Wasabato, hii kitu ina maana gani?

Wasabato, hii kitu ina maana gani?

Kabla ya kuja na huu uzi ulitakiwa kuchunguza kwanza;
Je huo msalaba uliandaliwa na kanisa?
Uliandaliwa na ndugu au ofisi aliyofanyia kazi?
Inawezekana ndugu/waliotoa geneza walifanya hivyo cos ni taratibu za Wauzaji kutoa na msalaba.
Ni kanisa lipi lililonunua Vifaa hivyo?
Pia urudi kwenye maandiko au wanachokiamin.
Mbona nembo ya wasabato ina alama ya msalaba?

Na mwisho hiyo ipo kama T, ni kwa nn imekuwa T na si msalaba?
Fuatilia hayo kisha utatujuza kilichosababisha hayo
 
Achana nao hao mkuu Otorong'ong'o macomplicator ambao wameanza kungeuka wenyewe na kujigawa kuwa wasabato masalia ma wasabato wa kizazi kipya. Ipo siku tuu wataufuata msalaba
Naziona dalili zote...

Lakini mbona inaonekana ni wale maadui wa Msalaba waliotabiriwa na biblia...?
 
Hivyo wataka kuniambia baada ya mchungaji kuhubiri alisepa zake akawaacha wafuasi wanajisi mafundisho ya kanisa, simply kwa kuwa alikwisha ongea na walio hai...

Je! Kazi ya wachungaji sio pia kulinda mafundisho ya kanisa...?
sijaona popote fundisho la kutoweka sehemu ya Kuandikia Jina, bila kujali umbo lake.
Ila Hiyo comment ni kwa case ya mtu asiyemsabato aliyekifa na kususwa na kanisa lake.
Mfano jamaa mmoja kanisa lilimsusa kisa mlevi wa kupindukia huko mtwara, alikuwa angrican, Wainjirist wa sabato walikuja wakachukua jukumu na kupata fursa ya kuwafundisha wanakijiji '' wafu hawajuinlolote''. Na kusimamia shughuli yote ya kuuhifadhi mwili wa maiiti ile iliyotengwa.
Hata mimi nikikuta mtu katelekezwa kisa alikuwa hasali, na watu wanahitaji huduma ya neno nitawafundisha japo sio mchungaji wala mtumishi ni muumini wa kawaida tu. Na sitajali alama, anachomwa moto, au anazikwa kimitindo gani, Ila nitawakumbusha mahusia ya Mungu bila wasiwasi.
Huwezi kutenga udongo.
 
Unaonekana kama Unajibu lako, kama ingekuwa hiyo unayotaka simple rectangular ungeweza kuhoji kwa nn isiwe T ?
Kifupi mii ni muislam ila nimelelewa ktk Ukristo (Roma)
Ktk kipindi hiki kigumu kwa familia,ndugu, Jamaa na Marafiki wa Gamba tafuta mada itakayo tufariji isiyo na chembe ya *DHIHAKA*
 
sijaona hapo kwenye picha yako, hakuna picha, logo, misalaba, kanisa wala shughuli za kisabato labda kama unahoja tofauti na ulichokiweka.
Yani nauliza hiki unajibu hiki...Mtihani wa Baolojia unajibu historia...kazi kwelikweli
 
Na sitajali alama, anachomwa moto, au anazikwa kimitindo gani, Ila nitawakumbusha mahusia ya Mungu bila wasiwasi.
Huwezi kutenga udongo.
Hivyo unataka kuniambia Isaack Gamba hakuwa Msabato, walichofanya wachungaji ni kuja kuongea na walio hai...kilichoendelea hapo ni juu ya familia..?
 
Nje ya mada:Nini kilichosababisha gamba kutokuwa na mke hadi anafikisha umri wa miaka 48?
 
Hivyo unataka kuniambia Isaack Gamba hakuwa Msabato, walichofanya wachungaji ni kuja kuongea na walio hai...kilichoendelea hapo ni juu ya familia..?
hapo hakuna chochote kilichokinyume na mafundisho ya kisabato, labda kama unamafundisho yako pembeni unayodhani niyakisabato mkuu.
nimeshakupa options zote, unadai kuhusu Gamba unamajibu magumu ya mawaswali yako mepesi.
maelezo uliyonyofoa kwenye repy hapo juu nilikuwa nakupa ilimu ya ziada. Kuhusu Gamba nimeshambaliza kitambo mkuu.
Ubarikiwe kama umechagua kusubiri majibu Yabisi.
 
Wana JF mara nyingine wanashangaza. Humu kuna wasabato wengi tu.

Swali limeulizwa linalohusu aina ya alama iliyoandikwa majina kamili ya Marehemu aliyekuwa msabato na kuzikwa na viongozi wa dini yake.

cha kushangaza, wasabato hawatoi maana ya sanamu hiyo ya mbao ya kuchongwa.

kwani si mtuambie tu kuwa hiyo mbao maana yake nini?
Na hakika 100% pia wao wameona kwa mara ya kwanza na hawana majibu
 
View attachment 919233

Wakuu mbali mbali habari za Wakati kama huu...

Nimeleta huu mahsusi ili Wasabato watuambie hii ina maanisha nini...

Tunafahamu ndugu Yetu Isaack Gamba(R.I.P) alikuwa ni Msabato.....Na kwa kadiri ya Mafundisho ya Wasabato ambayo yalihasisiwa na Nabii Ellen Gould White, Msalaba kwenye Kanisa la SDA ni haramu, upagani....Kwa Kifupi Ellen G White alikataza waumini wake kuwa na misalaba na alama zozote kwenye kanisa lake....

Sasa nilikuwa naomba ufafanuzi kutoka kwa Wasabato hicho ni kitu gani kwenye kaburi la ndugu yetu Isaack Gamba....maans siyo Msalaba...je! Ni alama ya nini...? Inawakilisha kitu gani...?

Je! Mbona EGW alipinga alama ndani ya Kanisa....

Nawakaribisha..

@sactus anacletus
mitale na midimu
Dumelang
blackstarline
@Idhiambo
Ntuzu
Kitaja
Sijaona hadi sasa wenye majibu ya kueleweka
 
Mkuu kuna kitabu naendelea kukisoma kinaitwa " Siri za Wasabato".....yani kimeeleza kila kitu...huyo mama aliwakataza waumini wake mambo mengi sana, ambayo yeye mwenyewe alikuwa akiyafanya...
Weka uthibitisho hapa, acha umbea
 
View attachment 919233

Wakuu mbali mbali habari za Wakati kama huu...

Nimeleta huu mahsusi ili Wasabato watuambie hii ina maanisha nini...

Tunafahamu ndugu Yetu Isaack Gamba(R.I.P) alikuwa ni Msabato.....Na kwa kadiri ya Mafundisho ya Wasabato ambayo yalihasisiwa na Nabii Ellen Gould White, Msalaba kwenye Kanisa la SDA ni haramu, upagani....Kwa Kifupi Ellen G White alikataza waumini wake kuwa na misalaba na alama zozote kwenye kanisa lake....

Sasa nilikuwa naomba ufafanuzi kutoka kwa Wasabato hicho ni kitu gani kwenye kaburi la ndugu yetu Isaack Gamba....maans siyo Msalaba...je! Ni alama ya nini...? Inawakilisha kitu gani...?

Je! Mbona EGW alipinga alama ndani ya Kanisa....

Nawakaribisha..

@sactus anacletus
mitale na midimu
Dumelang
blackstarline
@Idhiambo
Ntuzu
Kitaja
Wewe umesema "huo siyo msalaba" ....na ni wazi kuwa hiyo ni alama ya utambulisho wa hilo kaburi. Hiyo alama haina uhusiano wowote na usabato.
 
Wewe mleta mada no muongo,bumesema wasabato hawatambui au hawaukubali msalaba!.. Sasa mbona nembo yao ya kanisa INA alama ya msalaba? Na makanisa yote ya kisabato yana hiyo nembo yenye alama ya biblia na msalaba! Au unafikiri sisi huwa hatuioni? Yaani umewakomalia kinoma kuwa hawatambui msalaba!.. Sasa kama hawatambui mbona upo upon kwenye nembo yao?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom