Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Taratibu Members Msifikirie Mtoa Ushuhuda Ameanza Rahisi Ni Mlolongo Mpaka Mtu Unakuwa Huna Hofu Naye Huwezi Kuzoa Tu
Siyo Rahisi Mtu Akope Millions Sita Akupe
Tazama Umbali Mrefu Huo

Lazima Wamepitia Mengi Sana Na Sasa Hao Siyo Marafiki Ni Ndugu Ambao Huwezi Kujua Hadi Waseme Wametokea Mbali
 
i wish aisee
hongereni
asante,inawezekana hata ww ukapata rafik wa jinsia tofauti,mkaheshimiana,mkapendana na mkasaidiana sana,mkawa tayar kujitoa kwa lolote na msiingie kwny mapenz,hili sisi tumeliweza na tunafrahia sana sanaaaa askwambie mtu
 
mimi nina bahati mbaya kwa kweli!! Rafiki zangu wakike wanaishiaga kuwa friends with benefits...means tukiwa na hamu tunanjanjuana tu!!
Kumbe friends with benefits mkiwa na hamu mnanjunjana?? Miii ctaki
 
Ipo siku mtagegedana tu
Hongera kwa kua na rafk bora
mkuu,Mimi naomba nitoe ushuhuda kusapot hoja yako,nipo songea ndiko nakofanyia kaz (41 kj-ruhuwiko),nina rafiki yangu wa kike yy ni mwalim shule ya msingi iramba huko mkoani singida,ni rafiki yangu sana na tumeshibana sana,huwezi amini kampani na misaada tunavyosaidiana mmoja wetu akikwama huyu binti husimama na mm kuliko rafiki yangu wa kiume mwenye hadhi ya mkuu wa mkoa au waziri,nilipata matatzo kdgo kazin halaf nyumbani kukawa na shida iliyohtaj uwekezaj wa nataka sana kuisolve,aliingia bank akakopa 6M akanitumia yote,ishatokea shida flan pia kwao,yy akiwa na hali mbaya kifedha kipind hcho,nikamwambia tulia,nilizama bank na kuomba ruhusa job,nikifunga safar had kwa wazaz wake bariadi huko na nikaisimamia ile shida had tukaimaliza,tulizungushwa sana mahakamani na nyumba ya wazaz wake tukaiokoa kupigwa mnada,tunashibana sana na huyu rafk yng madam D****e
 
Kushibana na rafiki wa kike inahitaji akili kubwa
 
Taratibu Members Msifikirie Mtoa Ushuhuda Ameanza Rahisi Ni Mlolongo Mpaka Mtu Unakuwa Huna Hofu Naye Huwezi Kuzoa Tu
Siyo Rahisi Mtu Akope Millions Sita Akupe
Tazama Umbali Mrefu Huo

Lazima Wamepitia Mengi Sana Na Sasa Hao Siyo Marafiki Ni Ndugu Ambao Huwezi Kujua Hadi Waseme Wametokea Mbali
uko sahihi,nimefupisha mambo mengi sana na mengi nmeyaacha sjayaongelea,nadhan nitamwomba akubali kwa nia njema niifungulie uzi hii kitu,akikubali nkapata muda nitashare hii experience yetu,sisi saiv ni zaid ya ndugu,sijaongelea mambo mengi sana ktk ushuhuda huo
 
Back
Top Bottom