Wasafi kama wanaishiwa hivi...

Wasafi kama wanaishiwa hivi...

Huyo Domokaya alishaacha kuimba 2018, saivi anatafuta tyuuh views u2be baaas, hakuna chochote cha maana n matus tyuuh khaaaaah
shida yangu ni moja hakuna wasanii wengine wanaocopy kama yeye kwahiyo ni sawa na kusema kuwa anatukana lakini hakuna mwenye matusi mengi kumzidi..alikiba ametoa nyimbo mara ya mwisho lini na je ilikiki vipi hiyo dodo??huwezi kusema mtoto wangu anafeli mtiani alafu mkoa mzima yeye ndo wa kwanza..ndomaana kuna mwingne akipata 80 anakwambia nimefeli wkati boya mmoja akipata 25 anasema Mungu asante naongelea mathematics hapa
 
Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa DP lakini niuseme ukweli tu kwa hii nyimbo KAKURUPUKA na ni lazima ATULIZANE ili nyimbo yake itakayofuata iweze kukonga nyoyo za wapenzi wake na hata wasiokuwa wapenzi wake.

Kwa sasa domo anakimbizana na views za you tube ila angejua anajiharibia soko asingefanya hivyo,anakurupuka sana,hapo soon nadhan mwezi ujao anatoa collabo na zuchu. Kuna grup la wadada korea(blackpink sijui nimepatia jina) wanatoa nyimbo baada ya kukaa kimya kwa muda na wimbo una ujumbe mzuri na ndani ya masaa 24 wana views milion 82 you tube
 
Die hard fan wa diamond sijaelewa kabisa ulichokiandika..😎
 
Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa DP lakini niuseme ukweli tu kwa hii nyimbo KAKURUPUKA na ni lazima ATULIZANE ili nyimbo yake itakayofuata iweze kukonga nyoyo za wapenzi wake na hata wasiokuwa wapenzi wake.
HAKUNA MPENZI MKUBWA(die hard fan wa WCB) anayeenda against chama la wana,so wewe ni timu AJUZA /KIBAMIA usijipendekeze WCB NGUVU MOJA NA AMABOKO HIT SONG,perodit.
 
Harmonize bila wasafi ni mweupe Sana zaidi ya kiwango Cha SGR,mda utaongea subiri.
Jikite kwenye kumshabikia Diamond na usipoteze nguvu na muda wako kumuombea mabaya Harmonize aliyeamua kwenda kujitegemea tena baada ya kumlipa Diamond million 600 ili awe huru.

Nauliza tena, innocent dependent na wewe mna mahusiano gani?
 
shida yangu ni moja hakuna wasanii wengine wanaocopy kama yeye kwahiyo ni sawa na kusema kuwa anatukana lakini hakuna mwenye matusi mengi kumzidi..alikiba ametoa nyimbo mara ya mwisho lini na je ilikiki vipi hiyo dodo??huwezi kusema mtoto wangu anafeli mtiani alafu mkoa mzima yeye ndo wa kwanza..ndomaana kuna mwingne akipata 80 anakwambia nimefeli wkati boya mmoja akipata 25 anasema Mungu asante naongelea mathematics hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekeshe mie, jaman tunazungumzia [emoji184] wee unachanganya na Alikiba, hebu soma vizuri hyo post uelewe , sasa kwahiyo Alikiba kutoa nyimbo isiyo kiki ndio ruhusa ya platinumz kutoa nyimbo ya hovyo na matusi? Unashangaza sana lol
 
Back
Top Bottom