Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Wazee, Jitahidi Uwe na Japo MARAFIKI WA KIKE kadhaa ambao mtashibana na Kusaidiana bila Mahusiano ya Kimapenzi.
Utakuwa umesolve mambo mengi unayosumbuka nayo.[emoji276][emoji276][emoji276]
Bila kumtafuna urafiki hauendi
 
Tatizo ni pale utakapoamua kutumia muwa kama fimbo ya kutembelea.
 
Mke wako akiwa na urafiki wa hivi na mtu mwingine utauchukuliaje?
Good question.
Hebu tujaji jinsi jamaa mjeda alivyopigania nyumba ya urithi wa huyu rafkiye ambayo usikute na mume naye anakaa humohumo au ingemkosti ktk gharama za maisha
 
Na asipokutongoza unamuona kama fala hivi au unaanza kwa na wivu kwa mpezi wake, hili ndio tatizo lenu wengi
Kila kitu ni makubaliano na mipango, ukiona anakutongoza na wivu wa ajabu ajabu jua huyo alikuwa hana lengo la urafiki!
 
Hivi kumbe wapo wanaokuwa marakifi tuu bila kuvuka mstari?
Mie huishia kunitongoza tu na urafiki unakufa au tunakuwa wapenzi after a while tunamwagana na urafiki unakufa.

Waliobaki ni washkaji tu hata siwezi kuwaita marafiki.
 
Na sie tuwe marafiki jamani...
Wenzetu wanapeana mpaka millions!
Huna website yeyote yenye link inayo support donation. Nikufanye uwe milionea we mama. Hahaha na hili utalichukulia kima sihara kama kawaida yako.
 
Back
Top Bottom