Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Hip ndo urafiki wa kweli mkuu hongera. Ila usije siku moja ukaingiza katikati suala la mapenzi nakuhakikishia atakuchukia vbaya mno
umenena ukweli mkuu,unajua mapenz ni tamaa ya kijinga sana,ninaweza nikaingiza suala la mapenz na akakubali ila nakuhakikishia sura ya urafik wetu itabadilika kwa kiasi kikibwa sana,hatutakuwa huru ka tulivyo saiv,huyu Dada stakuja kumtongoza nikiwa na akili zangu timamu
 
Ahahahaahhaha.Bora umekua honest.BUT u will find plenty of them then chuja chuja

Sawa Mkuu maana mimi nikiombwa hela napatwa na Homa Ya dengue fasta.
Yan hawa wadada wa mjini kama wachawi vle unakuta mtu anakuomba hela kilekipindi ambacho umebakiwa na hela ya ngama unakuta hiyo hela uliyo kuwa nayo ndio maisha yako na ukoo wenu wote wanaiangalia hyo hyo.
 
Akishakupiga kizinga hafai

Kuna kizinga na mzinga,Ila vyote shit Maana vinakuwa Kama kansa na havina Tiba.
Mfano Leo asubuhi mmefahamiana ikifika mchana anaanza oooh Mimi sijala nina njaa na ole wako umjibu kibraza men imekula kwako.
 
Hakuna urafiki wa mwanaume na mwanamke,narudia tena kwa herufi kubwa,HAKUNA URAFIKI WA MWANAUNE NA MWANAMKE
 
Naunga mkono Hoja. Ukiwa na rafiki wa kike hakikisha haumlali hat mara moja mana kufanya ivo ni kuhatarisha mahusiano na kuanza kuwekeana mipaka. Hata yeye akianza kuleta hayo mambo ni kukataa tu au ukiamua kufanya ivo jua ndo mahisiano ya urafiki yana kufa na ya mapenzi pia wont last longer, Ukiwa na strong bond na mdada as friend utapata vingi tu marafiki zake na mambo mengi utayajua hata clearance na info za sehemu mbalimbali utapata nikumjali tu na kuhakikisha yuko proud na wewe
 
I'm here to give a testimony...nimedumu kwenye urafiki wa he and she since 2014 mpaka leo.
.
Naona tumekuwa ndugu, lakini mwenzangu Kuna muda anakuja na kale ka msemo ka "marry your best friend"
.
Huwa najichekesha tuuu Kama fala.
 
Jinsia yako tafadhali

Kama hajaolewa unaweza kuta hana mahusiano na mtu yoyote kwa sababu moyoni mwake wewe ndiyo umejaa.

Hapo anasubiri wewe tu umwambie.
hahahaaaa,sitakuja kumla mkuu,bond yetu nadhan itakuwa strong sana tukiwa marafiki kulikoni tukilalana,ukizungukia songea nistue tupige vyombo hunt club mzee,msamala ntawasalimia sana
 
mkuu,Mimi naomba nitoe ushuhuda kusapot hoja yako,nipo songea ndiko nakofanyia kaz (41 kj-ruhuwiko),nina rafiki yangu wa kike yy ni mwalim shule ya msingi iramba huko mkoani singida,ni rafiki yangu sana na tumeshibana sana,huwezi amini kampani na misaada tunavyosaidiana mmoja wetu akikwama huyu binti husimama na mm kuliko rafiki yangu wa kiume mwenye hadhi ya mkuu wa mkoa au waziri,nilipata matatzo kdgo kazin halaf nyumbani kukawa na shida iliyohtaj uwekezaj wa nataka sana kuisolve,aliingia bank akakopa 6M akanitumia yote,ishatokea shida flan pia kwao,yy akiwa na hali mbaya kifedha kipind hcho,nikamwambia tulia,nilizama bank na kuomba ruhusa job,nikifunga safar had kwa wazaz wake bariadi huko na nikaisimamia ile shida had tukaimaliza,tulizungushwa sana mahakamani na nyumba ya wazaz wake tukaiokoa kupigwa mnada,tunashibana sana na huyu rafk yng madam D****e
Hampendani kwel nyie

Au ni suala la mda tuu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kweli kabisa maana mwisho wa siku lazima wataishia kwenye mapenzi
Kwan lengo la urafki ni nini jaman

Si ndo kama hvyo linaleta mke anayeeleweka

Au mnadhan waliosema urafk kati ya paka na panya haupo walikuwa wajinga
 
mkuu,Mimi naomba nitoe ushuhuda kusapot hoja yako,nipo songea ndiko nakofanyia kaz (41 kj-ruhuwiko),nina rafiki yangu wa kike yy ni mwalim shule ya msingi iramba huko mkoani singida,ni rafiki yangu sana na tumeshibana sana,huwezi amini kampani na misaada tunavyosaidiana mmoja wetu akikwama huyu binti husimama na mm kuliko rafiki yangu wa kiume mwenye hadhi ya mkuu wa mkoa au waziri,nilipata matatzo kdgo kazin halaf nyumbani kukawa na shida iliyohtaj uwekezaj wa nataka sana kuisolve,aliingia bank akakopa 6M akanitumia yote,ishatokea shida flan pia kwao,yy akiwa na hali mbaya kifedha kipind hcho,nikamwambia tulia,nilizama bank na kuomba ruhusa job,nikifunga safar had kwa wazaz wake bariadi huko na nikaisimamia ile shida had tukaimaliza,tulizungushwa sana mahakamani na nyumba ya wazaz wake tukaiokoa kupigwa mnada,tunashibana sana na huyu rafk yng madam D****e
Mkuu naomba namba yake kama hajaolewa nimuoe
 
Wazee, Jitahidi Uwe na Japo MARAFIKI WA KIKE kadhaa ambao mtashibana na Kusaidiana bila Mahusiano ya Kimapenzi.
Utakuwa umesolve mambo mengi unayosumbuka nayo.[emoji276][emoji276][emoji276]
Paka na panya hawawezi kukaa Nyumba moja nafikiri mpaka hapo nimeeleweka,wanawake wengi wanatumia urafiki vibaya vizinga kila Mara shida tuu.
 
Back
Top Bottom