Waraka wangu kwa viongozi wa CHADEMA

Waraka wangu kwa viongozi wa CHADEMA

Kufichaficha na ku-divert hoja alizoleta Mkandara kwa sababu tu sio yale mliyopenda kusikia haiwasaidii,haitasaidia chama chenu wala haitawasaidia watanzania. Mchango wake umejikita kwenye hoja,but you seem to base yours on something entirely different.
Sio lazima everytime ku-act kama kada wa chama,na mawazo yako yafikirie ki-kada..kada everytime. Haya madhaifu mnayoyakingia kifua kama yapo yapo tu,hayawezi kuondoka kwa sababu tu mmeamua kusema hayapo. Huwezi kubadili image ya Chadema kwa sasa mbele ya jamii kwa kauli kama hizi zilizojaa ushabiki wa kichama na kukwepa ukweli kwa makusudi. Ukweli ndio huo..hakuna kitakachowaumbua na kuwaweka kweupe,hata mvae ngozi gani,the truth will act up and you will fall apart.

Hujasoma majibu ya Deus-Mallya hapo juu?CDM wameanza kwa picture ya utaifa na wanakwenda hivyohivyo."Mlalamikaji na wala si mshauri" kushindwa fanya kitu kimoja kizuri.Awahimize watu wa kundi lake wajiunge na CDM kwa wingi,wajitume kwa bidii na moyo wote huku wakionyesha uwezo wao katika kukuza umoja na uongozi ili waweze shika nafasi zinazotokea ktk chama.Hawezi fanya hivyo kwa sababu si wa kundi hili.Kwa alichoandika na anachohimiza inaonyesha CCM wamemshika katika ngoma ambayo naye kaona ndiyo pekee anayoweza lipia kiingilio.

Otherwise naomba kama upo serious uangalie hizo red vizuri na uzitolee majibu.
 
Kwa mtu aliyesoma Mathematics japo kiduchu,kuna somo linaitwa probability. Na kwenye probability kuna "laws of probability". One of the law, probability can never be one. Hapo kwenye red..hili hukulizingatia..(labda kwa kutokujua). Sio tatizo sana,ila kimsingi tu jiweke katika position ya ushindani,na kila mmoja anataka kushinda. La kuzingatia,kaeni mjitathmini, approach mliyo nayo unadhani itawawezesha kushika hiyo "dola 2015"?.

Daima hakuna anayeingia kwenye vita kwa malengo ya kushinda au kushindana. Kila mmoja huingia vitani kwa lengo la kushinda!.. Waambie CCM nao waje hapa waseme kuwa 2015 watashinda... Haitadhuru kitu; time will tel
 
Kwa mtu aliyesoma Mathematics japo kiduchu,kuna somo linaitwa probability. Na kwenye probability kuna "laws of probability". One of the law, probability can never be one. Hapo kwenye red..hili hukulizingatia..(labda kwa kutokujua). Sio tatizo sana,ila kimsingi tu jiweke katika position ya ushindani,na kila mmoja anataka kushinda. La kuzingatia,kaeni mjitathmini, approach mliyo nayo unadhani itawawezesha kushika hiyo "dola 2015"?.

Tatizo ni nia yenu.
"CHADEMA kama chama kinachochukua Dola 2015". umeona lugha iliyotumika hapo?Yaani process imeanza na inaendelea.mnaiita nini?present continuous ehe?.You very close to the right concept but,you are in parallel line.parallel lines never meet.Kwa hiyo jibu sahihi utakuwa nalo.Its beyond your reach.CDM kwao kuchukua dola ni process yenye stages zinazohitimishwa katika kura, kwa CCM ni matokeo kama fikra zako hapa zionekanavyo .Nadhani unaona wapi hutapata jibu sahihi forever?Yaani hiyo probability ndio chadema wanaiinfluence sasa hivi na hivo kufanya vitu viwe certain by the time wakiingia katk uchaguzi mkuu.Kuna newsreaders na newsmakers
 
Duuh! huyu NICHOLAS ni kiboko....jamaa anamwaga nondo kama computer.
To be honesty toka nimeijua JF nawaadimire watu watatu ukiwemo wewe.
Kuna mtu anaitwa Nguruvi3,Mwanakijiji na Nicholas...nyinyi watu ni level nyingine!
Yaani munatisha kwa mahoja kama ukimwi. Natamani mmoja wenu ndiye angekuwa baba yangu mzazi.
 
Mkandara amekaa kidinidini sana. Siku chache zilizopita alisema sababu moja ya yeye kujitoa CCM ni mkataba kati ya serikali na kanisa(mou). Akasema hata chadema wakichukua nchi na serikali yake kuendeleza ushirikiano huu uliopo sasa na kanisa, atajitoa vilevile...tafakari!
Ni kweli nakumbuka aliongea maneno hayo....huyu baba ni mdini sana! na siku Zitto akihama CDM basi na huyu baba ni lazima amfuate
 
Hoja nzuri hasa kwenye kipengele cha udini, ukanda na ukabila..hapa kama chama tunahitaji nguvu ya ziada na katika matendo kuwaonyesha watanzania kuwa CHADEMA sio chama kilichobebwa na makundi ya watu katika dini zao, kabila zao na kanda zao. Ni hoja nzuri inahitaji tafakuri makini, kuchuja yale yenye manufaa na kuweka pumba pembeni.
 
Mimi nadhani ndugu Mkandara,angesema chadema ni ya kikanda ama kidini kutokana na sababu a,b,c...Badala ya kusema tu kwamba ccm ndiyo itakavyo sema.
ccm kusema siyo shida,kama wanasema na yeye anaamini,basi aseme mimi ninaamini haya maneno ya ccm kwasababu hizi ama zile,yani aweke na mifano kabisa.Hapo tutajadili vyema.Tupate mifano kama vile chadema ni ya wakristo kutokana na viongozi wake wote kuwa wakristo,the same with ukabila na ukanda,yani aweke mifano na kusema chadema ni ya kikabila kwasababu viongozi wake wote ni wa kabila moja etc etc.Hapo kutakuwa na hoja.
Mkuu aseme mara ngapi? mbona keshasema? anasema CDM ni wadini kutokana na pro-CDM hapa jamvini kukashfu dini ya
kiislaam kila siku. Binafsi nasema si pro-CDM wote wanakashfu uislaam bali ni baadhi tu ya watu wachache wanye akili kama ya Zomba na Ritz
 
Hoja nzuri hasa kwenye kipengele cha udini, ukanda na ukabila..hapa kama chama tunahitaji nguvu ya ziada na katika matendo kuwaonyesha watanzania kuwa CHADEMA sio chama kilichobebwa na makundi ya watu katika dini zao, kabila zao na kanda zao. Ni hoja nzuri inahitaji tafakuri makini, kuchuja yale yenye manufaa na kuweka pumba pembeni.

Hivi hamuoni aibu .....?mbona hii ni ile ile templates.Yaani mmekosa kabisa ubunifu hata kidogo.Yaani mnabadili id tuu halafu mnamwaga tena hapa.Sisngangai kwanini CDm lazima wawatoe.Hamna ubunifu hata chembe, kila kitu mnacopy na kupaste huku mki-edit vitu vidogo sana.Footer.N ahii ipo katika serikali kimeo hata sera mbalimbali huwa hamuumizi vichwa kuangalia mambo yaliyopo na yajayo, halafu mnadai ni mpya.Kwa mwendo huu hamta mweza "honeybadger".

Hiyo signature ya "mlalamikaji" aka "mshauri" na wacheza cheusi chekundi wenzie ambao wapo kuzikubali hoja kwa niaba ya CDM.
 
Mkuu aseme mara ngapi? mbona keshasema? anasema CDM ni wadini kutokana na pro-CDM hapa jamvini kukashfu dini ya
kiislaam kila siku. Binafsi nasema si pro-CDM wote wanakashfu uislaam bali ni baadhi tu ya watu wachache wanye akili kama ya Zomba na Ritz

Ccm waliuwa mwembechai na bado wanawapenda na mashabiki wao unawajuwa humu.Ndiyo maana sikuona kama ni a valid point kusema chadema ni chama cha kikristo kwasababu ya kejeli za baadhi ya member humu.Pro chadema wako wa aina tofauti na ni wengi.

Chadema hajawahi kuuwa waislam kama ccm,tumia akili.Hizo kejeli za baadhi ya members unaowaita pro chadema ndiyo zinakufanya useme ama aseme ni chama cha kikanda?think think!
 
Mkuu, nadhani umeandika baada ya kusoma michango ya watu wanaomjibu Mkandara,lakini hujasoma alichokiandika Mkandara. Hebu rudi juu usome kwanza waraka wake,then uone kama post yako bado ni valid au la. I am sure hujaisoma post yake,au umesoma ukiwa tayari una majibu.
soma bandiko langu #211,kama bado una swali uliza.
 
Wanabodi,

Siku ya Leo nilishikwa na maswala muhimu ya maisha hivyo sikupata muda wa kuwepo kijiweni lakini nimerusdi na nitakuwepo kwa muda kufuatilia hoja za wanabodi. Baada ya kupitia baadhi ya hoja za watu hapa napenda kusema hivi:-
Kwa yeyote ambaye anaona waraka wangu una walakini na pengine fikra tofauti namuomba aweke kifungu ambacho kinampa matatizo ama hakubaliani nacho halafu tukijadili mimi na yeye badala ya kuzungumzia Mkandara na kujaribu kuingia kichwani mwangu wakati huwezi na huna uwezo huo..

Ni ajabu leo Mkandara amekuwa ndio mada badala ya mtu kuzungumzia sehemu ambayo imempa shida kuielewa ama ameelewa hivi ili hata mimi nipate kutanabahi. Nadhani nimejaribu kwa kiasi kikubwa sana kujieleza mwenyewe lakini yaonyesha kwao Mkandara ndiye tatizo sijui kwa sababu haitaki kusema mapungufu ya chama japokuwa nimechukua mtazamo wa watu wengine na kuyapima. Kwao na sio swala la waraka huu bali Mknadara ambaye amekuja na agenda yake - sawa! hivyo sintaendelea na mjadala unanihusu mimi unless mtu huyo ka quote waraka wenyewe tutayajadili..

- Ahsanteni
 
Kaka Mkandara,
Kwa Tradition za Mtanzania au let say Africans, hatuna kitu kinaitwa Dini, hizi dini zote zimeletwa. Wewe unataka sasa tuanze kugawanyika kama Wakristu au Waislam tuongeze wapagani na kadhalika. Je kwa nini unaona ni rahisi sana ati Watanzania tujiingize kwenye dini zaidi kuliko kujiingiza kwenye ukabila. You are very comfortable to be called a Christian or Moslem than being called Mkerewe au Mhehe!!
If you accept religious lines to divide us also please accept our tradition ethenic tribal lines to take root also.

WE cannot be learning all these foreign cultures all our generations, we have to reach a stage whn we say to hell such brain washing!! WE are Tanzanians. Education, hardwork, innovation, discipline, in line with our culture have to determine our way up and intergration!!
Mkuu nimekusikia lakini ili unielewe vizuri, nakuomba soma waraka wangu tena halafu pitia #147 nadhani majibu yako yapo hapo..
 
Wanabodi,

Siku ya Leo nilishikwa na maswala muhimu ya maisha hivyo sikupata muda wa kuwepo kijiweni lakini nimerusdi na nitakuwepo kwa muda kufuatilia hoja za wanabodi. Baada ya kupitia baadhi ya hoja za watu hapa napenda kusema hivi:-
Kwa yeyote ambaye anaona waraka wangu una walakini na pengine fikra tofauti namuomba aweke kifungu ambacho kinampa matatizo ama hakubaliani nacho halafu tukijadili mimi na yeye badala ya kuzungumzia Mkandara na kujaribu kuingia kichwani mwangu wakati huwezi na huna uwezo huo..

Ni ajabu leo Mkandara amekuwa ndio mada badala ya mtu kuzungumzia sehemu ambayo imempa shida kuielewa ama ameelewa hivi ili hata mimi nipate kutanabahi. Nadhani nimejaribu kwa kiasi kikubwa sana kujieleza mwenyewe lakini yaonyesha kwao Mkandara ndiye tatizo sijui kwa sababu haitaki kusema mapungufu ya chama japokuwa nimechukua mtazamo wa watu wengine na kuyapima. Kwao na sio swala la waraka huu bali Mknadara ambaye amekuja na agenda yake - sawa! hivyo sintaendelea na mjadala unanihusu mimi unless mtu huyo ka quote waraka wenyewe tutayajadili..

- Ahsanteni

Karibu sana+pole kwa safari.Pitia tuu postings halafu jaribu isemea inayoleta shida.
 
Mkuuunadhani ata nina personal problem na wewe?hata mimi nashangaa kwanini unanisepa,tatizo ni kuwa tupo katik public domain na issue yoyote inayoleta maswali huwa inajadiliwa kwa hoja.

Sitaki kujibu hili kwani hata kama ningekuwa sijui kiingereza ningetumia google ningepata tafsri,ila ningepungukiwa katika sentence na ulichopungukiwa hapa.

Soma hapa chini ulipotokea,halafu uniambie kama nilikuwa sahihi kufata tafsiri.

Jmushi1 aliweka kama hapo juu.Na wewe ukaquote kama hapa chini.

jmushi1 akakujibu kama hivi

Na wewe ukaquote hivi na jibu lako ndilo kama hili.

Hembu pitia hizo red Vizuri halafu uone wapi nimeona shida.Najua upo very delicate and sensitive mtu anapokata stim zako wakati unaona kuwa umeshapata flow.Usisahau mimi nina shija sana na uongo.

au kukusaidia check nilichoandika

Mukandara ujue hata kuchagua jina la kutumia hapa hata kama ni "ID" ya kujificha bado aina ya jina ulichagualo lina maana kubwa sana kuelezea ama nia yako au jinsi ulivyo.Pia ujue mti wenye matunda ndio upigwao mawe..So usinikimbie sana kwani unaweza kuwa mti wenye matunda mheshimiwa.usiogope kwa vile you are a very interesting and most controversial figure.
Hata sikuelewi mkuu wangu na haya ya ID sielewi kitu..Nilichoandika ni msisitizo nikisema SWALA ni (an expression) ukiondoa hilo hutaweza kuelewa kilichofuatia na sikuwa na maana nyingine unayofikiria wewe kwa sababu tunachozunguzia hapa ni kutokana na mada hii na sio nje ya mada..In fact Chadema wako vizuri sana 'Doing the right thing' kuliko wangekuwa wana 'do thing right' and not the right thing...
 
Karibu sana+pole kwa safari.Pitia tuu postings halafu jaribu isemea inayoleta shida.
Mimi sina shida na niloyaandika isipokuwa wewe una shida na Mkandara maana sijaona mahala popote unapo quote waraka na kuuzungumzia isipokuwa kudokoa vipande kwa kuweka red pasipo kusema hukuelewa nini..Nachokuomba mkuu wangu, pitia waraka wangu halafu nambie kinachokupa taabu kuelewa ama wewe una ujumbe gani na sii kuzungumzia Mkandara na CCM maana haihusu..
 
Wanabodi,

Siku ya Leo nilishikwa na maswala muhimu ya maisha hivyo sikupata muda wa kuwepo kijiweni lakini nimerusdi na nitakuwepo kwa muda kufuatilia hoja za wanabodi. Baada ya kupitia baadhi ya hoja za watu hapa napenda kusema hivi:-
Kwa yeyote ambaye anaona waraka wangu una walakini na pengine fikra tofauti namuomba aweke kifungu ambacho kinampa matatizo ama hakubaliani nacho halafu tukijadili mimi na yeye badala ya kuzungumzia Mkandara na kujaribu kuingia kichwani mwangu wakati huwezi na huna uwezo huo..

Ni ajabu leo Mkandara amekuwa ndio mada badala ya mtu kuzungumzia sehemu ambayo imempa shida kuielewa ama ameelewa hivi ili hata mimi nipate kutanabahi. Nadhani nimejaribu kwa kiasi kikubwa sana kujieleza mwenyewe lakini yaonyesha kwao Mkandara ndiye tatizo sijui kwa sababu haitaki kusema mapungufu ya chama japokuwa nimechukua mtazamo wa watu wengine na kuyapima. Kwao na sio swala la waraka huu bali Mknadara ambaye amekuja na agenda yake - sawa! hivyo sintaendelea na mjadala unanihusu mimi unless mtu huyo ka quote waraka wenyewe tutayajadili..

- Ahsanteni
Mkuu Mkandara, wa kukuelewa amekuelewa. Mwenye macho ambayo yanaona anaiona Chadema inside out!, kuna baadhi yetu humu wana macho ya kutazama tuu lakini hawaoni hawa wataonyeshwa na wataona. Ila kuna wengine wetu mapenzi wamezidisha mno kwa Chadema to the point thay they are too blind to see hizo hoja za Mkandara. Hawa too blind to see, hakuna jinsi ya kuwasaidia kwa sababu wako gizani ila hilo wingu la udini, ukabila na ukanda litakapo pita, mwanga utawamulikia and they will notice the diferences.

Humu jukwaani pia tuna watu wanamasikio, yanasikia na wamemsikia Mkandara na kumuelewa, ila pia kuna watu wanamasikio lakini hawazikii, hao ni viziwi na sio kosa lao, ni watu wa kuwahurumia tuu na sana sana kuwapatia hearing aid mwaka 2015. Lakini pia kuna watu wana masikio na yanasikia ila hawaelewi wanachokisikia humu, hao ndio hawa wanamshupalia mleta mada badala ya kuijadili mada, hawa 2015, akili zao zitazibuliwa tuu na watasikia na kuelewa!.

Faraja yangu kubwa ni ujumbe wako umewafikia walengwa hata kama hawatakujibu humu wata act accordingly and Chadema will never be the same again!

Kama watapuuzia, 2015 hakuna kujilaumu ni CCM tena chini ya yule kamanda wangu na amini nawaambieni mkiikosa hii golden chance ya 2015 na EL akatinga magogoni, nawahakikishia hadi Dr. wa ukweli atarejea nyumbani!.

Siku zote nabii huwa hathaminiwi nyumbani, Mkandara ni mmoja wa manabii mlio nao Chadema na bandiko lake hili ndani yake, kuna maneno ya unabii kuhusu 2015!.
Mwenye macho na atazame aone!
Mwenye masikio na asikilize asikie!.

Pasco!.
 
Mimi sina shida na niloyaandika isipokuwa wewe una shida na Mkandara maana sijaona mahala popote unapo quote waraka na kuuzungumzia isipokuwa kudokoa vipande kwa kuweka red pasipo kusema hukuelewa nini..Nachokuomba mkuu wangu, pitia waraka wangu halafu nambie kinachokupa taabu kuelewa ama wewe una ujumbe gani na sii kuzungumzia Mkandara na CCM maana haihusu..

of course huwezi kuwa na shida nayo kwani yanakulenga wewe?kwa mimi nina shida na wewe basi ila ulichoandika.Quote hipi unayoitaka hujaiona tangu tumeanza changia?Kumbuka discussion imekuwa iki evelve,huku tabia yako ikianzaonekana,na nilikuwa nakuwekea red chini ili uone jinsi ninavyo notice patterns fulani sio nzuri.Na nilikuwa nakuuliza kwanini umechagua kujibu kwa staili hizo.

Hakuna sehemu nimekuambia uclarify.Ningekuwa sijakuelewa ningefanya hivyo.tabia ya kuona watu hawaelewi au kuplay victim nimeihighlight mapema kabisa.Wel labda tuanzie hapa, ili useme red ipi inakuudhi nasi tuanze kutafutia katika postings zako.Pengine watu wataanza kufungua pazia taratibu.Tatizo ni onsession zako na CDM.Yaani ni mlalamikaji zaidi ya mshauri.

Mkandara choice ya maneno pia ina m-betray kwa sana mfano mmojawapo ni kutumia "WARAKA", id "Mkandara", "Issues anazo present","anavyo present issue",", "anavyo insist vitu kwa nguvu na hasira", "characters", "mwenyekiti", "katibu mkuu" etc.

Nikiamua komaa sana katika hao characters aliwaowataja, nikirudi katika thread za mchambuzi, nikicheki jinsi wanavyopeana support achilia mbali akina rits,pasco etc.Naweza decode mengi sana.Huyu jamaa hana tofauti sana na wasomi/wanasiasa wetu wengi sana wanapaza sauti halafu wanakwenda sikiliza mwangwi na kudhani kuwa watanzania ndio wanapiga hizo kelele.

Mkandara atapambana sana kwa nguvu zake zote na kwa kusactrifice kila kitu ili pate kitu fulani in a selfish and betrayal ila "hakuna kitakachompa furaha ya roho".akiwa mkweli ataona hilo kwani lazima atakuwa amefanya mengi.

Najua uchovu wa safari utakuwa umekuchosha,ila ukifuatia vizuri mfululizo wa michango naamini utaweza unganisha matukio na waraka tulisha udiscuss sana na majibu ulinipa na mengine tulikupa ila bado kulalama hakukuisha.
 
Hata sikuelewi mkuu wangu na haya ya ID sielewi kitu..Nilichoandika ni msisitizo nikisema SWALA ni (an expression) ukiondoa hilo hutaweza kuelewa kilichofuatia na sikuwa na maana nyingine unayofikiria wewe kwa sababu tunachozunguzia hapa ni kutokana na mada hii na sio nje ya mada..In fact Chadema wako vizuri sana 'Doing the right thing' kuliko wangekuwa wana 'do thing right' and not the right thing...
Wakati ukitetea vichekesho .wengine bado tunapata maswali,kama wewe ni mwanachama wa hai wa CDM,nini kimekushinda kupeleka ushauri kupitia njia sahihi?kwanini unahimiza sana kudai haya mambo wakati umeshapewa majibu mengi tuu kwamba hiyo issue imedhibitiwa na bado inaendelea tazamwa kwa umakini sana kwa kila nyanja ila bado "unalaumu watu sana" na hauna consistency katika nafasi unazochukua katika hoja humu ndani.Nakumbuka ktk encounter nyingine na wewe inayomhusu Zitto ulikuwa na machungu hivi hivi na kuna sehemu nilikuonyesha na kukuliza kwanini umeamua chukua nafasi ya Zitto kujibu?A good thing hata wafuatiliaji wa hii thread tuu wanaona.Nilivyokuwa nikichomekea viswali vya kuonyesha unapobadilika.

Angalia na hii
Hata sikuelewi mkuu wangu na haya ya ID sielewi kitu..Nilichoandika ni msisitizo nikisema SWALA ni (an expression) ukiondoa hilo hutaweza kuelewa kilichofuatia na sikuwa na maana nyingine unayofikiria wewe kwa sababu tunachozunguzia hapa ni kutokana na mada hii na sio nje ya mada..In fact Chadema wako vizuri sana 'Doing the right thing' kuliko wangekuwa wana 'do thing right' and not the right thing...

hembu rudia tena hapa
Mkuu wangu nimekuacha muda bado wanitafuta tuuu..haya kuna sehemu moja nimeisoma hii signature ya mtu ikisema hivi:- Tanzania lead economist Jacques Morisset said, The GDP doubled in 10 years, but it has failed to produce any significant decline in poverty levels.

Sijui kama unaweza kunipa tafsiri ya maneno haya ktk mtazamo huo hapo juu kama anavyoainisha Jmushi1 ya who did what and what was done by who.
Mkuuunadhani ata nina personal problem na wewe?hata mimi nashangaa kwanini unanisepa,tatizo ni kuwa tupo katik public domain na issue yoyote inayoleta maswali huwa inajadiliwa kwa hoja.

Sitaki kujibu hili kwani hata kama ningekuwa sijui kiingereza ningetumia google ningepata tafsri,ila ningepungukiwa katika sentence na ulichopungukiwa hapa.

Soma hapa chini ulipotokea,halafu uniambie kama nilikuwa sahihi kufata tafsiri.
quote_icon.png
By jmushi1

Kuna tofauti kubwa tu kati ya "Doing the things right" vs "Doing the right things",the latter has to do with leadership...
Jmushi1 aliweka kama hapo juu.Na wewe ukaquote kama hapa chini.

quote_icon.png
By jmushi1

Kuna tofauti kubwa tu kati ya "Doing the things right" vs "Doing the right things",the latter has to do with leadership...

Aaaah Jmushi1 mkuu wangu mbona unatoka nje sasa. Unajua fika kwamba sisi wote tunatakiwa kufanya the right thing na unapovifanya lazima uvifanye sawa. Unaweza kuamua kufanya kitu kizuri lakini ukakifanya vibaya na kisilete mafanikio. Mkulima akipanda mbegu vibaya sizipoota unafikiri wazo zima la kulima ni baya..

Nadhani alichokisema Mchambuzi kwamba Chadema maadam inataka kuingia IKULU ni lazima safari hii wahahakishe are doing thing right kwani hapa ndipo tunapopwaya..
jmushi1 akakujibu kama hivi
Re: Waraka wangu kwa viongozi wa CHADEMA
quote_icon.png
By jmushi1
Mkuu unaifahamu tofauti kati ya hizo statement mbili yaani "doing the right things" vs "Doing the things right"?Things right is more of a managerial focus where as right things is about leadership.
​
Kama unataka chadema wa lead,then they should do right things...
​
Na wewe ukaquote hivi na jibu lako ndilo kama hili.
Re: Waraka wangu kwa viongozi wa CHADEMA
quote_icon.png
By jmushi1
Mkuu unaifahamu tofauti kati ya hizo statement mbili yaani "doing the right things" vs "Doing the things right"?Things right is more of a managerial focus where as right things is about leadership.
​
Kama unataka chadema wa lead,then they should do right things...
​
nakubaliana nawe hata wanapojitangaza. Swala ni NIA njema na ufanye ipasavyo..
Hembu pitia hizo red Vizuri halafu uone wapi nimeona shida.Najua upo very delicate and sensitive mtu anapokata stim zako wakati unaona kuwa umeshapata flow.Usisahau mimi nina shija sana na uongo.

au kukusaidia check nilichoandika
jmushi umesoma vizuri?Check ktk red
Re: Waraka wangu kwa viongozi wa CHADEMA
quote_icon.png
By jmushi1
Mkuu unaifahamu tofauti kati ya hizo statement mbili yaani "doing the right things" vs "Doing the things right"?Things right is more of a managerial focus where as right things is about leadership.
​
Kama unataka chadema wa lead,then they should do right things...​

nakubaliana nawe hata wanapojitangaza. Swala ni NIA njema na ufanye ipasavyo..

Huyo ni mkandara bwana.You will never be in the same logical calibration.Yeye yupo katika mission
Mukandara ujue hata kuchagua jina la kutumia hapa hata kama ni "ID" ya kujificha bado aina ya jina ulichagualo lina maana kubwa sana kuelezea ama nia yako au jinsi ulivyo.Pia ujue mti wenye matunda ndio upigwao mawe..So usinikimbie sana kwani unaweza kuwa mti wenye matunda mheshimiwa.usiogope kwa vile you are a very interesting and most controversial figure.
Uispotee kuhusu ID na sikutaka uthibitishe background yake,ingawa una hofu hiyo.Nilikuambia wazo la kutumia "ID" fulani linahusiana sana "Nia yako" au "jinsi ulivyo" yaania jinsi unavyotaka personality yako iwe.Ingawa watu wengi wanatumia hidden ID.Sioni hapa nini una "tremble" ,trembling zinaibua suspsicion.Nini hujaelewaa.

Kuhusu tafsiri ya maneno "nakubalina nawe hata wanapojitangaza.Swala ni NIA njema na ufanye ipasavyo".Pia unafahamu. Na jmushi1 alieleza hayo maneno mawili ila wewe kwa vile unatabia king`ang`anizi ireationally ukakubaliana naye ila ukarudisha tena hiyo habari liyoanzisha sideway discussions.Hii ni tabia inayoonysha jinsi huheshimu makubaliano.

Pia
Kinachoudhi kwamba,watu wakijaribu kuambia kwa staili ya kukuonyesha kuwa umesikika na yanafanyiwa kazi unaanza lalama ..mara oh,mara hamsikilizi,mara sijui unazi..itakuja kula kwenu.Nadhani ni nafasi ya kuwaambia watu nia yako nini?Unataka uambiwaje ili ufuarahi kuwa umesikika with your wonderful advice?By the way si kitu kipya wala cha siri sana kiasi cha wewe kuifanya kuwa breaking news.Kila mtu anajua CDM wamebambikwa kuwa wana hivi vitu.(ukabila,udini,ukanda), na wewe umeeleza mara nyingi sana kwa staili ya kutoa eveidence.Tunaomba umwage ukweli wako wote hapa.Kama unaviamini vipo, na ufanye shauri kuwa hutaki CDM au huamini na useme solution zako hapa.Otheriwise spend sometimes ktk michango ya watu halafu ujue wapi umepoteza dira.Naamini una above average understanding.Acha kuplay victim.Kwa ujumla nakuhofia wewe kuliko wapiga kura.
 
Pengine mukandara na watu wako kibao na Ids zako nyingi..nadhani viongozi wa CDM watakuwa wamefuatilia huu mjadala na watakuwa wamesikia.Unaahidi nini kuhusu kuufunga huu mjadala na kama una njia mpya ya kupatia majibu haya mambo uiwakilishe makao makuu ya CDM?Kwani kwa kung`anga`nia hivi hata ukiambiwa umesikika tena hadharani na kwa sauti kubwa ni wazi huo si "ushauri" tena bali ni "kulalama".Hembu waakikishie wanachama wenzako kuwa kuanzia leo unathubu kwa jina la Mungu wako kuwa hutatoa ushauri kuhusu shutuma za mpinzani mbele ya wateja kwa kelele.Sema tukusikie kwa kiasi gani utawakaribisha walio karibu nawe kujiunga na chama chako kwa wingi kama mchango wako kwa vitendo na si kuwapokea kwa sifa za adui.

Nakuhurumia kama waliokupa kadi hawakukufunda vyema kuhusu ilani ya chama, na katiba yake,kwani mashaka haya usingekuwa nayo.Au pengine hukuona haja ya kuyajua hayo kwa vile unaamini sana ufahamu wako.Ila ukipoteza muda wa kujitafakari na kuona kuwa cdm ni chama bora na kisafi basi uamue kukaa katik chama,hivyo ndivyo hapa watu waambiao kuwa wenza wao wa ndoa ni wabovu.Km wao hawajauona huo ubovu basi hukabiliana na wazandiki,na ikiwa wamejisahua sana huwa wakweli na kusema ndoa siitaki bila kutafuna namna ya kuwadhalilisha wenza wao.samahani mimi si mwandisgi mzuri sana.Ila naamini utakuwa na amani kuwa umesikika hapa JF,na hata katik media nyingine au hata katika mikusanyiko ya watu wengine.Na pia unaweza wang`ata sikio wale walio karibu nawe hapa na kwingine kuwa hawa wasumbufu waliokuwa wakikusumbua hawana dili,kwani waliopaswa ni viongozi na wamesikia.Nao pia waache kuanzisha thread za kulazimisha kwa nguvu sana huku wakijipa uanachama wa CDM na vyeo vya "ushauri".
 
Mkuu Mkandara, wa kukuelewa amekuelewa. Mwenye macho ambayo yanaona anaiona Chadema inside out!, kuna baadhi yetu humu wana macho ya kutazama tuu lakini hawaoni hawa wataonyeshwa na wataona. Ila kuna wengine wetu mapenzi wamezidisha mno kwa Chadema to the point thay they are too blind to see hizo hoja za Mkandara. Hawa too blind to see, hakuna jinsi ya kuwasaidia kwa sababu wako gizani ila hilo wingu la udini, ukabila na ukanda litakapo pita, mwanga utawamulikia and they will notice the diferences.

Humu jukwaani pia tuna watu wanamasikio, yanasikia na wamemsikia Mkandara na kumuelewa, ila pia kuna watu wanamasikio lakini hawazikii, hao ni viziwi na sio kosa lao, ni watu wa kuwahurumia tuu na sana sana kuwapatia hearing aid mwaka 2015. Lakini pia kuna watu wana masikio na yanasikia ila hawaelewi wanachokisikia humu, hao ndio hawa wanamshupalia mleta mada badala ya kuijadili mada, hawa 2015, akili zao zitazibuliwa tuu na watasikia na kuelewa!.

Faraja yangu kubwa ni ujumbe wako umewafikia walengwa hata kama hawatakujibu humu wata act accordingly and Chadema will never be the same again!

Kama watapuuzia, 2015 hakuna kujilaumu ni CCM tena chini ya yule kamanda wangu na amini nawaambieni mkiikosa hii golden chance ya 2015 na EL akatinga magogoni, nawahakikishia hadi Dr. wa ukweli atarejea nyumbani!.

Siku zote nabii huwa hathaminiwi nyumbani, Mkandara ni mmoja wa manabii mlio nao Chadema na bandiko lake hili ndani yake, kuna maneno ya unabii kuhusu 2015!.
Mwenye macho na atazame aone!
Mwenye masikio na asikilize asikie!.

Pasco!.

Ujumbe umefika mkuu,ingawa umekamilisha kwa controversial msg.unapenda ushauri wausikie CDM ili washinde ,huku unaomba wapinzane wake washinde.By the way nasubiri kuona CCM watakavyotoka ktik deadlock hii ."Ama mgombea awe mzigo kwa chama,ama chama kiwe mzigo kwa mgombea ,ama wote wawili wawe mzigo". Ili nipate mfagilia sana aliyeweza fanya hiyo miracle.Napenda kuangalia big plans as long as zipo within lega frameworks.Ndio maana nimeweka hii thread.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ivi-anasubiri-vinguvu-vidogo-kama-samsom.html
 
Back
Top Bottom