Waraka wangu kwa viongozi wa CHADEMA

Waraka wangu kwa viongozi wa CHADEMA

Kaka Mkandara,
Kwa Tradition za Mtanzania au let say Africans, hatuna kitu kinaitwa Dini, hizi dini zote zimeletwa. Wewe unataka sasa tuanze kugawanyika kama Wakristu au Waislam tuongeze wapagani na kadhalika. Je kwa nini unaona ni rahisi sana ati Watanzania tujiingize kwenye dini zaidi kuliko kujiingiza kwenye ukabila. You are very comfortable to be called a Christian or Moslem than being called Mkerewe au Mhehe!!
If you accept religious lines to divide us also please accept our tradition ethenic tribal lines to take root also.

WE cannot be learning all these foreign cultures all our generations, we have to reach a stage whn we say to hell such brain washing!! WE are Tanzanians. Education, hardwork, innovation, discipline, in line with our culture have to determine our way up and intergration!!

Nashukuru umeona Udini wake kama nilivyohighlight ktk observation no.1.Ndugu yangu huyu anadhani kuwa namfuata binafsi ila "nazifuata propaganda zake".najua yupo katika Mission na mara ya kwanza comment habari yake nilimwambia anipe muda ni-decode mindsest yake.It was clear alijua where I was going.

Ila nampongeza kwa kujipanga, na njia anazotumia kuji defend humu ndani ili afike.Ni mwandishi mzuri wa maneno.Ila Lying is an art itself na ngumu sana kuipitisha katika plain language na pia kama hidden msg kwani wengi hawataelewa na itabidi ku reaveal baadhi ya vitu ha hivyo kuachia werevu sehemu ya kuthibitisha.
 
Hongera sana kwakutoa ushauri mzuri kwa chma kuelekea 2015,nami niseme tu waraka huu kwa kiasi kikubwa ulilenga kutoa ujumbe kuhusu propaganda za udini,ukabila,ukanda dhidi ya chadema na tuseme ukweli tu viongozi wetu wamekuwa wakipambana na hizi propaganda kila leo na jukumu hili tusiiwaachie viongozi peke yao hata mimi nawewe wenye mapenzi na cdm tunapaswa kupambana na hili jambo tuwe chachu ya mabadiliko kimtazamo kuanzia humu jamvini na huko uraini.

Mimi nawewe tuwe chachu katika kuwaunganisha watanzania wote kuelekea 2015,tuwarahisishie kazi viongozi kwa kupambana na hizi propaganda kwa vitendo,tujenge umoja,mshikamano bila kujali tofauti zetu ili kuifanya safari ya ukombozi kuwa rahisi.

Kamwe tusikubali kumuunga mkono mtu kwa sababu ya dini au kabila lake,bali mtu mwenye dhamira ya dhati kuleta maendeleo na ukombozi kwa watanzania wote bila kujali tofauti zao tuungane nae kwenye ukombozi wa taifa letu.

UMOJA NI NGUVU UTENGANO NI UDHAIFU

Mkuu nilivyo ona kwa mtazamo wangu waraka huu una lengo la kuweka shaka kwa mwana mageuzi yeyote ili ionekane kuwa CDM ni kwa ajili ya watu fulani au inalenga kuneemesha watu fulani!!! Lakini kwa ukweli halisi nia hii imechelewa kwa maana moto wa CDM hauendeshwi kwa dini wala kabila wala ukanda!!! Ukichungulia kwa undani ndio maana CCM imekuja na sera ya kutumia mabavu kuzima sera za CDM kujitanua hadi vijiji vya kusini mwa Tanzania!! Kwa hiyo kuweza kurudisha nyuma mwamko ulioko sasa hivi eti kwa ajili ya dini au kanda au kabila kweli wameisha chelewa!!!
Mifano ni mingi kwa sasa, bila kutumia nguvu kuzuia vuguvugu la ukombozi CHADEMA itaingia kila kona hadi Mtwara vijijini ilikokuwa ngome ya CCM!!! Bila kujali kuwa ni waislamu wala wakristo watu woote wamechoka na uongo na hila za CCM za divide and rule. Watu wanajua kuwa umaskini wetu unaletwa na ufisadi, rushwa, wizi na dhulumati na uonezi ambao CCM imekumbatia, bila kujali dini wala nini, hapo hata aje shehe wala askofu pengo au toboa tobo watu huwezi kuwadanganya!!! Ukombozi pekee wa Mtanzania uliobaki na tumaini pekee ni CDM hapo hatuangalii dini wala kabila au ukanda, tujipange wote kwa pamoja kumkomboa Mtanzania bila kuangalia dini yake!!!!

Kaka Mkandara,
Kwa Tradition za Mtanzania au let say Africans, hatuna kitu kinaitwa Dini, hizi dini zote zimeletwa. Wewe unataka sasa tuanze kugawanyika kama Wakristu au Waislam tuongeze wapagani na kadhalika. Je kwa nini unaona ni rahisi sana ati Watanzania tujiingize kwenye dini zaidi kuliko kujiingiza kwenye ukabila. You are very comfortable to be called a Christian or Moslem than being called Mkerewe au Mhehe!!
If you accept religious lines to divide us also please accept our tradition ethenic tribal lines to take root also.

WE cannot be learning all these foreign cultures all our generations, we have to reach a stage whn we say to hell such brain washing!! WE are Tanzanians. Education, hardwork, innovation, discipline, in line with our culture have to determine our way up and intergration!!
Ahsante...!
 
Mpitagwa

Mojawapo ya vitu ningependa ona mukandara anatoa kama msaada ni pamoja na kuzisema loopholes za CCM, ila amekuwa akikwepa sana hilo. Hizo shutuma nyingine pia amekuwa akizisisitiza kwa kiasi cha kuonyesha ndio imani yake na hawezi ona wala kubali kuwa CDM wapo safi sana tangu mwanzo, ingawa bado kuna kundi la watu si rahisi kulibadili milele.Wapo watu tangu uhuru hawajawahi amini wala yakubali mambo mengi sana na nchi hii. Ila nchi inasonga mbele, CDM nao inabidi wasonge mbele.

Labda tuu tumuulize mkandara lini atajisikia kuwa CDM wamemsikiliza? Au mpaka wawe wadini, wakabila, na wakanda kwa kulazimisha weka watu ,hata wasio wanachama au kuwa na sifa halisi kwa dini zao, kabila zao, ukanda watokao?

Hao akina CUF, CCM na wengine wa namna hiyo na namna yao ni jukumu la kila mtu humu ndani kukemea tabia zisizo na maadili kwa nguvu zote. Haiwezekani nchi ikakosa last soldiers hata kama taifa limekuwa defeated. Wanafanya smea campain kama "mbwa mwitu" hawajali kama wanakula kizazi chote cha wacha Mungu, kizazi cha kuwalinda hata wao, kizazi cha watenda haki na maadili au lah
 
Last edited by a moderator:
na hayo mafiga matatu ya CCM "ukanda,ukabila na udini".Umejitahidi sana kujipa role ya mshauri na mchambuzi,but its pathetic that huna nia njema sana.

Kwa kukosa hiyo "Nia Njema" kumenifanya nichukue kama personal responsibility.

-Hujamaintain consistency logically.

Na jamabo linalotokea ni suala la kitaifa na amani na ustawi wa taifa.

Labda tuu kukutaarifu, kwa mitizamo unayoiweka humu,unafiki unaouonyesha, na kutojua unapopeleka taifa sidhani kama nitaacha kukubana sana ili utoe majibu na si porojo.Humu ndani kuna watu wanajikuta wakishindwa elewa kwanini njia si moja,ingawa unaongea lugha ya upande wao.Its not healthy hata kwa JF.Ungeingia katika special side ili ukadanganye na wajanja wote.

Nicolas japo kuwa Mkandara has been my geat friend in JF lakini kwenye hili swala ninatofautiana naye kabisa kabisa na sababu za mm kuamua kuwa contrary na yy umezianisha vizuri.

Nilijaribu kumwonyesha how inconsistent he is nilipojaribu kum-provoke and then I came to the conclusion uwongo ni kazi kuutetea kwani ukiamua kuficha ukweli unaouamini kwakutumia uwongo wa kuwasadikisha watu mwanga ukimulika tu basi aibu inakuumbua!

Mkandara I normally dont take things so personal lakini kama ambavyo nipo tayari kukosolewa siogopi kukosoa mtu hata awe kwangu vipi and for this you have to be careful badala ya kusaidia kuliponya taifa you might be part and parcel ya kuendelea kuli-bruise na kuamsha maumivu ambayo watanzania wengi hawayapendi kuishi nayo.

Good luck!
 
Mpitagwa

Swali kwake ni kuwa je yeye kama CDM member anaamini hayo ni kweli yapo katika chama chake? Tuanze na yy aliyeko ndani kabla ya kutafuta solution ya walio nje maana charity begins at home!

Kama yy haamini ni vipi anataka matendo ya CDM yaende kimtindo wa tuhuma? Maana tuhuma ikithibitika ni kweli ndipo solution hutolewa kulingana na uthibitisho then in this logical ways of thinking tayari yy anakubaliana na hizo tuhuma ndiyo maana katoa solution inayofanana na hizo tuhuma yaani kathibitisha this is nolonger tuhuma bali ukweli wenyewe....Mkandara ajibu kama ni kweli au la ndipo tutaendelea mbele!
 
Last edited by a moderator:
Mojawapo ya vitu ningependa ona mukandara anatoa kama msaada ni pamoja na kuzisema loopholes za CCM,ila amekuwa akikwepa sana hilo.Hizo shutuma nyingine pia amekuwa akizisisitiza kwa kiasi cha kuonyesha ndio imani yake na hawezi ona wala kubali kuwa CDM wapo safi sana tangu mwanzo,ingawa bado kuna kundi la watu si rahisi kulibadili milele.Wapo watu tangu uhuru hawajawahi amini wala yakubali mambo mengi sana na nchi hii.Ila nchi inasonga mbele, CDM nao inabidi wasonge mbele.

Labda tuu tumuulize mkandara lini atajisikia kuwa CDM wamemsikiliza?Au mpaka wawe wadini,wakabila, na wakanda kwa kulazimisha weka watu ,hata wasio wanachama au kuwa na sifa halisi kwa dini zao, kabila zao,ukanda watokao?

Hao akina CUF ,CCM na wengine wa namna hiyo na namna yao ni jukumu la kila mtu humu ndani kukemea tabia zisizo na maadili kwa nguvu zote.Haiwezekani nchi ikakosa last soldiers hata kama taifa limekuwa defeated.Wanafanya smea campain kama "mbwa mwitu" hawajali kama wanakula kizazi chote cha wacha Mungu, kizazi cha kuwalinda hata wao,kizazi cha watenda haki na maadili au lah
Mkandara amekaa kidinidini sana. Siku chache zilizopita alisema sababu moja ya yeye kujitoa CCM ni mkataba kati ya serikali na kanisa(mou). Akasema hata chadema wakichukua nchi na serikali yake kuendeleza ushirikiano huu uliopo sasa na kanisa, atajitoa vilevile...tafakari!
 
Mashambulizi ya UDINI, UKABILA na UKANDA dhidi ya chadema yanajibiwa kwa njia ya kuwafuata wananchi moja kwa moja huko waliko mpaka vijijini ndani ndani kujitangaza na kunadi sera zao. Mbinu hii mpaka sasa imepata mafanikio makubwa kiasi cha kuwatisha magamba....

Matokeo yake sasa wameamua "LIWALO NA LIWE", "KAMA MBWAYU MBWAYU" wameanzisha kampeni za mauaji kila sehemu chadema wanapotia timu....hizo ni dalili za kutapatapa.

CCM hawawezi kuzungumzia udini na ukanda na wao wenyewe wakabaki salama...dhambi hii walioiasisi itawatafuna wenyewe!
 
Mheshimiwa Mwenyekiti, katibu mkuu wa chama, viongozi wa chama ngazi ya Taifa, mikoa na wajumbe wa mabaraza yote ya chama ngazi zote.. leo nachuua nafasi hii kuwapa summary ya mjumuiko wa utafiti wangu kuelekea uchaguzi wa mwaka 2015 kuzungumzia hali halisi. Yamkini waraka huu umelenga jambo moja tu muhimu sana ktk mapitio yangu ya siasa za Tanzania na hasa mapenzi yangu ya dhati kwa chama cha Chadema na uongozi wake kutika maendelezo ya kukijenga chama hasa ktk wakati huu kuelekea uchaguzi wa mwaka 2015..........

Nawakilisha..

Mkuu Mkandara,
Andiko lako limetulia na linabeba mantiki ya kuitwa upembuzi yakinifu. But one thing in can tell you ni kuwa level unayojaribu kuiweka Chadema,haiko hivyo,haitakuwa hivyo siku za karibuni. Hata wananchi pia hawajawa na uthubutu wa kufikiri hivyo. The same applies to CUF,CCM,na vyama vingine vya siasa. Sasa hivi akili ya watu imetekwa zaidi na hoja za nyimbo zinazofanana,ukiweza kuelezea matatizo ya watanzania,ukawataja mafisadi kwa ufasaha,kama ni mgombea kura umepata. Lakini Tanzania inahitaji zaidi ya hapo wakuu! Umetoa angalizo muhimu sana hapa,
...tujihadhari sana na umaarufu wa muda ama kutukuza wingu hili la umaarufu wa muda kwa sababu lengo kuu la ujenzi wa chama hiki ni kupigania dhamana ya wananchi kuwapa mamlaka ya kuongoza nchi yetu na watu wake. Tukumbuke tu ya kwamba ngomaikivuma sana mwisho wake hupasuka."

Lakini it wont be picked up bro!
Watu wamejikita kwenye itikadi ya kusema kile ambacho watu wengi wanapenda kusikia kwa wakati fulani. Atakayebisha ni mtu ambaye haijui historia ya mageuzi nchi hii tangu miaka ya tisini. Tatizo letu kubwa watanzania,hatupendi kusoma,as you said. Watu wanataka shortcut ya kujua,hawataki kujua kwa kusoma,wanataka mtu mmoja ajue na kufikiri kwa niaba yao. Ndio maana unaambiwa umeandika post ndefu,yes..watu wanataka utaje madhaifu ya CCM,CUF,na mazuri ya CDM kwa kifupi,mengine hayana maana, Hiyo ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo!
Cheers.
 
Pasco,
Ushauri wako ni wa ujenzi ni hiari yao Chadema waufuate au wauache.

Kimsingi Chadema haina tofouti na CCM wana virusi vya ung'ang'anizi vya kurithishana nafasi za uongozi, kwa kuwa wasisi wa Chadema wanatoka ukanda huo wa Kaskazini nao pia wamerithisha familia zao nafasi nyeti za uongozi.

Ritz kwa ujumla kuweka CCM hakuamaanishi shana kuwa umeweza "neutralize biaseness yako".Hum ndani kuna watu wapo kama sniffer dogs,hata utumie lugha gani "unless uwe very smart" huwefi ficha signature unayoacha njiani.Leo nini kimkuuma uone Virusi kila mahali ila utamani sana kuishauri CDM na si CCM?

Kama ni tabia ya vyama vyote pasi pazeni sauti kwa wote wazi katik jamii ili CCM nao wajue kuwa "Nyani haoni kundule".
 
kwa maneno haya ritz atakuwa ameona kundule...
 
Nicolas japo kuwa Mkandara has been my geat friend in JF lakini kwenye hili swala ninatofautiana naye kabisa kabisa na sababu za mm kuamua kuwa contrary na yy umezianisha vizuri.

Nilijaribu kumwonyesha how inconsistent he is nilipojaribu kum-provoke and then I came to the conclusion uwongo ni kazi kuutetea kwani ukiamua kuficha ukweli unaouamini kwakutumia uwongo wa kuwasadikisha watu mwanga ukimulika tu basi aibu inakuumbua!

Mkandara I normally dont take things so personal lakini kama ambavyo nipo tayari kukosolewa siogopi kukosoa mtu hata awe kwangu vipi and for this you have to be careful badala ya kusaidia kuliponya taifa you might be part and parcel ya kuendelea kuli-bruise na kuamsha maumivu ambayo watanzania wengi hawayapendi kuishi nayo.

Good luck!
Mkandara choice ya maneno pia ina m-betray kwa sana mfano mmojawapo ni kutumia "WARAKA", id "Mkandara", "Issues anazo present","anavyo present issue",", "anavyo insist vitu kwa nguvu na hasira", "characters", "mwenyekiti", "katibu mkuu" etc.

Nikiamua komaa sana katika hao characters aliwaowataja, nikirudi katika thread za mchambuzi, nikicheki jinsi wanavyopeana support achilia mbali akina rits,pasco etc.Naweza decode mengi sana.Huyu jamaa hana tofauti sana na wasomi/wanasiasa wetu wengi sana wanapaza sauti halafu wanakwenda sikiliza mwangwi na kudhani kuwa watanzania ndio wanapiga hizo kelele.

Mkandara atapambana sana kwa nguvu zake zote na kwa kusactrifice kila kitu ili pate kitu fulani in a selfish and betrayal ila "hakuna kitakachompa furaha ya roho".akiwa mkweli ataona hilo kwani lazima atakuwa amefanya mengi.
 
Mimi nadhani ndugu Mkandara,angesema chadema ni ya kikanda ama kidini kutokana na sababu a,b,c...Badala ya kusema tu kwamba ccm ndiyo itakavyo sema.
ccm kusema siyo shida,kama wanasema na yeye anaamini,basi aseme mimi ninaamini haya maneno ya ccm kwasababu hizi ama zile,yani aweke na mifano kabisa.Hapo tutajadili vyema.Tupate mifano kama vile chadema ni ya wakristo kutokana na viongozi wake wote kuwa wakristo,the same with ukabila na ukanda,yani aweke mifano na kusema chadema ni ya kikabila kwasababu viongozi wake wote ni wa kabila moja etc etc.Hapo kutakuwa na hoja.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mkandara,
Andiko lako limetulia na linabeba mantiki ya kuitwa upembuzi yakinifu. But one thing in can tell you ni kuwa level unayojaribu kuiweka Chadema,haiko hivyo,haitakuwa hivyo siku za karibuni. Hata wananchi pia hawajawa na uthubutu wa kufikiri hivyo. The same applies to CUF,CCM,na vyama vingine vya siasa. Sasa hivi akili ya watu imetekwa zaidi na hoja za nyimbo zinazofanana,ukiweza kuelezea matatizo ya watanzania,ukawataja mafisadi kwa ufasaha,kama ni mgombea kura umepata. Lakini Tanzania inahitaji zaidi ya hapo wakuu! Umetoa angalizo muhimu sana hapa,

Lakini it wont be picked up bro!
Watu wamejikita kwenye itikadi ya kusema kile ambacho watu wengi wanapenda kusikia kwa wakati fulani. Atakayebisha ni mtu ambaye haijui historia ya mageuzi nchi hii tangu miaka ya tisini. Tatizo letu kubwa watanzania,hatupendi kusoma,as you said. Watu wanataka shortcut ya kujua,hawataki kujua kwa kusoma,wanataka mtu mmoja ajue na kufikiri kwa niaba yao. Ndio maana unaambiwa umeandika post ndefu,yes..watu wanataka utaje madhaifu ya CCM,CUF,na mazuri ya CDM kwa kifupi,mengine hayana maana, Hiyo ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo!
Cheers.

Ndege waafananao huruka pamoja...dunia imejaribu sana kuwa na universal values.Bahati mbaya kama kuna wasiosimama katika hizo values.Basi hawata fit popote duniani.Mkandara kaamua ,tena kaamua kufanya haya kwa nguvu zote,kwake dunia ina-move so fast,ila rohoni desires zake hazitembei, hazishibi,...hajajifunza kuwa katika maisha yake hajawahi hata siku maliza tamaa zake....somebody amwambie hata solomon, pia alifikia mahali pakuona kila kitu cha anasa ni kujidanganya...Solomoni.hakugeuka nyuma akasema nili enjoy ujana wangu .Ila alijilamu kupitia route hiyo huku akimshukuru Mungu kuwa hiyo route haikumfitini kihivyo kiasi cha kumwacha huko.

Tamaa hufitinisha,hudhoofisha mioyo yetu..na ya vipenzi vingi vya watu..ila hufadhaisha sana wenye mapenzi ya kweli kwetu.Mkandara naamini una maisha mazuri tuu, ila umeamua abuse na kuchafua kilicho kitakatifu,utashi wako na fadhila toka kwa Mungu kwa kuwa so special.Mungu anaweza kitwaa kilicho chake ndani yako.

Kumbuka pale unapodhani kuwa unakwenda kuwamaliza usiowapenda pasipo haki, basi ujue umekaribia pata anguko lililo kuu. Huhitaji
pitia njia ya solomon kwani hutosalimika.Historia inaandikwa ili ujifunze bila kuwa sample.Sijui sana kama unaweza tumia ule msemo wako. "Ipasavyo" na "Ipasayo",ila nadhani haya maneno yana mengi ya kukufunza

Tchaooooooo.
 
Mojawapo ya vitu ningependa ona mukandara anatoa kama msaada ni pamoja na kuzisema loopholes za CCM,ila amekuwa akikwepa sana hilo.Hizo shutuma nyingine pia amekuwa akizisisitiza kwa kiasi cha kuonyesha ndio imani yake na hawezi ona wala kubali kuwa CDM wapo safi sana tangu mwanzo,ingawa bado kuna kundi la watu si rahisi kulibadili milele.Wapo watu tangu uhuru hawajawahi amini wala yakubali mambo mengi sana na nchi hii.Ila nchi inasonga mbele, CDM nao inabidi wasonge mbele.

Labda tuu tumuulize mkandara lini atajisikia kuwa CDM wamemsikiliza?Au mpaka wawe wadini,wakabila, na wakanda kwa kulazimisha weka watu ,hata wasio wanachama au kuwa na sifa halisi kwa dini zao, kabila zao,ukanda watokao?

Hao akina CUF ,CCM na wengine wa namna hiyo na namna yao ni jukumu la kila mtu humu ndani kukemea tabia zisizo na maadili kwa nguvu zote.Haiwezekani nchi ikakosa last soldiers hata kama taifa limekuwa defeated.Wanafanya smea campain kama "mbwa mwitu" hawajali kama wanakula kizazi chote cha wacha Mungu, kizazi cha kuwalinda hata wao,kizazi cha watenda haki na maadili au lah

MKANDARA NA MCHEZO WA KARATA TATU:

Niliwahi kusoma kitabu cha Wilhelm Hofmeister (Political Parties in Democracy).. Kwa udondozi wa hoja ulioletwa hapa na 'Mkandara' ninajaribu kukumbuka sehemu ya kitabu hicho ambapo kilijaribu kuainisha kwa ufupi namna kiongozi wa kisiasa anavyoweza kuchagua karata tatu na kucheza nazo hadi kufanikisha malengo yake. Kati ya 'Karata tatu' kwenye siasa ya kidemokrasia hakika hizi karata za 'Mkandara' hazipo. Hazipo kwa sababu zifuatazo;

Mhe.'Mkandara' amekuwa akitumia tuhuma za dhaifu na za kizamani kuishambulia CHADEMA kwa kivuli cha kuishauri. Kwenye political Science ni kama ananoa panga la CCM kukabiliana na CHADEMA. Awali niliupita mara kadhaa uzi huu nikiangalia tu michango ya watu bila kusema lolote. Hapo juu kidogo nikaona nimpe mwanga japo anaweza kuona popote. Lakini naona bado. Mhe.Mkandara amekuwa akiendesha mjadala huu kwa tahadhari kubwa pengine akitarajia ama kushambuliwa ama kushindwa kutimiza azma yake mapema atakavyo. Amekuwa akiendesha mjadala huu kama Nungunungu..(Samahani kwa kutumia neno hilo) taabia ya nungunungu hurusha mishale bila kujua kama anayekuja ni adui au ni mtunza bustani.

MCHANGO:
Madai ya Udini/Ukabila na Ukanda haukuanza kusemwa leo na walioanzisha walikuwa kina Tamwe Hiza na Makamba Senior. Madai hayo yalirithiwa na kina Nape na Mwigulu huku ikipambwa na beti za Lukuvi na Wassira.

CHADEMA kama chama kinachochukua Dola 2015 kilishughulika kuhakikisha kuwa sura ya chama inaendelea kubaki ya kitaifa kama kilivyoasisiwa. Hoja ya Udini/Ukanda na ukabila ni hoja dhaifu na zilizopoteza mashiko masikioni mwa wengi kwa sasa!. Huu wimbo hauna tena wasikilizaji. Nape alijitahidi sana kutumia santuri hizo zikamshinda sasa ameamua kuwa mtu wa kutoa matamko. Sasa ninapoona nyimbo kama hizi tena zikija kwa njia ya 'Ushauri' 'Waraka' siwezi kusita kuiita 'KARATA TATU GARASA'.
 
Kwa nini nitake alete vithibitisho ikiwa mimi mwenyewe sina vithibitisho vya madai yangu juu ya CCM na CUF.. Mkuu fahamu kwamba Uongo ukisemwa sana huaminika na wananchi hawahitaji ushahidi maana hatupo mahakani. Yule atakaye amini tuhuma hizi kutokana na siis kushindwa kujihusisha na jamii zetu kwa kufikiria kwamba kuishambulia CCM pekee kutaongeza tumaini la watu kwetu ni kujidanganya. Utamaduni wa Mtanzania siku zote umejengeka ktk fitna, Udaku na hadithi hatuna hii kitu ushahidi isipokuwa kinachoaminika. Reasoning zetu zinaenda kwa ushawishi tu kama tunavyochagua imani zetu za dini, ushabiki wa Simba na Yanga ndivyo ilivyo hata kwenye siasa.
Kwenye Red umenikumbusha mechi kati ya TP Mazembe na Simba ambapo washabiki wa Yanga waliishabikia TP Mazembe. Suala hili likasababisha washabiki wa simba kuishabikia Zamaleck pale ilipopambana na Yanga. Kwa mtazamo wangu mashabiki wa CDM kwa sasa wako tayari kuona CCM inashinda uraisi kuliko uraisi uende kwa CUF vivyo hivyo kwa upande wa mashabiki wa CUF. Suala kubwa hapa ni kutokana na propaganda za kidini zilizopo kwenye kila chama
 
Mkandara choice ya maneno pia ina m-betray kwa sana mfano mmojawapo ni kutumia "WARAKA", id "Mkandara", "Issues anazo present","anavyo present issue",", "anavyo insist vitu kwa nguvu na hasira", "characters", "mwenyekiti", "katibu mkuu" etc.

Nikiamua komaa sana katika hao characters aliwaowataja, nikirudi katika thread za mchambuzi, nikicheki jinsi wanavyopeana support achilia mbali akina rits,pasco etc.Naweza decode mengi sana.Huyu jamaa hana tofauti sana na wasomi/wanasiasa wetu wengi sana wanapaza sauti halafu wanakwenda sikiliza mwangwi na kudhani kuwa watanzania ndio wanapiga hizo kelele.

Mkandara atapambana sana kwa nguvu zake zote na kwa kusactrifice kila kitu ili pate kitu fulani in a selfish and betrayal ila "hakuna kitakachompa furaha ya roho".akiwa mkweli ataona hilo kwani lazima atakuwa amefanya mengi.

Kufichaficha na ku-divert hoja alizoleta Mkandara kwa sababu tu sio yale mliyopenda kusikia haiwasaidii,haitasaidia chama chenu wala haitawasaidia watanzania. Mchango wake umejikita kwenye hoja,but you seem to base yours on something entirely different.
Sio lazima everytime ku-act kama kada wa chama,na mawazo yako yafikirie ki-kada..kada everytime. Haya madhaifu mnayoyakingia kifua kama yapo yapo tu,hayawezi kuondoka kwa sababu tu mmeamua kusema hayapo. Huwezi kubadili image ya Chadema kwa sasa mbele ya jamii kwa kauli kama hizi zilizojaa ushabiki wa kichama na kukwepa ukweli kwa makusudi. Ukweli ndio huo..hakuna kitakachowaumbua na kuwaweka kweupe,hata mvae ngozi gani,the truth will act up and you will fall apart.
 
MCHANGO:
Madai ya Udini/Ukabila na Ukanda haukuanza kusemwa leo na walioanzisha walikuwa kina Tamwe Hiza na Makamba Senior. Madai hayo yalirithiwa na kina Nape na Mwigulu huku ikipambwa na beti za Lukuvi na Wassira.

CHADEMA kama chama kinachochukua Dola 2015 kilishughulika kuhakikisha kuwa sura ya chama inaendelea kubaki ya kitaifa kama kilivyoasisiwa. Hoja ya Udini/Ukanda na ukabila ni hoja dhaifu na zilizopoteza mashiko masikioni mwa wengi kwa sasa!. Huu wimbo hauna tena wasikilizaji. Nape alijitahidi sana kutumia santuri hizo zikamshinda sasa ameamua kuwa mtu wa kutoa matamko. Sasa ninapoona nyimbo kama hizi tena zikija kwa njia ya 'Ushauri' 'Waraka' siwezi kusita kuiita 'KARATA TATU GARASA'.

Kwa mtu aliyesoma Mathematics japo kiduchu,kuna somo linaitwa probability. Na kwenye probability kuna "laws of probability". One of the law, probability can never be one. Hapo kwenye red..hili hukulizingatia..(labda kwa kutokujua). Sio tatizo sana,ila kimsingi tu jiweke katika position ya ushindani,na kila mmoja anataka kushinda. La kuzingatia,kaeni mjitathmini, approach mliyo nayo unadhani itawawezesha kushika hiyo "dola 2015"?.
 
Mimi nadhani ndugu Mkandara,angesema chadema ni ya kikanda ama kidini kutokana na sababu a,b,c...Badala ya kusema tu kwamba ccm ndiyo itakavyo sema.
ccm kusema siyo shida,kama wanasema na yeye anaamini,basi aseme mimi ninaamini haya maneno ya ccm kwasababu hizi ama zile,yani aweke na mifano kabisa.Hapo tutajadili vyema.Tupate mifano kama vile chadema ni ya wakristo kutokana na viongozi wake wote kuwa wakristo,the same with ukabila na ukanda,yani aweke mifano na kusema chadema ni ya kikabila kwasababu viongozi wake wote ni wa kabila moja etc etc.Hapo kutakuwa na hoja.

Mkuu, nadhani umeandika baada ya kusoma michango ya watu wanaomjibu Mkandara,lakini hujasoma alichokiandika Mkandara. Hebu rudi juu usome kwanza waraka wake,then uone kama post yako bado ni valid au la. I am sure hujaisoma post yake,au umesoma ukiwa tayari una majibu.
 
Back
Top Bottom