Mkuu naomba namba yake kama hajaolewa nimuoe
kashaolewa jombaa,anawatoto wawili mapacha,urafiki wetu ni toka mbali sana ndo maana hata mume wake kashindwa kuuvunja huu urafik wetuMkuu naomba namba yake kama hajaolewa nimuoe
Mkuu naomba namba yake kama hajaolewa nimuoe
kashaolewa jombaa,anawatoto wawili mapacha,urafiki wetu ni toka mbali sana ndo maana hata mume wake kashindwa kuuvunja huu urafik wetuMkuu naomba namba yake kama hajaolewa nimuoe
Basi mkuu ww sahau tu maana humu hutawapata..uwe mpole tu kama mm hapa maana hatutofautian sana.Sawa Mkuu maana mimi nikiombwa hela napatwa na Homa Ya dengue fasta.
Yan hawa wadada wa mjini kama wachawi vle unakuta mtu anakuomba hela kilekipindi ambacho umebakiwa na hela ya ngama unakuta hiyo hela uliyo kuwa nayo ndio maisha yako na ukoo wenu wote wanaiangalia hyo hyo.
kashaolewa jombaa,anawatoto wawili mapacha,urafiki wetu ni toka mbali sana ndo maana hata mume wake kashindwa kuuvunja huu urafik wetu
hahahahaaaaa,bado na haitatokea,she is better kwangu akisimama kama rafik kuliko akisimama kwa nafasi ya mpenzi,nadhan hata mm kwa upande wake ni hvyo,tunafrahia sana maisha haya,sema tuko distant tuu,ila inapotokeaga tumeonana anapenda sana kampani yangu,ninapenda sana yakwake,kinachotuuaga sana ni namna kila mmoja wetu anavyosimama upande wa mwenzie apatapo shida,hicho tu ndo kinashikilia urafik wetu jombaaAisee,hujamla kweli wewe?
Nyie mnakoelekea siko kabisaahahahahaaaaa,bado na haitatokea,she is better kwangu akisimama kama rafik kuliko akisimama kwa nafasi ya mpenzi,nadhan hata mm kwa upande wake ni hvyo,tunafrahia sana maisha haya,sema tuko distant tuu,ila inapotokeaga tumeonana anapenda sana kampani yangu,ninapenda sana yakwake,kinachotuuaga sana ni namna kila mmoja wetu anavyosimama upande wa mwenzie apatapo shida,hicho tu ndo kinashikilia urafik wetu jombaa
Aiseehahahahaaaaa,bado na haitatokea,she is better kwangu akisimama kama rafik kuliko akisimama kwa nafasi ya mpenzi,nadhan hata mm kwa upande wake ni hvyo,tunafrahia sana maisha haya,sema tuko distant tuu,ila inapotokeaga tumeonana anapenda sana kampani yangu,ninapenda sana yakwake,kinachotuuaga sana ni namna kila mmoja wetu anavyosimama upande wa mwenzie apatapo shida,hicho tu ndo kinashikilia urafik wetu jombaa
man,wala hakuna shida yyte tunakoelekea,tumetoka mbali sana,urafik wetu ulianza ktambo (2002),tukiwa kijijini watoto,tulishapotezana tukaja kutana hakuna kilichibadilikaNyie mnakoelekea siko kabisaa
Je ww umeoa au una gal??na anajua kuhusu huo uhusiano wenu?na anauchukuliaje??man,wala hakuna shida yyte tunakoelekea,tumetoka mbali sana,urafik wetu ulianza ktambo (2002),tukiwa kijijini watoto,tulishapotezana tukaja kutana hakuna kilichibadilika
Kwenye urafiki hamna vizinga kuna kusaidiana!!!Ngoja nianze kutafuta humu humu
Ila tatizo Vizinga vingi na hiv sina kitu nahisi tutazinguana baada Ya masaa matatu mbele.
Nina mke wangu,nampenda sana sanaa,anaujua huu urafiki lakin,mwanzo ilikuwa ni changamoto sana,alipokuja kuconfirm akawa na asilimia flan za kuamini,alienda likizo nyumbani kwetu ikabd aende had kwao na huyu rafik yng sjui alivyojieleza na ndpo akawa na some sorts of trust kwetu,,,,,,,,,,kuhusu mwenzangu,mwanzoni mme wake aliibua ugomvi mkubwa sana,wakapelekana kwa wazaz wake na binti,mbele ya wazee binti akasema buffet ni rafik yng,baba na mama mbalijua hilo,alisimamia hii nyumba ispigwe mnada kwa mda na gharama zake sio kwamba ni mpenz wangu,ni rafiki yng tu,niko tayari kuachana na huyu mwanaume ila co anavyotaka niwe mbali na rafik yng,ananionea sisi co wapenz,mambo ni mengi ad wazee wetu walishirikishana wakakubaliana kutuacha tu,tusharogana mm na huyu rafikiJe ww umeoa au una gal??na anajua kuhusu huo uhusiano wenu?na anauchukuliaje??
Same question to her!!!!
Usiogope vizinga kwa rafiki yako 😂😂😂Ngoja nianze kutafuta humu humu
Ila tatizo Vizinga vingi na hiv sina kitu nahisi tutazinguana baada Ya masaa matatu mbele.
aisee sijawah pata rafiki asintongoze
nilipataga mmoja tu chuo ila alikua ana hasira sana alafu mimi nilimjali kwa hiyo ili nisimuuzi nikakata mawasiliano baada ya chuo.japo tulikua friends bila mtongozo for 2 years kuanzia mwaka wa pili
ila ana hasira balaa
tangu hapo sijapata tena
Kwenye urafiki hamna vizinga kuna kusaidiana!!!
mkuu,Mimi naomba nitoe ushuhuda kusapot hoja yako,nipo songea ndiko nakofanyia kaz (41 kj-ruhuwiko),nina rafiki yangu wa kike yy ni mwalim shule ya msingi iramba huko mkoani singida,ni rafiki yangu sana na tumeshibana sana,huwezi amini kampani na misaada tunavyosaidiana mmoja wetu akikwama huyu binti husimama na mm kuliko rafiki yangu wa kiume mwenye hadhi ya mkuu wa mkoa au waziri,nilipata matatzo kdgo kazin halaf nyumbani kukawa na shida iliyohtaj uwekezaj wa nataka sana kuisolve,aliingia bank akakopa 6M akanitumia yote,ishatokea shida flan pia kwao,yy akiwa na hali mbaya kifedha kipind hcho,nikamwambia tulia,nilizama bank na kuomba ruhusa job,nikifunga safar had kwa wazaz wake bariadi huko na nikaisimamia ile shida had tukaimaliza,tulizungushwa sana mahakamani na nyumba ya wazaz wake tukaiokoa kupigwa mnada,tunashibana sana na huyu rafk yng madam D****e
Nipo my dear Da'Vinci Nimekukosa sana rafiki yangu..!!SweetieLee wapi upo...........?
Majukumu tu ila usijali, nipo hapa..!!Nakutafuta Jf sikuonii.. kote sikupatiii