Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Teh teh..Najuta kuzaa na mwehu..Ndo story za kumwambia mtoto hizo
Unajuta?!!!!
We mtoto hufuata akili za mama, sasa unafikiri bila kuzaa na mimi mtoto kichwa vile ungempata wapi?
Sijamwambia ila anajua, umesahau mtoto wetu ni mtoto na nusu?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajuta?!!!!
We mtoto hufuata akili za mama, sasa unafikiri bila kuzaa na mimi mtoto kichwa vile ungempata wapi?
Sijamwambia ila anajua, umesahau mtoto wetu ni mtoto na nusu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema akili za kupenda pesa umemnyima..Nashukuru kwa hilo..
 
Sema akili za kupenda pesa umemnyima..Nashukuru kwa hilo..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo alivyokudanganya ukaamini? Nani hapendi pesa? Anakula mawe?
 
Najua rafiki tena nazingatia mno maelezo yako..

Mh!!Leo uroho wa Iftar umeniponza tumbo lote linaniuma sijui nilizidisha kipimo aisee! !
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Natamani nione kakitambi kalivyotokaaa
 
Hahaha unanicheka jamani,Mwenzio tumbo linaniuma kweli ujue!!

Hebu nipe pole au nifanyie maombi liache kuuma maana linanitesa !!
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Natamani nione kakitambi kalivyotokaaa
 
Back
Top Bottom