mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,419
- 17,765
sasa herufi T unaifananisha na kujumlisha au msalaba, tukisema jamaa kafikri baada ya kupost thread tunaonekana hatuna adabu kumbe saa nyingine tunasababishiwa.Ni ubao tu kama T au mnataka majibu gani?
hahaha Otorong'ong'o siku hizi umekuwaje mkuu wangu.