Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,243
we ulitaka ubebwe na mbeleko au ?Kwa wanaoelewa Sana'a vizur watakuambia tuu hakuna lolote palee wimbo utabebwa na videooo
ndomaana nikasema kuwa swala la kwanza hapa ujue kitu kimoja kuwa huyo unayesema anaimba matusi ndo anaongoza kwa kusikilizwa na watu wengi ndugu yangu..sasa hata kama utabisha na kuchukia swala ni moja tu kuwa anapendwa..ni sawa na pale ligi ya uingereza alipochukua Leicester city sio kumaanisha timu kubwa hazipo ila zilikuwa dhoooofu bin hali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshe mie, jaman tunazungumzia [emoji184] wee unachanganya na Alikiba, hebu soma vizuri hyo post uelewe , sasa kwahiyo Alikiba kutoa nyimbo isiyo kiki ndio ruhusa ya platinumz kutoa nyimbo ya hovyo na matusi? Unashangaza sana lol
lazima ni yeye tu sio buree..swali langu ni kwamba hizo nyimbo nzuri wanaoimba mbona hawatuwaoni...watu wanachanganya Enzi za kina king kiki na Enzi hizi...Ni ww mkuu [emoji38][emoji38]...
Au kuna mtu kahack acc yako?
Poleeeeeh hicho ulichokiandika hata hakilet maana, tofauti kabisaaahndomaana nikasema kuwa swala la kwanza hapa ujue kitu kimoja kuwa huyo unayesema anaimba matusi ndo anaongoza kwa kusikilizwa na watu wengi ndugu yangu..sasa hata kama utabisha na kuchukia swala ni moja tu kuwa anapendwa..ni sawa na pale ligi ya uingereza alipochukua Leicester city sio kumaanisha timu kubwa hazipo ila zilikuwa dhoooofu bin hali
umegoma kuelewa usijali namwachia Mungu kuwa na amaniPoleeeeeh hicho ulichokiandika hata hakilet maana, tofauti kabisaaah
Sawaaaaaahumegoma kuelewa usijali namwachia Mungu kuwa na amani
asante kwahiloSawaaaaaah
I miss yeouidoWapo vizuri wale na hakuna kile cha kucopy kisha kusingizia hakunaga kipya duniani
Nenda Kule ukasikilize hapa ni AMABOKO HIT SONG OF THE YEAR.wimbo alioimba bibi kudude yalaiti hatausikilize leo utaupenda vizuri tu lakini nyimbo za siku hizi wiki mbili tu chali...lakini sasa kwa huohuo wiki mbili chali bado zinaongoza kwa kupendwa sana na kutoa mpunga mrefu sana..hata kama hupendi lakini ukweli ndo huoo..ukiwauliza watoto katika 10 kuwa wanagapi wanampenda dai 9 watampenda na mmoja atakuwa upande mwingne
wanasema kipenda roho hula nyama mbichi hata kama mbaya vipi bado mtu ataipendaNenda Kule ukasikilize hapa ni AMABOKO HIT SONG OF THE YEAR.
Mbaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani 1 day 1m+ kweli chuki kwa WCB ni mbaya sana.wanasema kipenda roho hula nyama mbichi hata kama mbaya vipi bado mtu ataipenda