Wasafi kama wanaishiwa hivi...

Wasafi kama wanaishiwa hivi...

Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa DP lakini niuseme ukweli tu kwa hii nyimbo KAKURUPUKA na ni lazima ATULIZANE ili nyimbo yake itakayofuata iweze kukonga nyoyo za wapenzi wake na hata wasiokuwa wapenzi wake.
Numbisa pamoja kwamba una chuki na Diamond lakini umeongea ukweli mtupu mziki hauna Siri kizuri kitajitangaza chenyewe hii ngoma Ni ya ovyo Kuna tofauti Kati ya mbaya na ovyo nimeisikiliza tu intro Wala sijajiangaisha kumaliza nyimbo nimeidelete.Tatizo wasanii wetu Wana mentality ya Kuna ngoma za international na local na kingine wameongeza Kuna mziki wa biashara kumbe ngoma Kali Ni Kali tu Hakuna Cha international Wala mziki wa ndani eti wakitoa ngoma za ovyo Kama hii eti wanasema Ni kwaajili ya international yaani Ni upuuzi upuuzi tu.Diamond Ni msanii mzuri na ana ngoma Kali lakini kutokana na hii mentality ya ovyo ya kusema ngoma za international inapelekea kutoumiza kichwa na kuja na ngoma Kama hii wakati ngoma nzuri anaacha anasema hiyo Ni kwa ajili ya soko la ndani.
Don Clericuzio
 
wcb kwa sasa wanatengeneza soko la nje nyie wabongo tulieni hivo hivo ka mnanyolewa, ukiangalia kwenye platform zote wanaoponda ni wabongo pekee bt nje AMABOKO WAMEUKUBALI SANA
 
Ni ww mkuu [emoji38][emoji38]...
Au kuna mtu kahack acc yako?
Numbisa pamoja kwamba una chuki na Diamond lakini umeongea ukweli mtupu mziki hauna Siri kizuri kitajitangaza chenyewe hii ngoma Ni ya ovyo Kuna tofauti Kati ya mbaya na ovyo nimeisikiliza tu intro Wala sijajiangaisha kumaliza nyimbo nimeidelete.Tatizo wasanii wetu Wana mentality ya Kuna ngoma za international na local na kingine wameongeza Kuna mziki wa biashara kumbe ngoma Kali Ni Kali tu Hakuna Cha international Wala mziki wa ndani eti wakitoa ngoma za ovyo Kama hii eti wanasema Ni kwaajili ya international yaani Ni upuuzi upuuzi tu.Diamond Ni msanii mzuri na ana ngoma Kali lakini kutokana na hii mentality ya ovyo ya kusema ngoma za international inapelekea kutoumiza kichwa na kuja na ngoma Kama hii wakati ngoma nzuri anaacha anasema hiyo Ni kwa ajili ya soko la ndani.
Don Clericuzio
 
Ndio maana huwa nasema. DIAMOND si kuwa anawasaidia Wasanii wenzake. Kiufupi hataki wasikike

Diamond kazi yake ni muziki, hao walio chini yake nao kazi yao ni huo huo muziki, kwa namna moja yeye kama bosi hawezi kuruhusu hao madogo wawe juu yake.

Ndiyo maana hata endorsements zote hata zile ndogo anazichukua yeye.
 
Izi banger Tuachieni waenda club ..nyie subirini za kwenu
 
Hamna mziki sasa hivi, wamebaki wanatafuta views tu YouTube huku wakiwaokota mashabiki wao wapumbavu waliojazana nchini kuunga mkono mziki wa kipumbavu.
 
Diamond kazi yake ni muziki, hao walio chini yake nao kazi yao ni huo huo muziki, kwa namna moja yeye kama bosi hawezi kuruhusu hao madogo wawe juu yake.

Ndiyo maana hata endorsements zote hata zile ndogo anazichukua yeye.
Don Clericuzio Hapa naona umeingia choo Cha kike yaani leo hii voda aende WcB amuache diamond akampe ubalozi Rayvanny au mboso kweli?Diamond anawabania kivip?ikiwa Kuna wakati anakaa Hadi mwaka bila hata kutoa ngoma imradi tu hawapromote wasanii wake kingine Ni kwamba company ndio inayopanga msanii yupi anatufaa kwa ajili ya kupromote bidhaa yao na wanakuwa na reasons zao binafsi sio Diamond ndio anapanga mzee
 
Hio ya ubalozi angeangalia namna ya kuwapatia na wasanii wake mtu kama ray kukosa ubalozi sio fresh na mbaya ubalozi ni wa dai ila kama analazimisha na wenzie wamtangazie mfano zuchu na pepsi
Diamond kazi yake ni muziki, hao walio chini yake nao kazi yao ni huo huo muziki, kwa namna moja yeye kama bosi hawezi kuruhusu hao madogo wawe juu yake.

Ndiyo maana hata endorsements zote hata zile ndogo anazichukua yeye.
 
Don Clericuzio Hapa naona umeingia choo Cha kike yaani leo hii voda aende WcB amuache diamond akampe ubalozi Rayvanny au mboso kweli?Diamond anawabania kivip?ikiwa Kuna wakati anakaa Hadi mwaka bila hata kutoa ngoma imradi tu hawapromote wasanii wake kingine Ni kwamba company ndio inayopanga msanii yupi anatufaa kwa ajili ya kupromote bidhaa yao na wanakuwa na reasons zao binafsi sio Diamond ndio anapanga mzee

Unaweza kuniorodheshea endorsements walizonazo wasanii wa WCB ukiacha Diamond?
 
Back
Top Bottom