Wasabato, hii kitu ina maana gani?

Wasabato, hii kitu ina maana gani?

hata tiles ni alama, mbona umevutiwa na T zaidi na kuiongezea kamstari kichwani mwako ili uiite msalaba.
mkuu vipi, kuna shida au tunachangamsha genge.
Hio T inashangaza sana binafsi nilipoona hio alama nilishangaa hawajamaa mbona wameng'oa kile kipande cha juu, halafu usipende kua mtu wa maneno mengi mara akawaulize familia yake sijui nini kama haujui sema sijui, kwani wewe ni msabato? Kama ndio elezea tu maana wasabato ni watu wasioeleweka kwenye jamii ya kikristo
 
Hio T inashangaza sana binafsi nilipoona hio alama nilishangaa hawajamaa mbona wameng'oa kile kipande cha juu, halafu usipende kua mtu wa maneno mengi mara akawaulize familia yake sijui nini kama haujui sema sijui, kwani wewe ni msabato? Kama ndio elezea tu maana wasabato ni watu wasioeleweka kwenye jamii ya kikristo
sawa.
Kumbe wameng'oa, mwambie mdau hapo jibu limepatikana.
 
Kuna maelezo pale #108 Kama hayajakuelea tunaweza kuteta kadili nafasi itakavyopatikana.


sio mafundisho Yetu, bali Bibilia.
Sio sanamu, ni kifaa cha kutunzia kumbukumbu, hakina tofauti na jiwe ambalo lilifunga kaburi la Yesu. Lilichongwa na halikuwa sanamu wala element yoyote ya kiibada.
Ila zipo dini zinachonga, kutumikia, kuabudu na kuonyesha heshima za kiibada kwa miti hiyo.
hiyo ni machukizo kwa Mungu, na ni kumdhalilisha Yesu, kama na wewe huwa unashiriki acha mkuu.

Asante sana kwa kuanza kuelewa kwamba kumbe dhambi haiko katika kutengeneza sanamu Bali kuzitumia kuchukua nafasi ya Mungu
 
Asante sana kwa kuanza kuelewa kwamba kumbe dhambi haiko katika kutengeneza sanamu Bali kuzitumia kuchukua nafasi ya Mungu
Ubarikiwe na wewe kwa kuacha kusali rozali huku ukijua Muhusika Yuko hai mbinguni.
Kuacha Kubusu Miti na sanamu
Kutumainia Sanamu na Kuzihusisha katika matendo yako ya Ibada.
Kufuga mifupa ya maiti makanisani na kuiheshimu kana kwamba inaweza kukupa tumaini.
Kujichongea sanamu za kuchonga kwa madhumuni ya kiibada.
Kujivunia misalaba, sanamu za maiti ya Yesu badala ya Yesu mwenyewe aliye hai Mbinguni.

Huu wote ni Upagani. Uungwana ni Kutubu na kujitenga kabisa na aina hizi za mifumo za kidini.
Ingawa maamuzi yako katika halmashauri ya kichwa chako.
 
hicho ndicho naweza kukisema, hata juzi kuna dada alikuwa msabato kafariki, nimeona wao wameweka msalaba wenye taarifa yake, na mchungaji alikuwepo wengine hawaweki, wengine wanaweka kitu kama jiwe lenye taarifa zake
Inamaana mafundisho ya Wasabato siyo consinstance.....???
 
Hivyo kwa uzoefu wangu maana wasabato wametapakaa nchi zaidi ya 215 duniani kuna mahala wanaweka kwenye makanisa kulingana na mazingira ya huko na kuna mahala hawaweki. Hata Misalaba makaburini kuna pengine wanaweka na pengine hawaweki.
Hivyo unataka kutuambia mafundisho na miiko ya kisabato haipo uniform kwa kanisa zima...? Kwamba kanisa sio moja...?

Kwamba pengine kulingana na mazingira mahalia na kutoka na sababu za kimazingira kusali Jumamosi hakupo ila Jumapili...??

Kwamba kutokana na mazingira kuna Wasabato wanakula nguruwe kwakuwa eneo husika hakuna nyama mbadala...???

Ndio maana nikakuuliza unafahamu msimamo waSDA...? Au wewe sio SDA..? Ama hujui unachokitetea.. ? Au ndio kujitoa ufahamu huko..?
 
Huu uzi lazima watupatie majibu....


Pia tutaangalia ile Logo yao
 
Hivyo unataka kutuambia mafundisho na miiko ya kisabato haipo uniform kwa kanisa zima...? Kwamba kanisa sio moja...?

Kwamba pengine kulingana na mazingira mahalia na kutoka na sababu za kimazingira kusali Jumamosi hakupo ila Jumapili...??

Kwamba kutokana na mazingira kuna Wasabato wanakula nguruwe kwakuwa eneo husika hakuna nyama mbadala...???

Ndio maana nikakuuliza unafahamu msimamo waSDA...? Au wewe sio SDA..? Ama hujui unachokitetea.. ? Au ndio kujitoa ufahamu huko..?

Muulize akupatie fungu katika Biblia linaloonyesha kwamba sehemu wanaweza kujifanyia ya kwao na sehemu nyingine ya kwao vile vile
 
Huu uzi lazima watupatie majibu....


Pia tutaangalia ile Logo yao


Hadi sasa kwa michango ya wadau nimehisi yafuatayo:

1.Kwamba kwa sababu wenzetu wana Makampuni ya kushughulikia mazishi basi walipofahamu jamaa ni mkristu wakaweka na msalaba bila kufahamu kwamba kwa msabato hiyo ni sanamu

2. Ili kuondoa aibu kwa marehemu msabato kuhusishwa na mambo ya "sanamu" basi Wasabato Wa Tanzania wakaona ili kuondoa aibu wakashauriana na familia kuchomoa kipande cha juu cha msalaba (badala ya kuutupa kabisa).
 
Son of Gamba nakuona unachungulia tuu hapa...

Tunaomba utupe majibu
Ndugu yangu Otorong'ong'o elewa kuwa tunaoabudu siku ya JUMAMOSI ama siku ya SABATO tupo kwenye madhehebu mengi sana yanakadiria kufikia madhehebu tofauti kama 500 na zaidi. Mimi na dhehebu langu hatutumii kabisa aina yoyote ile ya "sanamu" au picha au msalaba. Isitoshe sisi katika kanisa la KWELI la MUNGU tunafahamu kuwa MESSIAH hakufa "msalabani", bali alikufa "mtini", yaani alitundikwa kwenye "nguzo" na siyo "msalaba".

Ukisoma Biblia yako vizuri(nafahamu wewe huijui wala huisomi Biblia), utaona kuwa YESU alitundikwa kwenye "NGUZO" na siyo kwenye MSALABA. Kuna tofauti kubwa sana ya NGUZO na MSALABA..... Ukiona kwenye Biblia pameandikwa neno "msalaba" fahamu kwamba ni makosa ya "utafsiri wa lugha" yaliyofanywa kwa makusudi na watafsiri wa mwanzo.

Tunafahamu kwamba vitabu vyote vya Agano Jipya viliandikwa kwa Lugha ya KOINE GREEK. Ni kitabu kimoja tu cha WAEBRANIA ndicho kilikuwa kimeandikwa kwa KIEBRANIA. Neno la Kigiriki linalomaanisha NGUZO ni "stauros", neno hili ndilo linalopatikana kwenye maandiko ya kale na maana yake ni nguzo na siyo "msalaba". Neno la Kigiriki linalomaanisha "msalaba" ni "diaschizo", neno hili diaschizo halikuwepo kabisa katika vitabu vyote vya kale vya Injili.

Msalaba mnaoutumia ninyi Wakatoliki asili yake ni UPAGANI ulioanzishwa na Tamuzi huko Babiloni ya kale. Herufi "T" ilitumika ili kumuenzi Tamuzi ambaye baada ya kufa aliabudiwa kama mungu. Kutokea hapo Upagani ukaenea dunia nzima na alama yao kuu ni "+" msalaba ambao asili yake ni neno Tamuzi.

Hivyo basi sisi tulioa katika CCOG kamwe hatutumii alama ya "msalaba" sababu tunaujua UKWELI, na ukweli ni huu; MUNGU hafungamani na Upagani hata siku moja. Huwezi kuchanganya mambo ya MUNGU na mambo ya Beliari, huwezi kuchanganya IBADA ya MUNGU na ibada ya mashetani kama wafanyavyo Wakatoliki na Maprotestant.


Hivyo basi kutokana na swali lako nafikiri hao SDA ndiyo wanatakiwa kukujibu na siyo mimi. Nafikiri umeelewa sasa kuwa mimi siyo Msabato wa SDA, mimi ni MSABATO wa CCOG, ili kujifunza zaidi ingia hapa; www.ccog.org
 
mimi ni mkatoliki lakini nipo radhi nijenge uswahiba na muislamu kuliko msabato. wasabato ni selfish sana...pia wajinga sana.
Waislamu na Wakatoliki ni kitu kimoja ingawa wengi hawaijui "siri" hii iliyofichika kwa miaka mingi sana. Muasisi wa Ukatoliki ndiyo huyo huyo muasisi wa Uislamu. Siri hii imefichika lakini wenye hekima na busara yaani wale wanaozishika Amri za MUNGU na imani ya YESU KRISTO wanaijua siri hii maana imedhihirishwa kwao.

Lakini kwa faida ya wengi nitaigusia kidogo siri hiyo, nayo ni hii; mtoto wa kike wa Muhamad alikuwa anaitwa FATIMA na aliishi na kufia eneo moja kule Portugal na eneo hilo alipozikwa leo hii linajulikana kama FATIMA. Hapo hapo alipofia Fatima mtoto wa Muhamad ndipo alipotokea yule "mwanamke wa ajabu" na kujifanya yeye ni mama ya MESSIAH. Mwanamke huyo wa ajabu aliwatokea wale watoto 3 wanaojulikana kama watoto wa FATIMA!. Na moja ya mambo aliyowaambia ni kuwa eti, dini zote ni sahihi mbele za MUNGU!... Ukweli ni kwamba dini zote siyo "sahihi" mbele za MUNGU.

Leo hii Waislamu huwa wanaenda pale FATIMA kuabudu na Wakatoliki nao wanaenda pale pale FATIMA kuabudu. Hili ni fumbo na udanganyifu wa Shetani ili aendelee kuwapoteza wale wote wasioipenda KWELI ya MUNGU. Uislamu ni kazi ya Shetani na Ukatoliki pia ni kazi ya Shetani.

Mwenye masikio na asikie....
 
Sabato njema wana na binti za Mungu.
Ninachokiona kweny kabuli la mwandishi Gamba ni kibao ambacho kimewekwa kweny kaburi ili kupata kuandika muda ambao mtu huyo alipata kuishi Duniani.
Ni kibao cha maelekezo na sio T wala msalaba hizo hoja za mtoa mada ni fikra alizonazo kichwani.
Naona umekomaa na T, umekomaa na msalaba
Ni kawaida,hata tuna vibao vya kuonyesha uelekeo wa makanisa yetu yalipo mbona haujawahi kuuliza hilo?
 
Sabato njema wana na binti za Mungu.
Ninachokiona kweny kabuli la mwandishi Gamba ni kibao ambacho kimewekwa kweny kaburi ili kupata kuandika muda ambao mtu huyo alipata kuishi Duniani.
Ni kibao cha maelekezo na sio T wala msalaba hizo hoja za mtoa mada ni fikra alizonazo kichwani.
Naona umekomaa na T, umekomaa na msalaba
Ni kawaida,hata tuna vibao vya kuonyesha uelekeo wa makanisa yetu yalipo mbona haujawahi kuuliza hilo?
Unajibu kirahisi sana....

Hicho ni kichekesho cha karne...yani hizo taarifa kwanini zisiwe printed hata kwenye marbble...? Unafikiri utamshawishi nani ili akubali kuwa huo si msalaba uliokatwa juu..?
 
Mkuu bado hujajibu swali....ninachokiona unakwepa kwepa kwa maelezo mengi...

Tunavyofahamu Ni haramu kwa Wasabato kuwa na alama ya aina yoyote....Je! Ili alama hapo ni nini...? Ina maanisha nini ...?
Hivi hata kama siujui Usabato, hiyo ni alama au bango tu la kuonesha aliyezikwa hapo anaitwa Fulani.? Ninachokiona ni kwamba wahusika wanataka kuweka kumbukumbu aliyezikwa hapo ajulikane na vizazi vyake. Nimewahi kushuhudia andishi kama hili kwenye kaburi la Muislamu na akili yangu haikunituma chochote zaidi ya kumbukumbu. Nadhani wewe una hoja iliyojificha na si kutaka kufahamu.
 
Ninachokiona ni kwamba wahusika wanataka kuweka kumbukumbu aliyezikwa hapo ajulikane na vizazi vyake.
Kumbukumbu...? Kwa hadhi ya hilo kaburi kwani wasiandike hata kwenye kibao cha rectangula cha marble...?? Kwanini iwe ni msalaba uliokatwa juu...?

Mbona mnajibu kirahisi hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom