Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Rayvanny COCA-COLA
Unaweza kuweka link ya tangazo la endorsement hiyo?
Rayvanny COCA-COLA
Sasa unafananisha wasanii hata ambao hawajulikanai na ZUCHU kweli..!!!???come on dada DIAMOND awezi kujiaribia maana I brand kubwa sawa dogo TULIA DAWA IKUINGIE.
Nakuelewa mam mpe huyu ukweli na auelewe khaaaaah, mahaba yao yamezidi mnoo kiasi hadi wanaharibu.Hahahaha acha ushabiki maandazi basi pugi hamfikii nandy kwa endorsement.
Tatizo unatetea mpaka unaharibu. Ni rahisi kampuni kumuacha domo na kumpa ray maana wote wana viwango tofauti ya pesa ni kama kutofautisha dhahabu na tanzanite.
Kampuni inaweza kuja na pesa kiwango cha ray ila sababu boss ni dai unakuta analichukua hilo deal kwa kiwango hicho hicho ili mradi tu kuwabana wasanii wake wasimzidi.
Mbona unaenda mbali kwa kiba unamuacha konde hapo karibu tu. Kiba hachukui madeal madogo madogo,pugi unayemtolea mfano anachukua hata deal la kusukwa yebo yeye na binti yake picha pwaaa tunaringishiwa insta
Hamna kitu maunderground wa huko tuWapo vizuri wale na hakuna kile cha kucopy kisha kusingizia hakunaga kipya duniani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa kumbe unajuaga anatoaga HIT so calm down dawa ikuingie sasa dogo.Huwez kuelewa nn kinazungumziwa, wee hebu nenda huko u2be ukawe unaview, na ndio hicho [emoji184] anachofanya anatoa hit ili apate views huko unakosemea, na sio aimbe wimbo ambao ni mzuri kwa jamii. Ukweli lazima usemwee tyuuh aaah
Mzee mbona unalazimisha vitu una act as if shule huna,Hakuna msanii yoyote anapanga kuwa na endorsement ya company gani Bali company Inapanga Iwe na ubalozi na msanii gani Hakuna mtu anaminywa mbona wasanii wengi hawana endorsement na Ni wakubwa Aslay hana,Marioo nae hana, Jux Hana gnako nae Hana Fid Q Hana lakini gigy money na shilole ukimtoa Diamond ndio wanaofuata kwa kuwa na ubalozi wa company nyingi unataka kuniambia gigy money na shilole Ni wakubwa au Ni wasanii wakali kuliko Rayvanny, Alikiba,Aslay,Jux?Tunazungumzia WCB, siyo kina Ali Kiba.
Unaweza kuorodhesha endorsements za Diamond kwa miaka 5 iliyopita?
Kwa mtazamo wako, unadhani kati ya hizo hakuna ambayo ilistahili apewe Rayvanny? au Harmonize kipindi yuko WCB?
Dili dogo au sio potential kwa kubrand bidhaaa,Pepsi brand kubwa usifananishe DIAMOND na hizo takatakaHahahaha acha ushabiki maandazi basi pugi hamfikii nandy kwa endorsement.
Tatizo unatetea mpaka unaharibu. Ni rahisi kampuni kumuacha domo na kumpa ray maana wote wana viwango tofauti ya pesa ni kama kutofautisha dhahabu na tanzanite.
Kampuni inaweza kuja na pesa kiwango cha ray ila sababu boss ni dai unakuta analichukua hilo deal kwa kiwango hicho hicho ili mradi tu kuwabana wasanii wake wasimzidi.
Mbona unaenda mbali kwa kiba unamuacha konde hapo karibu tu. Kiba hachukui madeal madogo madogo,pugi unayemtolea mfano anachukua hata deal la kusukwa yebo yeye na binti yake picha pwaaa tunaringishiwa insta
Nakuelewa mam mpe huyu ukweli na auelewe khaaaaah, mahaba yao yamezidi mnoo kiasi hadi wanaharibu.
Acha ukauzu ni watu tofautiNdyo n id 2 tofaut ila mtu n mmoja.
Nakuwekea soonUnaweza kuweka link ya tangazo la endorsement hiyo?
Mwaka wa 2018 alikaa bila kutoa ngoma ndo akaja na the one.
Mzee mbona unalazimisha vitu una act as if shule huna
Kumtukana underground,maana kwa mwaka huu tu alikiba anazidiwa views na zuchu so how comes..?Huwafahamu wewe mkuu ila wao wimbo ndani ya masaa matano wana views 50million. Zuchu wako anakua na views 200 napo mpaka mtukane kiba na konde weee ndo zinaanza kupanda na kugota kwenye 1 mill
Ni mtu mmoja, kwan unadhan huku wapo watoto wa chekechea? Aaaah weeehAcha ukauzu ni watu tofauti
Sikomi ndiyo singo ambayo in views 50m+ na kuingia kwenye nomination nyingi Than any,so how comes useme alikurupuka...?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Google wameniambia alikurupuka na jibebe,sikomi aiseee hadi umeisahau
Acha kulazimisha maji kupanda mlimaNi mtu mmoja, kwan unadhan huku wapo watoto wa chekechea? Aaaah weeeh
[emoji23][emoji23][emoji23] siwezi kubishana na weeee, umeweka mahaba mbele pasipo hata kuelewa nn kinahusu? Na ndio maan huyo domo anatoa boko nyie mnafurahia, si ameshawajua akili zenu kazishika yeye, poleeeeeh sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa kumbe unajuaga anatoaga HIT so calm down dawa ikuingie sasa dogo.
Sikomi ndiyo singo ambayo in views 50m+ na kuingia kwenye nomination nyingi Than any,so how comes useme alikurupuka...?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumtukana underground,maana kwa mwaka huu tu alikiba anazidiwa views na zuchu so how comes..?
Sasa ueleweki na mimi sikuelewi ko atuelewani so tutulie tule dundo la AMABOKO HIT SONG.[emoji23][emoji23][emoji23] siwezi kubishana na weeee, umeweka mahaba mbele pasipo hata kuelewa nn kinahusu? Na ndio maan huyo domo anatoa boko nyie mnafurahia, si ameshawajua akili zenu kazishika yeye, poleeeeeh sana
Huku sio u2be chaliii, kaa kwa kutulia, id 2 tofauti ila mtu n mmoja. Mbaya zaidi umeshindwa kutoficha tabia zako kwa kila id husika, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kulazimisha maji kupanda mlima