Wasabato, hii kitu ina maana gani?

Wasabato, hii kitu ina maana gani?

View attachment 919233

Wakuu mbali mbali habari za Wakati kama huu...

Nimeleta huu mahsusi ili Wasabato watuambie hii ina maanisha nini...

Tunafahamu ndugu Yetu Isaack Gamba(R.I.P) alikuwa ni Msabato.....Na kwa kadiri ya Mafundisho ya Wasabato ambayo yalihasisiwa na Nabii Ellen Gould White, Msalaba kwenye Kanisa la SDA ni haramu, upagani....Kwa Kifupi Ellen G White alikataza waumini wake kuwa na misalaba na alama zozote kwenye kanisa lake....

Sasa nilikuwa naomba ufafanuzi kutoka kwa Wasabato hicho ni kitu gani kwenye kaburi la ndugu yetu Isaack Gamba....maans siyo Msalaba...je! Ni alama ya nini...? Inawakilisha kitu gani...?

Je! Mbona EGW alipinga alama ndani ya Kanisa....

Nawakaribisha..

@sactus anacletus
mitale na midimu
Dumelang
blackstarline
@Idhiambo
Ntuzu
Kitaja
Mafundisho ya wasabato hayajahasisiwa na Ellen White
 
Mkuu nataka nifahamishwe hiyo ni alama ya nini...??? Ina maahisha nini..?

Na kama ni alama inayo masnisha kitu fulani, mbona sasa Mtakuwa mnaenda kinyume na Mafundisho ya muanzilishi wa Usabato Ellen G White, ambaye alipiga marufuku alama yoyote kwenye Usabato...?
Mkuu we unaesoma biblia ipi au kama ni quruan ni ipi usomayo?
Usabato kaanzisha Mungu wala cye huyo unaemdhani. Au haujawahi kusoma?
 
Nilishawahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa kisabato nakumbuka nilivutiwa na pank lake nikajua nimepata mke ambae hatanipiga virungu vya saluni kumbe ndo nimepata mwanamke ambae complicator hatari yaani alikuwa anatafsiri kila kitu(kuvaa,kula,the way anavyoitafsiri biblia ni kama kiama ni mwisho wa dunia umekaribia.Nikaona cha kufia nini?
Mimi mbona ninaye na ninamkocontrol soon namwingiza Catholic..!
 
View attachment 919233

Wakuu mbali mbali habari za Wakati kama huu...

Nimeleta huu mahsusi ili Wasabato watuambie hii ina maanisha nini...

Tunafahamu ndugu Yetu Isaack Gamba(R.I.P) alikuwa ni Msabato.....Na kwa kadiri ya Mafundisho ya Wasabato ambayo yalihasisiwa na Nabii Ellen Gould White, Msalaba kwenye Kanisa la SDA ni haramu, upagani....Kwa Kifupi Ellen G White alikataza waumini wake kuwa na misalaba na alama zozote kwenye kanisa lake....

Sasa nilikuwa naomba ufafanuzi kutoka kwa Wasabato hicho ni kitu gani kwenye kaburi la ndugu yetu Isaack Gamba....maans siyo Msalaba...je! Ni alama ya nini...? Inawakilisha kitu gani...?

Je! Mbona EGW alipinga alama ndani ya Kanisa....

Nawakaribisha..

@sactus anacletus
mitale na midimu
Dumelang
blackstarline
@Idhiambo
Ntuzu
Kitaja
Mi binafsi naona ubao umbo la T kwa ajili ya kuandika jina na dob na dod ya marehemu.
 
Kanisa la roma ni mama wa makahaba watoto wamekuwa kama mama yao! watoto wameiga kwa mama yao. full stop!
Hayo uliyoandika ndio maana ya hiyo Mbao hapo katika mazishi ya Msabato?

Why don't u stick to the topiç?
 
Basi wako kalewa na dushelele hujamkuta alipackiwa ma knowledge mazito ya kisabato
Mimi mwenyewe fundi, fratel huwa namuruhusu aniulize chochote kuhusu ukatolic, kila kitu anajibiwa anabaki kama bwege..!
 
Labda ni alama ya kisabato
Ok! Ni alama ya Wasabato...

Tunajua kabisa kuwa kwa kadiri ya Mafindisho ya Wasabato hususani makatazo ya Ellen G White( rejea Early Writings za EGW) ni haramu na upagani kuwa na alama yoyote, picha au sanamu....

Je! Wasabato wa sasa wanaenda kinyume na mafundisho ya EGW..?
 
Afu kikubwa zaidi mimi mkarismatiki, akijidai biblia anakuta nimeshiba na imani katoliki ndiyo nyumbani aniwezi kabisa.
Hapo mimi alinishinda biblia naijua ila sijakalili vifungu nabishana kama tupo kwenye siasa anataka eti na mimi niwe msabato nikaona hii haikubaliki
 
Humu Leo na kesho huwapati wasabato wa ukweli,subiri kuanzia jpili
 
Mbona iko WAZI ni ktk namna ya kufanikisha pa kuandika majina ya Gamba lini alizaliwa na kufariki, familia imependezwa na namna T, ingeweza kuwa hata X, H,P,K au hata Duara
Shortly haina uhusiano na dhehebu la Sabato kama Ulivyosema Usilete Ubabaifu wala Usijitoe fahamu
 
Ina maana gani sasa..? Ni lini Wasabato mmeanza kuwa na alama za misalaba...?? Mbona mbaenda kinyume na mafundisho ya EGW...?

Bado hujanipa jibu..
Huyo jamaa anazingua hajui lolote subiri wenyewe waje baada ya kesho
 
Hata mkitelekeza maiti wachungaji watakuja kuongea na walio hai na kukumbusha maagizo ya Mungu bila kujali amewekewa T, X, Y au Z achi
Hivyo wataka kuniambia baada ya mchungaji kuhubiri alisepa zake akawaacha wafuasi wanajisi mafundisho ya kanisa, simply kwa kuwa alikwisha ongea na walio hai...

Je! Kazi ya wachungaji sio pia kulinda mafundisho ya kanisa...?
 
Mbona iko WAZI ni ktk namna ya kufanikisha pa kuandika majina ya Gamba lini alizaliwa na kufariki, familia imependezwa na namna T, ingeweza kuwa hata X, H,P,K au hata Duara
Shortly haina uhusiano na dhehebu la Sabato kama Ulivyosema Usilete Ubabaifu wala Usijitoe fahamu
Kwanini isiwe just a simple rectangular box halafu yaandikwe hayo ya kuandikwa..??

Kwanini iwe ni msalaba uliokatwa kwa juu...??? Nini Wasabato mnataka kutuficha...?? Kuna siri gani hapo...??
 
kanisa la roma ndilo liloanza kutumia msalaba!

Hilo ndio jibu ya swali nililouliza Mkuu?
Sijauliza ni kanisa lipi lilianza kutumia msalaba.

nimeuliza hiyo mbao iliyochongwa na kuwekwa hapo kaburini ina maanisha nini kisabato?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom