Wasafi kama wanaishiwa hivi...

Wasafi kama wanaishiwa hivi...

Namjibia halafu kumi wengi,wcb ina wasanii wa kueleweka watatu so unajibiwa endorsement tatu tu
Nandy
Kondeboy
Billnas
Nimekuuliza 10 kwasababu tunao wasanii zaidi ya 100, hivyo nilitaka kujua angalau 10% wenye Endorsements umeshindwa kujibu swali ?
 
Jamani hata maji maji fc Ina mashabiki wake.
Ukiona umeanza kutowakubali wcb jua wewe sio shabiki YAO.
Kuna watu hata wcb watoe kwaya wataruka nayo
 
Hujaniuliza mimi mkuu na nimekujibu watatu ili team misukule muinuke muwaombee ubalozi wasanii wenu hadi wema na pugi wanawashinda kwenye ubalozi bila kusahau shishi na gigymoney hata amberlulu kadaka ya ndomu,lulu nae ana ubalozi ila zuchu hana,ray hana,mbosso hana aiseeee
Nimekuuliza 10 kwasababu tunao wasanii zaidi ya 100, hivyo nilitaka kujua angalau 10% wenye Endorsements umeshindwa kujibu swali ?
 
Hujaniuliza mimi mkuu na nimekujibu watatu ili team misukule muinuke muwaombee ubalozi wasanii wenu hadi wema na pugi wanawashinda kwenye ubalozi bila kusahau shishi na gigymoney hata amberlulu kadaka ya ndomu,lulu nae ana ubalozi ila zuchu hana,ray hana,mbosso hana aiseeee
Kama umeamua kujibu swali unapaswa hujibu kama ulivyoulizwa, usilete utoto kwenye mambo ya msingi , inakuaje Amberlulu anapata deal halafu Mario hapati deal ?ulishawai kuwaza hili ,Roma, stamina , Fid Q hawana Deals wala haushangai kipi kinakufanya ushangae wakina Zuchu !! tumieni vichwa vizuri sio mnafugia nywele tu , Deals ni habari pana
 
Anayeleta mambo ya kitoto na kupanic ni wewe. Acha kulia lia umetaka kutajiwa wasanii wenye ubalozi umewaona hapo umeanza kutaja wengine. Huyo mario ndo nani kwanza.

Tupate burudani kidogo kupunguza panicking
1593355514217.gif

Kama umeamua kujibu swali unapaswa hujibu kama ulivyoulizwa, usilete utoto kwenye mambo ya msingi , inakuaje Amberlulu anapata deal halafu Mario hapati deal ?ulishawai kuwaza hili ,Roma, stamina , Fid Q hawana Deals wala haushangai kipi kinakufanya ushangae wakina Zuchu !! tumieni vichwa vizuri sio mnafugia nywele tu , Deals ni habari pana
 
Anayeleta mambo ya kitoto na kupanic ni wewe. Acha kulia lia umetaka kutajiwa wasanii wenye ubalozi umewaona hapo umeanza kutaja wengine. Huyo mario ndo nani kwanza.

Tupate burudani kidogo kupunguza panickingView attachment 1491385
Unafikir utaandika nini !! humu ndani sio kila utopolo unaoandika utaachwa upite , lazima tukunyooshe , unaambiwa wasanii wa mziki 10 , wewe unataja watano na wema akiwemo, sasa mtu kama wewe tunakushughulikia tu, halafu nimekuuliza Roma, stamina , Fid Q, Mario , mbona hawapati Deals anakuja pata Amberlulu ? hili swali unapita kama ulioni
 
Bibi yangu alishawahi nambia siku moja.... Chochote kiendacho juu kwa kasi hurudi na kushuka chini kwa kasi pia....

WCB na shughuli zao hazijakaa kimziki kwa asilimia zote.... Wapo kigenge genge sana..... Yaani kwa maneno mengine wanatumia hila nyingi sana katika kutrend na kushika namba. Hii ni kitu mbaya sana katika industry ya mziki....

Siku hizi hadi ubunifu umeshashuka kiasi kwamba genre zote ndani ya bongoflavour hazipo vema tena wasanii wanaimba style moja hakuna ubunifu bali ushabiki tu na kushindana kitoto.

Hakuna raggae wala ragga, hakuna R&B tena kuna watu wanaimba imba tu the last BONGO Flavored R&B niliisikia ni ya dogo m'moja anaitwa sijui Heri music sina uhakika ila nyimbo kwenye chorus ina maneno "twende sawa ni mambo che che che sawa sawa, ni mambo cheeeeche eee sawa" ila na ya akina makamua ya "Natamani kumuona kwa mara nyingine tena" na hata leo zikipigwa unatikisa kichwa kwa utamu.... Ila sasa hivi ni takataka tupu hakuna mziki.... Alikiba amekalia tu kale kamlio kake kama kuku sijui utasiki eeeyooo.... Basi upuuzi mtupu....
Ushindani ndo tunao utaka TULIA DAWA IKUINGIE.
 
Msukule am le panic button hauna wakumnyoosha. Wapeni ubalozi wasanii wenu acheni uchoyo na kiroho papo
Unafikir utaandika nini !! humu ndani sio kila utopolo unaoandika utaachwa upite , lazima tukunyooshe , unaambiwa wasanii wa mziki 10 , wewe unataja watano na wema akiwemo, sasa mtu kama wewe tunakushughulikia tu, halafu nimekuuliza Roma, stamina , Fid Q, Mario , mbona hawapati Deals anakuja pata Amberlulu ? hili swali unapita kama ulioni
 
Mleta mada umefanikisha lengo lako maana wengi tumelazimika kwenda kuangalia video na kuongeza viewers...nice one [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji16]
 
Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa DP lakini niuseme ukweli tu kwa hii nyimbo KAKURUPUKA na ni lazima ATULIZANE ili nyimbo yake itakayofuata iweze kukonga nyoyo za wapenzi wake na hata wasiokuwa wapenzi wake.
Nani kakuambia nyimbo ni ya diamond?
 
Msukule am le panic button hauna wakumnyoosha. Wapeni ubalozi wasanii wenu acheni uchoyo na kiroho papo
Maswali yangu hujayaona au ndio huna cha kujibu ? nimekuuliza ni kigezo gani kimempa ubalozi amberlulu na kimewanyima Stamina, Mario, Fid Q, Madee, Dogo janja , Young Killer N.k acha kupayuka payuka jibu swali
 
Diamond na management yake ni watu wenye akili sana na wanaijua biashara ya muziki kuliko mnavyodhani,ukiona diamond anaconcentrate na kupata views za u tube basi jua kwamba pesa ipo huko kwa sasa,sasa hivi hata utoe pini kali show hamna sasa ni bora utoe tu nyimbo za kurukaruka utengeneze video nzuri upate viewers wengi u tube utengeneze pesa upande huo.waacheni tu hawa jamaa wana akili kubwa ya biashara.
 
Lakin pia tukumbuke nyimbo ni ya rayvanny.. Mana naona shutuma zinaelekezwa kwa mond tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom