ina jina lake hiyo mkuu,nitaku PM nkwambie tunaiitaje huku,sio vzuri kumaliza kila KTU hapa jukwaani,hahaaaaaPamoja mkuu. wajeda nawaelewa sana kwa upigaji wa maji.
ina jina lake hiyo mkuu,nitaku PM nkwambie tunaiitaje huku,sio vzuri kumaliza kila KTU hapa jukwaani,hahaaaaaPamoja mkuu. wajeda nawaelewa sana kwa upigaji wa maji.
Kweli kabisa maana mwisho wa siku lazima wataishia kwenye mapenziNimependa hii...hongera sana.
Hii inafaa kama wote mnaajukumu ya kifamilia, mko ktk ndoa au so wa mmoja na mheshimu mipaka yenu.
Napendaga kuwa nao.
Ili kutoingia kwenye mambo mengine ni vyema uwe na waliokudhidi umri kuna manufaa mengi.
Rafiki yangu wa kike mambo?Baby usiniambie una kithembe
Waliokudhidi?
Baby usiniambie una kithembe
Waliokudhidi?
Wazee, Jitahidi Uwe na Japo MARAFIKI WA KIKE kadhaa ambao mtashibana na Kusaidiana bila Mahusiano ya Kimapenzi.
Utakuwa umesolve mambo mengi unayosumbuka nayo.[emoji276][emoji276][emoji276]
Rafiki yangu wa kike mambo?
i wish aiseemwaka 2002 tukiwa shule ya msingi huko huko bariadi,baba yake ndo alikuwa mwalim mkuu pale,tulikuwa tukikutana shuleni na kanisani (SDA-church),tulipotezana walivyohamishwa mwaka 2005 namm nikabaki palepale kijijini,nlienda sec bila mawasiliano naye,tukaja kupata mawasiliano mm nikiwa advnc yy akiwa Chuo cha ualim huko ndala tabora,nlienda Chuo kikuu nikasoma semester moja tu nikapiga chini baada ya kupata mchongo sehem nyingine,nikaenda depo tukapitezana,tulizd kupotezana zaid nlivyoenda jamhuri ya afrika ya kati mwaka flani,had narud skuwa na mawasiliano naye, alikuja kunipata kwny mitandao ya kijamii nikiwa nchini Cuba course na kuanzia hapo tukawa zaidi ya marafiki au ndugu,akipata tatzo anajua kabisa msaada namba moja ni mm co ndugu zake,hata mm pia ni hivyohvyo,kuna mambo mengi tushaongea,tushasaidiana,tuko waz kw kila moja,ni msiri wangu na mm ni msiri wake,tunapendana sana halaf hatuoni aibu kueleza tatzo lako kwa mwenzio,tuko free kwa kiasi ambacho siwez elezea
Ahahahaahhaha.Bora umekua honest.BUT u will find plenty of them then chuja chujaNgoja nianze kutafuta humu humu
Ila tatizo Vizinga vingi na hiv sina kitu nahisi tutazinguana baada Ya masaa matatu mbele.
hahahaaaaaaa,ashaolewa na ana watoto mapacha aliwapata wiki mbili zilizopita,kesho kutwa nitapita hapo kumsalimia nitakuwa na safar ya musoma,nitapita kiomboi,nikijaga huko tunapenda sana kupatia chakula mgahawani kwa Mariam,nitakuchek bomani hapo mzee,JLC pale mishawahi kumchakaza kipigo askari flani hivi alitaka kunletea noma nikiwa na huyo rafiki yangu,ilikuwa mida ya saa nne asbuhi,nilimpihisha doso hatari,huyo rafik yangu kuanzia pale anaheshimika balaa,hata nikifa wataendelea kumheshim wale jamaa,wanajua kumgusa yy ni kutibua mzinga wa nyuki,Tushakujua wewe ni mjeda hongera sana ila una kosea sehem moja piga miti yeye ujiweke salama ,huyo najua hajaolewa ndio maana umnasaidiana bivyo ila trust me akiolewa tu sahau .nipo kiomboi hapa bomani nielekeze shile au jinalake nimsake ili nijiunge kwenye chain yako ila me ntamtafuna aisew.
Nishamjua tayar uyo madam ambae nyumba yao ilitaka kuuzwa[emoji16][emoji16] na aliniambia kabisa kuwa wewe umetokea mkoa Fulani unaenda kusimamia shoo yote...... Hongereni Sana kwa urafiki wenumkuu,Mimi naomba nitoe ushuhuda kusapot hoja yako,nipo songea ndiko nakofanyia kaz (41 kj-ruhuwiko),nina rafiki yangu wa kike yy ni mwalim shule ya msingi iramba huko mkoani singida,ni rafiki yangu sana na tumeshibana sana,huwezi amini kampani na misaada tunavyosaidiana mmoja wetu akikwama huyu binti husimama na mm kuliko rafiki yangu wa kiume mwenye hadhi ya mkuu wa mkoa au waziri,nilipata matatzo kdgo kazin halaf nyumbani kukawa na shida iliyohtaj uwekezaj wa nataka sana kuisolve,aliingia bank akakopa 6M akanitumia yote,ishatokea shida flan pia kwao,yy akiwa na hali mbaya kifedha kipind hcho,nikamwambia tulia,nilizama bank na kuomba ruhusa job,nikifunga safar had kwa wazaz wake bariadi huko na nikaisimamia ile shida had tukaimaliza,tulizungushwa sana mahakamani na nyumba ya wazaz wake tukaiokoa kupigwa mnada,tunashibana sana na huyu rafk yng madam D****e
Haina noma mkuu..ina jina lake hiyo mkuu,nitaku PM nkwambie tunaiitaje huku,sio vzuri kumaliza kila KTU hapa jukwaani,hahaaaaa
Ila mkikubaliana tangu mwanzo msivuke mipaka na kla mmja akaplay part yake mtafanikiwaKweli kabisa maana mwisho wa siku lazima wataishia kwenye mapenzi
Umesikia wanasumbuka na nini kwa mfano ambacho dawa yake ni kuwa na hao uliowataja?Wazee, Jitahidi Uwe na Japo MARAFIKI WA KIKE kadhaa ambao mtashibana na Kusaidiana bila Mahusiano ya Kimapenzi.
Utakuwa umesolve mambo mengi unayosumbuka nayo.[emoji276][emoji276][emoji276]
mwaka 2002 tukiwa shule ya msingi huko huko bariadi,baba yake ndo alikuwa mwalim mkuu pale,tulikuwa tukikutana shuleni na kanisani (SDA-church),tulipotezana walivyohamishwa mwaka 2005 namm nikabaki palepale kijijini,nlienda sec bila mawasiliano naye,tukaja kupata mawasiliano mm nikiwa advnc yy akiwa Chuo cha ualim huko ndala tabora,nlienda Chuo kikuu nikasoma semester moja tu nikapiga chini baada ya kupata mchongo sehem nyingine,nikaenda depo tukapitezana,tulizd kupotezana zaid nlivyoenda jamhuri ya afrika ya kati mwaka flani,had narud skuwa na mawasiliano naye, alikuja kunipata kwny mitandao ya kijamii nikiwa nchini Cuba course na kuanzia hapo tukawa zaidi ya marafiki au ndugu,akipata tatzo anajua kabisa msaada namba moja ni mm co ndugu zake,hata mm pia ni hivyohvyo,kuna mambo mengi tushaongea,tushasaidiana,tuko waz kw kila moja,ni msiri wangu na mm ni msiri wake,tunapendana sana halaf hatuoni aibu kueleza tatzo lako kwa mwenzio,tuko free kwa kiasi ambacho siwez elezea
Kwanza kabisa kabla hatujakukubalia urafiki tunataka tujue unafanya kazi gani?? Tunataka tujue unaendesh gari ganiNapokea ushauri wa mtoa mada kwa moyo wote.
Kwahio wadada wa jf naombeni urafiki
tukipeana heshima itashuka na hatutasaidiana tena kwa moyo,kulana haitatokeaMkuu hapo kilichobaki ni kupeana mapenzi tuuu
Rafiki nimefichwa na mziki![emoji16][emoji16][emoji16]Poa rafiki yangu wa kiume...yule rafiki yako wa kike mwingine aliyekuficha mwambie alegeze kamba jamani