Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Washikaji tafuteni marafiki wa kike

mkuu,Mimi naomba nitoe ushuhuda kusapot hoja yako,nipo songea ndiko nakofanyia kaz (41 kj-ruhuwiko),nina rafiki yangu wa kike yy ni mwalim shule ya msingi iramba huko mkoani singida,ni rafiki yangu sana na tumeshibana sana,huwezi amini kampani na misaada tunavyosaidiana mmoja wetu akikwama huyu binti husimama na mm kuliko rafiki yangu wa kiume mwenye hadhi ya mkuu wa mkoa au waziri,nilipata matatzo kdgo kazin halaf nyumbani kukawa na shida iliyohtaj uwekezaj wa nataka sana kuisolve,aliingia bank akakopa 6M akanitumia yote,ishatokea shida flan pia kwao,yy akiwa na hali mbaya kifedha kipind hcho,nikamwambia tulia,nilizama bank na kuomba ruhusa job,nikifunga safar had kwa wazaz wake bariadi huko na nikaisimamia ile shida had tukaimaliza,tulizungushwa sana mahakamani na nyumba ya wazaz wake tukaiokoa kupigwa mnada,tunashibana sana na huyu rafk yng madam D****e
angekuwa wako afu ana rafik Wa kiume kama ww anaweza kopa m6 akamtumia nahisi ungeazisha thread ya tukio hilo
 
Hip ndo urafiki wa kweli mkuu hongera. Ila usije siku moja ukaingiza katikati suala la mapenzi nakuhakikishia atakuchukia vbaya mno
mkuu,Mimi naomba nitoe ushuhuda kusapot hoja yako,nipo songea ndiko nakofanyia kaz (41 kj-ruhuwiko),nina rafiki yangu wa kike yy ni mwalim shule ya msingi iramba huko mkoani singida,ni rafiki yangu sana na tumeshibana sana,huwezi amini kampani na misaada tunavyosaidiana mmoja wetu akikwama huyu binti husimama na mm kuliko rafiki yangu wa kiume mwenye hadhi ya mkuu wa mkoa au waziri,nilipata matatzo kdgo kazin halaf nyumbani kukawa na shida iliyohtaj uwekezaj wa nataka sana kuisolve,aliingia bank akakopa 6M akanitumia yote,ishatokea shida flan pia kwao,yy akiwa na hali mbaya kifedha kipind hcho,nikamwambia tulia,nilizama bank na kuomba ruhusa job,nikifunga safar had kwa wazaz wake bariadi huko na nikaisimamia ile shida had tukaimaliza,tulizungushwa sana mahakamani na nyumba ya wazaz wake tukaiokoa kupigwa mnada,tunashibana sana na huyu rafk yng madam D****e
 
Ninae mmoja,Siache kumshukuru Mungu kwa ajili ua huyu r angu.
Amekuwa kama ndugu kwangu
 
angekuwa wako afu ana rafik Wa kiume kama ww anaweza kopa m6 akamtumia nahisi ungeazisha thread ya tukio hilo
mkuu,usishangae kuhusu 6M kupatiwa na huyo rafiki yangu,nikuanbie tu kitu,mambo mengi sjayazungumzia hapa jukwaani,kuna kipindi aliumwa mm nlikuwa songea huku,kwa taarifa yako mume wake anajua akithubutu kutaka urafki wetu ufe huyu Dada yuko tayar kuachana nae,uzuri ni kwamba rafiki yng na mimi ndo pekee wanaejua kuwa hatutoki kimapenz japo kwa mtu tofauti na sisi wawili kuamini ni ngum sana
 
Back
Top Bottom