Nahitaji kuwa na marafiki wengi wa kike

Nahitaji kuwa na marafiki wengi wa kike

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,710
Reaction score
63,393
Wataalamu wanasema, kuwa na marafiki wengi wa kike ni sawa na kufuga kuku wengi bandani, pale unapohisi njaa unamkata kuku mmojawapo, unachinja na kumla.

Ingawa changamoto yao, ya kuwa nao wengi, wanakula sana mapumba (hela) ila hawata taka kuathiri vyanzo vyako vya fedha; ila ni bora wao kuliko kuwa na marafiki wengi wa kiume/ jinsia yako, ambao utawalisha, utawanywesha lakini bado watataka kujua vyanzo vyako vya fedha, ili wakuangushe.

Kwa hiyo, marafiki wote wa kike karibuni; baharia nipo hapa, tayari kuwapokea kwa mikono miwili.​
 
Screenshot_2026-08-06_010136.jpg
 
Back
Top Bottom