Wasabato, hii kitu ina maana gani?

Wasabato, hii kitu ina maana gani?

Mkuu naona unafanya kinda of Escapism ya mada......

Je! Wasabato mnatumia alama mbalimbali...?
wewe ndio unaescape ulichokileta.
T unaiita msalaba, mara T ni nini?
Mara Je mnatumia alama?
mara EGW kasema sijui nini?

kwa ufupi hueleweki tatizo. Hapo kwenye hilo kaburi sioni cha kujadili, labda kama unahoja mpya
 
Kumbe majibu unayajua, hadi sifa yake ni '' majibu magumu''. hahaha
Unalazimisha mlima bondeni.
Aisee.....

Mkuu unajua, kitu kama hujui ni bora ukae kimya na wewe usubiri wanaofahamu watoe majibu...sio kujitutumua kwa kila kitu...anajiabisha
 
Mkuu biblia imesema wazi kuwa nyakati za mwisho watatokea maadui wa Msalaba.....Sasa ukiangalia kwa makini hapo kwrnye hilo kaburi ni kama Ulikuwa ni Msalaba ila ukakatwa kwa juu kufanya alama ya T..

Je! Hiyo alama ina maanisha nini...? Kwann ikatwe???

Maswali mawili ni ya msingi :-

1) Inamaanisha nini?

2) Kwanini ukatwe?
 
wewe ndio unaescape ulichokileta.
T unaiita msalaba, mara T ni nini?
Mara Je mnatumia alama?
mara EGW kasema sijui nini?

kwa ufupi hueleweki tatizo. Hapo kwenye hilo kaburi sioni cha kujadili, labda kama unahoja mpya
Maswali niliyouliza yapo wazi kabisa...na kwa mtu mwenye majibu sahihi yanajibika...
 
Sijaongelea fundisho kuhusu T...naongelea mafundisho ya Wasabato kwa ujimla kwamba ni haramu, ni upagani kuwa na alama yoyote ndani au nje ya kanisa....na nimeshihudia makaburi mengi ya Wasabato yapo plain tuu...

Sasa ndio nauliz je! Muumini kwa matakwa yake anaweza kwenda contrary na mafundisho na makatazo ya Ellen G White..?
naomba mfano wa hayo mafundisho na makatazo.
usiongee jumlajumla.
 
Ni muongo Yule mama
Mkuu kuna kitabu naendelea kukisoma kinaitwa " Siri za Wasabato".....yani kimeeleza kila kitu...huyo mama aliwakataza waumini wake mambo mengi sana, ambayo yeye mwenyewe alikuwa akiyafanya...
 
Aisee.....

Mkuu unajua, kitu kama hujui ni bora ukae kimya na wewe usubiri wanaofahamu watoe majibu...sio kujitutumua kwa kila kitu...anajiabisha
wewe mjuzi wa majibu magumu ya maswali mepesi uliouliza, sio mbaya ukijitutumua kukosoa majibu mepesi kwa majibu magumu unayoyajua.

Hapo naona mbao zilizoandikwa taarifa ya Marehemu zenye kujenga herufi T. sasa mjuzi wa mambo magumu unaweza kutujuza sisi tulio bobea kwenye mambo mepesi.
hakuna ugomvi mkuu.
 
Mkuu unataka kuniambia siku hizi ni ruhusa kuwa picha, logo, misalaba kwenye makanisa na shughuli za Wasabato...? Hii ni mupyaa
sijaona hapo kwenye picha yako, hakuna picha, logo, misalaba, kanisa wala shughuli za kisabato labda kama unahoja tofauti na ulichokiweka.
 
Mkuu biblia imesema wazi kuwa nyakati za mwisho watatokea maadui wa Msalaba.....Sasa ukiangalia kwa makini hapo kwrnye hilo kaburi ni kama Ulikuwa ni Msalaba ila ukakatwa kwa juu kufanya alama ya T..

Je! Hiyo alama ina maanisha nini...? Kwann ikatwe???
Unachekesha...
Ina maana kwa ulivyoelewa adui wa msalaba ni wale watakaotengeneza misalaba isiyoekeweka?

Msalaba kwa wakristo stands for wokovu...hivyo basi maadui wa msalaba means maadui wa wokovu.
ASANTE
 
hata tiles ni alama, mbona umevutiwa na T zaidi na kuiongezea kamstari kichwani mwako ili uiite msalaba.
mkuu vipi, kuna shida au tunachangamsha genge.
Ok! Kama ni alama ina maanishs nini...,?

Je! Lini Wasabato mmeanza kutumia alama...??

Mbona tunafahamu kuwa alama zote zinamuwakila lusifa/Upagani kwa mujibu wa Mafundisho ya Ellen Gould White....?
 
Ok! Kama ni alama ina maanishs nini...,?

Je! Lini Wasabato mmeanza kutumia alama...??

Mbona tunafahamu kuwa alama zote zinamuwakila lusifa/Upagani kwa mujibu wa Mafundisho ya Ellen Gould White....?
hata hayo makaburi yasiyo na kitu ni alama vinginevyo usikngejua kama ni makaburi.
labda kama sielewi unachotafuta.
 
View attachment 919233

Wakuu mbali mbali habari za Wakati kama huu...

Nimeleta huu mahsusi ili Wasabato watuambie hii ina maanisha nini...

Tunafahamu ndugu Yetu Isaack Gamba(R.I.P) alikuwa ni Msabato.....Na kwa kadiri ya Mafundisho ya Wasabato ambayo yalihasisiwa na Nabii Ellen Gould White, Msalaba kwenye Kanisa la SDA ni haramu, upagani....Kwa Kifupi Ellen G White alikataza waumini wake kuwa na misalaba na alama zozote kwenye kanisa lake....

Sasa nilikuwa naomba ufafanuzi kutoka kwa Wasabato hicho ni kitu gani kwenye kaburi la ndugu yetu Isaack Gamba....maans siyo Msalaba...je! Ni alama ya nini...? Inawakilisha kitu gani...?

Je! Mbona EGW alipinga alama ndani ya Kanisa....

Nawakaribisha..

@sactus anacletus
mitale na midimu
Dumelang
blackstarline
@Idhiambo
Ntuzu
Kitaja
Kanisa la roma ni mama wa makahaba watoto wamekuwa kama mama yao! watoto wameiga kwa mama yao. full stop!
 
Wana JF mara nyingine wanashangaza. Humu kuna wasabato wengi tu.

Swali limeulizwa linalohusu aina ya alama iliyoandikwa majina kamili ya Marehemu aliyekuwa msabato na kuzikwa na viongozi wa dini yake.

cha kushangaza, wasabato hawatoi maana ya sanamu hiyo ya mbao ya kuchongwa.

kwani si mtuambie tu kuwa hiyo mbao maana yake nini?
 
Ulitakiwa ufanye utafiti kwanza kabla yakuuliza swali kwa wasabato wote,vinginevyo waulize walioandaa mazishi ya Gamba,mana nikuulize swali?umeshashuhudia wasabato wangapi wanazikwa na alama hiyo?sasa mbona unaulizia wasabato?kama ungetaka kujua unguliza in general kwamba inamana gani Gamba kuzikwa na alama T badala ya vile tumezoea wasabato hawana hizimambo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom