Uimara wa CCM Afrika unatokana na mchanganyiko wake.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,032
Reaction score
17,391
CCM ni kati ya vyama vikongwe na imara sana Afrika chenye uwezo wa kuongoza miaka 50 mingine bila kutetereka. Kinaweza kuhimili changamoto ndogo na kubwa za ndani na nje ya chama bila kupiga chafya nyingi.

Uimara wa CCM unatokana na usawa katika mchanganyiko wake wa wanachama na viongozi ambao unajumuisha watu wa makabila yote, dini zote, madhehebu yote, jinsia zote, mikoa yote, kanda zote na rika zote matajiri na watu wa kawaida kabisa kiuchumi na kielimu kwa ulinganifu. Hakuna kabila, dini, dhehebu au jinsia ya watu au kundi linaloweza kusema bila sisi chama kitayumba. Hii inakisaidia chama kisibomoke kwa sababu za kikabila, kidini, kijinsia, kikanda au kimadhehebu ya dini. Hata awe nani anaweza kufukuzwa chama na chama kikabaki kimesimama.

Hivyo, hata kama wakikufukuza wewe muislamu mmoja kwa kosa lako, ndani ya chama watabakia waislamu wengine 10,000. Ukihama chama wewe mkurya mmoja ndani ya chama watabakia wakurya wengine 10,000. Kama ukifukuzwa chama wewe kijana mmoja watabaki vijana 20,000, nk. Hali hii ni tofauti na vyama vingine ambavyo vina uwiano mbaya wa wanachama na wafuasi wake wa makabila, dini, madhehebu na ukanda. Vyama vingine vya siasa Afrika utakuta vina ama kundi kubwa la kabila moja, dini moja, au dhehebu moja la dini kuliko makabila, dini au madhehebu mengine.

Baada ya uchaguzi kumalizika ndani ya CCM na uchaguzi mkuu wa serikali CCM inavunja kambi zote na kuwafanya wanaCCM na wasio wanaCCM kuwa kitu kimoja na sawa kwenye kupatiwa huduma na serikali. Wote wanapata huduma ileile ya afya, elimu, usafiri, ajira, viwanja, biashara, usafiri, nk. Hakuna ubaguzi wala upendeleo wa huduma kati ya wanaCCM na wasio wanaCCM. Sifa hii ndiyo nguzo inayoisimamisha CCM.

Kule Kenya kama ukimfuta kazi mkikuyu nafasi yake lazima lazima ijazwe na mkikuyu mwingine la sivyo utaingia shidani. Kenya alipomtimua Gachagwa (Mkikuyu) kwenye Umakamu wa Rais alilazimika kuiziba nafasi yake kwa Kindiki (Mkikuyu); lakini hapa kwetu anatimuliwa kazi mngoni na nafasi yake inajazwa na mgogo na CCM imeendelea kusimama.

Sifa hizi zimwendee Mwl. Nyerere na wenzake waliokisuka hiki chama kuwa imara namna hii.
 
Tunachohitaji ni maendeleo sio kupeana madaraka kwa kufuata nani anavaa kanzu/ushungi na nani anavaa rozari.
 
Upuuzi
 
Upumbavu namba moja nikuingiza issue ya dini kwenye nafasi za uongozi

Kwamba dini fulani ndiyo zamu yao
Upuuzi na kichefuchefu
Apewe mtu mwenye utashi na ufanisi eneo husika bila kujali dini wala kabila

My take : CCM haipo madarakani kwa hizo sababu ulizozitaja pekee
Kuna ukweli mdogo tu kwa maneno hayo
Ila sote ni mashahidi na tunajua namna CCM inavyoweza kubaki madarakani
 
Hata aibu huna mbwa wewe
 
Msigwa kuja kutolea Ufafanuzi.
FB_IMG_17872560261619329.jpg
 
Nitajie nchi 5 za Afrika kusini mwa jangwa la Sahara zenye maendeleo kuliko tz.
 
Upumbavu namba moja nikuingiza issue ya dini kwenye nafasi za uongozi

Kwamba dini fulani ndiyo zamu yao
Upuuzi na kichefuchefu
Apewe mtu mwenye utashi na ufanisi eneo husika bila kujali dini wala kabila

My take : CCM haipo madarakani kwa hizo sababu ulizozitaja pekee
Kuna ukweli mdogo tu kwa maneno hayo
Ila sote ni mashahidi na tunajua namna CCM inavyoweza kubaki madarakani
Hiyo ya kupewa kabila moja, dini moja na kabila moja kuongoza nchi ndiyo chimbuko la kuanguka kwa nchi nyingi Afrika na Uarabuni.

Mfano, pale chadema ni chama cha wakristo wengi na wachagga wengi, CUF na ACT ni vyama vya waislamu wengi kuliko wakristo. Vyama kama hivi haviwezi kudumu kwenye nchi yenye makabila mengi na dini kubwa zaidi ya moja. CCM imevuka mtego huo. Shida ya CCM imebaki ile ya Wakristo kuacha nafasi ya urais kuwa ya dhehebu moja tu tangu nchi ipate uhuru. Nadhani hiyo sio shida kubwa kwao ingawa Lowassa kuna wakati aliwaambiaga watu wa dhehemu lake kuwa safiri hii ni zamu yetu, kitu ambacho kilimuudhi sana Mkapa.
 
Upumbavu namba moja nikuingiza issue ya dini kwenye nafasi za uongozi

Kwamba dini fulani ndiyo zamu yao
Upuuzi na kichefuchefu
Apewe mtu mwenye utashi na ufanisi eneo husika bila kujali dini wala kabila

My take : CCM haipo madarakani kwa hizo sababu ulizozitaja pekee
Kuna ukweli mdogo tu kwa maneno hayo
Ila sote ni mashahidi na tunajua namna CCM inavyoweza kubaki madarakani
Hata kama CCM inaiba kura lakini wanaoiba na wanaobiwa kura wote wanatoka makabila yaleyale, dini zilezile, madhehebu yaleyale. Hivyo, wanasikitika tu bila kupigana kwakuwa aliyeshinda uchaguzi ni wa kabila lako, dini yako au dhehebu lako. Chadema ni tofauti, anakatwa mhehe kwenye nafasi ya viti maalum anapewa mchagga..
 
CCM ni kati ya vyama vikongwe na imara sana Afrika chenye uwezo wa kuongoza miaka 50 mingine bila kutetereka. Kinaweza kuhimili changamoto ndogo na kubwa za ndani na nje ya chama bila kupiga chafya nyingi.

Uimara wa CCM unatokana na usawa katika mchanganyiko wake wa wanachama na viongozi ambao unajumuisha watu wa makabila yote, dini zote, madhehebu yote, jinsia zote, mikoa yote, kanda zote na rika zote matajiri na watu wa kawaida kabisa kiuchumi na kielimu kwa ulinganifu. Hakuna kabila, dini, dhehebu au jinsia ya watu au kundi linaloweza kusema bila sisi chama kitayumba. Hii inakisaidia chama kisibomoke kwa sababu za kikabila, kidini, kijinsia, kikanda au kimadhehebu ya dini. Hata awe nani anaweza kufukuzwa chama na chama kikabaki kimesimama.

Hivyo, hata kama wakikufukuza wewe muislamu mmoja kwa kosa lako, ndani ya chama watabakia waislamu wengine 10,000. Ukihama chama wewe mkurya mmoja ndani ya chama watabakia wakurya wengine 10,000. Kama ukifukuzwa chama wewe kijana mmoja watabaki vijana 20,000, nk. Hali hii ni tofauti na vyama vingine ambavyo vina uwiano mbaya wa wanachama na wafuasi wake wa makabila, dini, madhehebu na ukanda. Vyama vingine vya siasa Afrika utakuta vina ama kundi kubwa la kabila moja, dini moja, au dhehebu moja la dini kuliko makabila, dini au madhehebu mengine.

Baada ya uchaguzi kumalizika ndani ya CCM na uchaguzi mkuu wa serikali CCM inavunja kambi zote na kuwafanya wanaCCM na wasio wanaCCM kuwa kitu kimoja na sawa kwenye kupatiwa huduma na serikali. Wote wanapata huduma ileile ya afya, elimu, usafiri, ajira, viwanja, biashara, usafiri, nk. Hakuna ubaguzi wala upendeleo wa huduma kati ya wanaCCM na wasio wanaCCM. Sifa hii ndiyo nguzo inayoisimamisha CCM.

Kule Kenya kama ukimfuta kazi mkikuyu nafasi yake lazima lazima ijazwe na mkikuyu mwingine la sivyo utaingia shidani. Kenya alipomtimua Gachagwa (Mkikuyu) kwenye Umakamu wa Rais alilazimika kuiziba nafasi yake kwa Kindiki (Mkikuyu); lakini hapa kwetu anatimuliwa kazi mngoni na nafasi yake inajazwa na mgogo na CCM imeendelea kusimama.

Sifa hizi zimwendee Mwl. Nyerere na wenzake waliokisuka hiki chama kuwa imara namna hii.
Uimara wa CCM unatokana na Polisi
 
Raisi anamteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wajumbe/wakurugenzi wake, Raisi anagombea uraisi tume iliyochaguliwa na Raisi yamtangaza raisi kuwa mshindi wa uraisi.
Uimara wa CCM upo hapo juu.
 
Zezeta wewe , hakuna uimara kwa kuiba kura

Cc: Lucas Mwashambwa
 
Nje ya kutegemea polisi na vitisho, ccm ina uimara gani?
Uzuri wake hata polisi wanatoka makabila yaleyale, dini zilezile na madhehebu hayohayo ya wagombea na wapiga kura. Nchi nyingine za Afrika utakuta vyombo vya dola vinaundwa na askari kutoka kabila moja, dini moja au dhehebu moja tu. Hapa kwetu askari wanatoka kila makabila, dini na madhehebu yote nchini. Askari wetu watakulinda na kukutendea bila kujali kabila, dini wala dhehebu lako.
 
Raisi anamteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wajumbe/wakurugenzi wake, Raisi anagombea uraisi tume iliyochaguliwa na Raisi yamtangaza raisi kuwa mshindi wa uraisi.
Uimara wa CCM upo hapo juu.
Rais Mkwere na muislam anamteua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ambae ni mnyiramba na mkatolic, mkuu wa majeshi mnyakyusa. Hiyo ndio CCM.
 
Back
Top Bottom