Mshumaa_Tz
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 681
- 2,503
Alikiba yuko vizuri mtoa mada Niko pamoja na wewe
Wasafi bila Harmonise ni weupe sana. Muda utaongea nyie subiriniSorry,
Ni maoni yangu binafsi. Huu wimbo walioutoa rayvanny na diamond wakuitwa amaboko it's very ordinary song na Kwa wale wanaofahamu mambo ya midundo (beats) watakubaliana nami kwamba huu wimbo beat yake ni kama ya previous song na hata mahadhi yake (genre) ni kama ya nyimbo zilizopita.
Ndo hivyo WCB CHAMA LAOOOOOOAnafanya sampling sana siku hizi..kwa mtu wa muziki lazima atatambua tu kwamba vionjo vinajirudia sana.sema nn wale die hard fan wake hawatakuelewa
Yeah kaacha,but ndomana mnamuongeleaMi nimeacha kumsikiliza diamond,maana siku hizi haimbi ila anatukana tu
Mara embu chutama kama inazama,
Mara nikipekenya pekenya nisiwahi nichelewe...
Mara naipitisha kwa chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara weka mate nyuma niteleze.
Binafsi naona kaacha mziki tangu alivyoimba nitarejea.
Lakini ndo wanongoza kwa stream sawa dogoKidogo kidogo naona kama ni kweli hivi....
Mimi kila wakitoa wimbo nilikuwa najiambia "labda huu ni intro tuu wakijiandaa kutoa dude kaliii", lkn wapi. Naona wimbo hadi wimbo graph inazidi kuporomoka tuu.
Nadhani kuna mahali mambo si shwari.
Unforgetable
Hakuna WCB die hard fan Kama wewe,sema ni team kibamia ,WCB hatunaga kuikana CHAMA sawa.Nimekuwa mshabiki mkubwa sana wa wcb Ila kiukweli sikuhizi wanatoa nyimbo mbovu sana, diamond aliacha kutoa nyimbo zinazoelewa 2018 kurudi chini
Blackpink is pure talent....yule rapper wao ni world class na lead singer ni level za beyonceKwa sasa domo anakimbizana na views za you tube ila angejua anajiharibia soko asingefanya hivyo,anakurupuka sana,hapo soon nadhan mwezi ujao anatoa collabo na zuchu. Kuna grup la wadada korea(blackpink sijui nimepatia jina) wanatoa nyimbo baada ya kukaa kimya kwa muda na wimbo una ujumbe mzuri na ndani ya masaa 24 wana views milion 82 you tube
Kwani Kuna msanii DIAMOND peke ake,basi tutaona na video maana simmesha sikiliza..?na je wasanii wengi siwanatoa nyimbo mbona hamtaki kujua wametoa Nini Hadi zifike trending,TULIENI DAWA IWAINGIE AMABOKO HIT SONG.Trending sio tatizoo hiii nii kutokana na attention ya watu kujuaa mond atataoaa wimboo gani sahiv na lazmaa watu wakaangalieee ,,sasaa hatuwezii kutoa maoni pasipo kusikilizaaa.....
Kwa wanaoelewa Sana'a vizur watakuambia tuu hakuna lolote palee wimbo utabebwa na videooo
AMABOKO HIT SONGNyimbo mbovu ya wcb kwa miaka 3 iliyopita,
Nadhan hata wao wanaona hilo
Hakuna shabiki mkubwa wa WCB ambaye anaenda kinyume na CHAMA WCB NGUVU MOJA,WEWE NI TIMU KIBAMIA SAWA.Mimi ni shabiki mkubwa sana wa WCB ila kuna mambo lazima tuseme tu ukweli wanatakiwa kubadilika bhana, siyo kila siku tone ile ile na ujumbe wa uvunguni tuuu
Sasa unafananisha wasanii hata ambao hawajulikanai na ZUCHU kweli..!!!???come on dada DIAMOND awezi kujiaribia maana I brand kubwa sawa dogo TULIA DAWA IKUINGIE.Kwa sasa domo anakimbizana na views za you tube ila angejua anajiharibia soko asingefanya hivyo,anakurupuka sana,hapo soon nadhan mwezi ujao anatoa collabo na zuchu. Kuna grup la wadada korea(blackpink sijui nimepatia jina) wanatoa nyimbo baada ya kukaa kimya kwa muda na wimbo una ujumbe mzuri na ndani ya masaa 24 wana views milion 82 you tube
Hiyo ni hit song tayari AMABOKO #1,kaangalie so hot ya kibamia ambayo ni utopolo number 1.Honestly huu wimbo ni utopolo, wajipange watoe hits sio kukurupuka [emoji375]
Ahaaaaah harmonize...?ambaye hata kwa mboso haingii ndo waendane nae...?Nadhani wanajaribu kuendana na kasi ya Harmonize.
Kwani wasanii wengine si watafute wamekatazwa,TULIA DAWA IWAINGIE MADOGO,WCB CHAMA KUBWA.Huyo Domokaya alishaacha kuimba 2018, saivi anatafuta tyuuh views u2be baaas, hakuna chochote cha maana n matus tyuuh khaaaaah
YULE MZEEE[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndo yuko vizuri unajua kujichetua kweli.Alikiba yuko vizuri mtoa mada Niko pamoja na wewe
Harmonize bila wasafi ni mweupe Sana zaidi ya kiwango Cha SGR,mda utaongea subiri.Wasafi bila Harmonise ni weupe sana. Muda utaongea nyie subirini
Sasa mbona kipind nitarejea hakua mbal kama alivyo sasa? That means matusi yanalipa..[emoji3][emoji3]Mi nimeacha kumsikiliza diamond,maana siku hizi haimbi ila anatukana tu
Mara embu chutama kama inazama,
Mara nikipekenya pekenya nisiwahi nichelewe...
Mara naipitisha kwa chini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara weka mate nyuma niteleze.
Binafsi naona kaacha mziki tangu alivyoimba nitarejea.