Vesper-valens
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 5,282
- 7,377
Habari wakuu,
Nawatakia maandalizi mema ya sikukuu ya pasaka , na kwa ndugu zangu islamic niwatakie mfungo mwema
Iko hivi hawa viumbe kiasili ni wabinafsi na kwakua hawapendi kuteseka basi kimbilio lao kubwa ni kuangukia kwenye mahusiano ili kupunguza mzigo , asilimia kubwa ya wanawake mpaka akubali kuwa kwenye mahusiano basi ameshapima kuwa lazima afaidike , iwe kifedha, au kihisia .
Na akishakua kwenye mahusiano ni lazima ahakikishe kuwa anapata hitaji lake. Akiingia kwenye mahusiano na akaona aliyoyakuta ni kinyume na matarajio basi ujue lazima ageuze njia
Mwanamke kwavile ana ubinafsi wa hali ya juu , ukishakua naye kwenye mahusiano basi ni lazima atake utimize mahitaji yake yote . hata kama yeye upande wake hana msaada wowote kwako
Ndo maana unakuta kwenye mahusiano mengi wanaongoza kulalamika ni wanawake
Utaskia analalamika mara siku hizi hunijali, mara hauko romantic , mara mwanaume unakosaje hela ya kumtunza mwanamke n.k
Hakuna siku hata moja utakuta mwanamke kwenye mahusiano analalamikia jambo ambalo kama litafanyiwa utatuzi basi litakua na faida kwa wote wawili yani mwanaume na mwanamke
Malalamiko yote ni kuhusu mambo yake binafsi na sio mambo yenye faida kwenu wawili
Mara nyingi ukijaribu kutatua changamoto anazozilalamikia mwanamke basi ujue yeye anapata na wewe unapoteza, ndo wako hivyo na hawawezi kubadilika
Hii hali ya kujiangalia nyie tuu , inawakatisha tamaa wanaume wengi wenye nia ya dhati kuingia kwenye mahusiano.
Wanawake ifike mahali mtambue kuwa mahusiano na ndoa ni kwa ajili ya ustawi wa familia na sio taasisi za kuwatatulia shida zenu za kiuchumi.
Kila kitu mkikigeuza fursa na mkitaka kiwanufaishe kwanza basi mjue fika mnazidi kuleta maafa makubwa kwenye familia mpaka ngazi ya jamii na taifa kwa ujumla