaeshinda kumuandika wema kutwaaa kuchaaaa
Ungenijua wala usingesema yote hayo, hahahah pole
wewe je?
upo kundi gani labda unaeshinda kumuandika wema kutwaaa kuchaaaa
Roho mbaya haijengi WARUMI
Ungenijua wala usingesema yote hayo, hahahah pole
hhahaaaa hhbaaaaaaaa
nakujua we si mussa mateja...
hhahaaaa hhbaaaaaaaa
nakujua we si mussa mateja...
AHahahahaha, khaaa hapana kwa kweli, umenichokaaa
MI nahis wewe ni imelda mtema hakyamungu vile
hhhahwhaaaaa binamu bas we joseph shalua
au luqman maloto etii eeehh
niliona mwehu yule kamtoa stanbakora na demu badala ya kuposgi mv bukobaMateja juzi kachambwaje na kitale? Mmh mwanaume mbea yule, si ulisikia alivyo post picha za msanii kule insta?
hhhahwhaaaaa binamu bas we joseph shalua
au luqman maloto etii eeehh
richard bukos nomaa kweli...MMh binamu naona unawajua fika wambea wenzetu wa mujini, na yule bukos mpiga picha unamjua? JAmaa mbea ,ana piki pik yake ukimpigia simu ata uwe kibaha kama kuna umbea anakuja yan yule kibok, inabid shigongo awape tuzo kwa kwel
Mbwa nyie wote
Hapana aiseh. Kwa tuzo mtaniita na roho mbaya binamu, hakustahili kabisa, riyama anatia huruma
We humpendi wema inajulikana lakini jua tu hizo ni tuzo za watu ungewahamasisha watu wawapigie kura hao unaohisi wanastahili, kura za watu ndo zimempa ushindi wema,
HAwaandikwi na watu wasiojielewa kama nyie, wanaandikwa na watu wenye hadhi zao
Imekuwaje sasa ukaleta thread ya wema hapa basi Na wewe hujielewi
We humpendi wema inajulikana lakini jua tu hizo ni tuzo za watu ungewahamasisha watu wawapigie kura hao unaohisi wanastahili, kura za watu ndo zimempa ushindi wema,
Kwani kuna anayenizuia cha kuandika humu? Au mnanilipiaga bundle?