Wasafi kama wanaishiwa hivi...

Wasafi kama wanaishiwa hivi...

Inno mwaka gani huo domo alikaa mwaka bila kutoa wimbo?

Inawezekana sana tu kwa voda kumruka domo na kumpa ray tatizo mkataba unafikia kwa boss hivyo hata kama wameweka kiwango kidogo cha pesa anakubali hivyo hivyo bila kumfikiria mhusika.

Mtu kama billnas anapata ubalozi ila ray toka lebo inayoitwa kubwa tanzania anakosa hata kaubalozi ka pipi.
Don Clericuzio Hapa naona umeingia choo Cha kike yaani leo hii voda aende WcB amuache diamond akampe ubalozi Rayvanny au mboso kweli?Diamond anawabania kivip?ikiwa Kuna wakati anakaa Hadi mwaka bila hata kutoa ngoma imradi tu hawapromote wasanii wake kingine Ni kwamba company ndio inayopanga msanii yupi anatufaa kwa ajili ya kupromote bidhaa yao na wanakuwa na reasons zao binafsi sio Diamond ndio anapanga mzee
 
Hio ya ubalozi angeangalia namna ya kuwapatia na wasanii wake mtu kama ray kukosa ubalozi sio fresh na mbaya ubalozi ni wa dai ila kama analazimisha na wenzie wamtangazie mfano zuchu na pepsi

Kuna siku niliona picha za members wa WCB wakiwa na chupa za pepsi, nikajua labda ni endorsement ya kundi zima.

Ila baadae nikaja kujua ni ya Diamond peke yake.

Jamaa anabana sana kwenye hilo. Sidhani kama Rayvanny hana uwezo wa kuwa na endorsement kwa level yake.
 
Kwahiyo Kama hawana ndio diamond anawabania? Ngojea nikupe mfano Leo hii tigo anaenda pale king's music anaweza akamuacha Alikiba akampa ubalozi beka flavour?

Tunazungumzia WCB, siyo kina Ali Kiba.

Unaweza kuorodhesha endorsements za Diamond kwa miaka 5 iliyopita?

Kwa mtazamo wako, unadhani kati ya hizo hakuna ambayo ilistahili apewe Rayvanny? au Harmonize kipindi yuko WCB?
 
Kweli kabisa. Dai ni msanii mzuri ila MAPUNGUFU YAKE yanammaliza. Mapungufu hayo(maisha binafsi) ni mzigo alioubeba pa kuutua hakuna. Views za you tube ndo faraja pekee kwake.

Mapenzi yanamchanganya mno,ukiangalia kwake mambo yanafeli ila kwa ndugu zake mambo murua,wao wanajenga familia zao ila kwake hawataki ajenge wanawaza mali zake tu. Huu ni mzigo.

Muda wa kutunga nyimbo nzuri hana maana siku hizi yupo busy kusuntana na wadada wa mujini nao wameshapata kiki kila anayejifungua anamsingizia mtoto.

Studio yake ndo kila kitu. Na ni fan mkubwa wa Michael Jackson.
Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa DP lakini niuseme ukweli tu kwa hii nyimbo KAKURUPUKA na ni lazima ATULIZANE ili nyimbo yake itakayofuata iweze kukonga nyoyo za wapenzi wake na hata wasiokuwa wapenzi wake.
 
Inno mwaka gani huo domo alikaa mwaka bila kutoa wimbo?

Inawezekana sana tu kwa voda kumruka domo na kumpa ray tatizo mkataba unafikia kwa boss hivyo hata kama wameweka kiwango kidogo cha pesa anakubali hivyo hivyo bila kumfikiria mhusika.

Mtu kama billnas anapata ubalozi ila ray toka lebo inayoitwa kubwa tanzania anakosa hata kaubalozi ka pipi.
Bilnass anajitegemea lakini Rayvanny yupo chini ya Wasafi ni ngumu company ikamuacha Diamond mwenye label na jina kubwa na potential ikamfuata Rayvanny labda Rayvanny alitegemee ndio inawezekana.Hili ujue kuhusu industry ya indorsement vizuri ukimtoa Diamond msanii anayefuata na kuwa na indorsement nyingi Ni Hamisa mobetto unataka kuniambia hamisa ana jina kubwa kuliko Alikiba?hata shilole kamzidi kiba kwa endorsement.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshe mie, jaman tunazungumzia [emoji184] wee unachanganya na Alikiba, hebu soma vizuri hyo post uelewe , sasa kwahiyo Alikiba kutoa nyimbo isiyo kiki ndio ruhusa ya platinumz kutoa nyimbo ya hovyo na matusi? Unashangaza sana lol
Nyimbo gani ya hovyo..?audio yenye viewers600k+ in one day,trending number 1,au uhovyo gani huo unaouzungumzia,AMABOKO HIT SONG.
 
Diamond kazi yake ni muziki, hao walio chini yake nao kazi yao ni huo huo muziki, kwa namna moja yeye kama bosi hawezi kuruhusu hao madogo wawe juu yake.

Ndiyo maana hata endorsements zote hata zile ndogo anazichukua yeye.
Unaijua kuwa rayvanny alikuwa ambassador wa COCA-COLA..??
 
Nyimbo gani ya hovyo..?audio yenye viewers600k+ in one day,trending number 1,au uhovyo gani huo unaouzungumzia,AMABOKO HIT SONG.
Huwez kuelewa nn kinazungumziwa, wee hebu nenda huko u2be ukawe unaview, na ndio hicho [emoji184] anachofanya anatoa hit ili apate views huko unakosemea, na sio aimbe wimbo ambao ni mzuri kwa jamii. Ukweli lazima usemwee tyuuh aaah
 
Hahahaha acha ushabiki maandazi basi pugi hamfikii nandy kwa endorsement.

Tatizo unatetea mpaka unaharibu. Ni rahisi kampuni kumuacha domo na kumpa ray maana wote wana viwango tofauti ya pesa ni kama kutofautisha dhahabu na tanzanite.

Kampuni inaweza kuja na pesa kiwango cha ray ila sababu boss ni dai unakuta analichukua hilo deal kwa kiwango hicho hicho ili mradi tu kuwabana wasanii wake wasimzidi.

Mbona unaenda mbali kwa kiba unamuacha konde hapo karibu tu. Kiba hachukui madeal madogo madogo,pugi unayemtolea mfano anachukua hata deal la kusukwa yebo yeye na binti yake picha pwaaa tunaringishiwa insta
Bilnass anajitegemea lakini Rayvanny yupo chini ya Wasafi ni ngumu company ikamuacha Diamond mwenye label na jina kubwa na potential ikamfuata Rayvanny labda Rayvanny alitegemee ndio inawezekana.Hili ujue kuhusu industry ya indorsement vizuri ukimtoa Diamond msanii anayefuata na kuwa na indorsement nyingi Ni Hamisa mobetto unataka kuniambia hamisa ana jina kubwa kuliko Alikiba?hata shilole kamzidi kiba kwa endorsement.
 
Inno mwaka gani huo domo alikaa mwaka bila kutoa wimbo?

Inawezekana sana tu kwa voda kumruka domo na kumpa ray tatizo mkataba unafikia kwa boss hivyo hata kama wameweka kiwango kidogo cha pesa anakubali hivyo hivyo bila kumfikiria mhusika.

Mtu kama billnas anapata ubalozi ila ray toka lebo inayoitwa kubwa tanzania anakosa hata kaubalozi ka pipi.
Mwaka wa 2018 alikaa bila kutoa ngoma ndo akaja na the one.
 
Back
Top Bottom