Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,645
- 3,890
Ata Mimi pia sijakutaka mbonaa???mi mbona sijakutaka? Au sijakuelewa
Ila nadhani hujanielewa nlimaanisha friend wangu with benefits wa huku nje ya keyboard ndo SITAKI aninjunje
Ata Mimi pia sijakutaka mbonaa???mi mbona sijakutaka? Au sijakuelewa
Acha bana ... Acha!Hao ndo wanakuwaga washikaji wa kweli halafu Wana michongo na connection nyingi
Sikatai kwa ubaya!
Kwanza niko na aibu, uniite nikuje nikae nianze kula! Mmmh!
Hapo pagumu kidogo kwangu!
Naomba urafiki.Hivi kumbe wapo wanaokuwa marakifi tuu bila kuvuka mstari?
Mie huishia kunitongoza tu na urafiki unakufa au tunakuwa wapenzi after a while tunamwagana na urafiki unakufa.
Waliobaki ni washkaji tu hata siwezi kuwaita marafiki.
Naomba uwe rafiki angu wa shida na raha.mlianzia lini urafiki wenu
nawish kuwa na rafik wa shida na raha kama huo
Ngoja niamini hivyo jamani rafiki mtarajiwa!Hahah mie mwenyewe nina aibu ila mpaka muanze kupeana mialiko lazima muwe mmeshibana sana eti. .
Sasa nitakupa mialiko tukiwa tayari tumeshibana kama mtoa mada anavyoshauri...
Natumai wakati utakapofika hutaona aibu tena.
Hahahah hvi kumbe bado ni mtarajiwa enhe!?Ngoja niamini hivyo jamani rafiki mtarajiwa!
Mpaka tufike level ya kuitana tukule iftar sio leo! Ni kama watarajiwa rafiki!Hahahah hvi kumbe bado ni mtarajiwa enhe!?
Maisha yaendelee hatujui yajayo ila Muda ndio uwe msimamizi wetu!!!Mpaka tufike level ya kuitana tukule iftar sio leo! Ni kama watarajiwa rafiki!
HakikaHapo sawa nimekuelewa uzuri kabisa.Maisha yaendelee hatujui yajayo ila Muda ndio uwe msimamizi wetu!!!
HahahahaNataka nikuteke kabisaaa
Aisee! Huyo aliyemuoa sidhani Kama anajielewa aisee Kama ni kweli haya usemayo.hahahaaaaaaa,ashaolewa na ana watoto mapacha aliwapata wiki mbili zilizopita,kesho kutwa nitapita hapo kumsalimia nitakuwa na safar ya musoma,nitapita kiomboi,nikijaga huko tunapenda sana kupatia chakula mgahawani kwa Mariam,nitakuchek bomani hapo mzee,JLC pale mishawahi kumchakaza kipigo askari flani hivi alitaka kunletea noma nikiwa na huyo rafiki yangu,ilikuwa mida ya saa nne asbuhi,nilimpihisha doso hatari,huyo rafik yangu kuanzia pale anaheshimika balaa,hata nikifa wataendelea kumheshim wale jamaa,wanajua kumgusa yy ni kutibua mzinga wa nyuki,
Hahaha hahaha hahahaHahahaha
Nami nimekuruhusu njoo unichukue unipeleke kusikojulikana
Hakika
Tuombeane uzima tuu jamani rafiki!
Ujitahidi mazoezi pia
ntafanyaje kama we umeamuaHahaha hahaha hahaha
Unaridhia nikiteke babake
Hahaha hahahaRafiki Mazoezi najitahidi..
Kwakuwa ushanijua nina ka uzembe flani,basi hamasa yako naihitaji ili nisiishie njiani..
Endelea kuniboost usichoke.
Usijali...ntafanyaje kama we umeamua
nami kwako ndo sipindui et
Mpaka siku ukiachiwa na uyoUsijali...
Nitakuteka tuu
Nani zaidi yako eti babakeMpaka siku ukiachiwa na uyo
Ni Leo hiyo mama ake?