Washikaji tafuteni marafiki wa kike

Washikaji tafuteni marafiki wa kike

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo alivyokudanganya ukaamini? Nani hapendi pesa? Anakula mawe?
We umezidi..Unawaza pesa hata faragha??
 
Mh!!nikiwaambia hivyo wananiambia nikatie japo baraka yan ile Sunna tu,nikijichanganya kwenda ndio yananikutaga kama ya leo. .

Kwan wewe ukialikwa utakataa rafiki! ?
Pokea waambie umeshiba jamani!
 
Nataka marafiki wa kike sana tu ila sharti awe ananisaidia Mara moja moja mgegedo nikizidiwa
Wazee, Jitahidi Uwe na Japo MARAFIKI WA KIKE kadhaa ambao mtashibana na Kusaidiana bila Mahusiano ya Kimapenzi.
Utakuwa umesolve mambo mengi unayosumbuka nayo.[emoji276][emoji276][emoji276]
 
Kwamba vya bure haviliwi au??

Hawa wanaonialika ni rafiki wamefikia level ya udugu kabisa ...

Kwahyo siku niikualika utakataa enhe!?
Mie huwa nashukuru na siendi kabisa mimi!.
Nikale vya bure kabisa?! Huwa siendi rafiki
 
Kwamba vya bure haviliwi au??

Hawa wanaonialika ni rafiki wamefikia level ya udugu kabisa ...

Kwahyo siku niikualika utakataa enhe!?
Sikatai kwa ubaya!
Kwanza niko na aibu, uniite nikuje nikae nianze kula! Mmmh!
Hapo pagumu kidogo kwangu!
 
Back
Top Bottom