Waraka wangu kwa viongozi wa CHADEMA

Waraka wangu kwa viongozi wa CHADEMA

9Nicholas;4611583]
Wakati ukitetea vichekesho .wengine bado tunapata maswali,kama wewe ni mwanachama wa hai wa CDM,nini kimekushinda kupeleka ushauri kupitia njia sahihi?kwanini unahimiza sana kudai haya mambo wakati umeshapewa majibu mengi tuu kwamba hiyo issue imedhibitiwa na bado inaendelea tazamwa kwa umakini sana kwa kila nyanja ila bado "unalaumu watu sana" na hauna consistency katika nafasi unazochukua katika hoja humu ndani.Nakumbuka ktk encounter nyingine na wewe inayomhusu Zitto ulikuwa na machungu hivi hivi na kuna sehemu nilikuonyesha na kukuliza kwanini umeamua chukua nafasi ya Zitto kujibu?A good thing hata wafuatiliaji wa hii thread tuu wanaona. Nilivyokuwa nikichomekea viswali vya kuonyesha unapobadilika.

Angalia na hii

hembu rudia tena hapa

Uispotee kuhusu ID na sikutaka uthibitishe background yake,ingawa una hofu hiyo.Nilikuambia wazo la kutumia "ID" fulani linahusiana sana "Nia yako" au "jinsi ulivyo" yaania jinsi unavyotaka personality yako iwe.Ingawa watu wengi wanatumia hidden ID.Sioni hapa nini una "tremble" ,trembling zinaibua suspsicion.Nini hujaelewaa.

Kuhusu tafsiri ya maneno "nakubalina nawe hata wanapojitangaza.Swala ni NIA njema na ufanye ipasavyo".Pia unafahamu. Na jmushi1 alieleza hayo maneno mawili ila wewe kwa vile unatabia king`ang`anizi ireationally ukakubaliana naye ila ukarudisha tena hiyo habari liyoanzisha sideway discussions.Hii ni tabia inayoonysha jinsi huheshimu makubaliano.

Pia
Kinachoudhi kwamba,watu wakijaribu kuambia kwa staili ya kukuonyesha kuwa umesikika na yanafanyiwa kazi unaanza lalama ..mara oh,mara hamsikilizi,mara sijui unazi..itakuja kula kwenu.Nadhani ni nafasi ya kuwaambia watu nia yako nini?Unataka uambiwaje ili ufuarahi kuwa umesikika with your wonderful advice?By the way si kitu kipya wala cha siri sana kiasi cha wewe kuifanya kuwa breaking news.Kila mtu anajua CDM wamebambikwa kuwa wana hivi vitu.(ukabila,udini,ukanda), na wewe umeeleza mara nyingi sana kwa staili ya kutoa eveidence.Tunaomba umwage ukweli wako wote hapa.Kama unaviamini vipo, na ufanye shauri kuwa hutaki CDM au huamini na useme solution zako hapa.Otheriwise spend sometimes ktk michango ya watu halafu ujue wapi umepoteza dira.Naamini una above average understanding.Acha kuplay victim.Kwa ujumla nakuhofia wewe kuliko wapiga kura..
 
Swali kwake ni kuwa je yeye kama CDM member anaamini hayo ni kweli yapo katika chama chake? Tuanze na yy aliyeko ndani kabla ya kutafuta solution ya walio nje maana charity begins at home!

Kama yy haamini ni vipi anataka matendo ya CDM yaende kimtindo wa tuhuma? Maana tuhuma ikithibitika ni kweli ndipo solution hutolewa kulingana na uthibitisho then in this logical ways of thinking tayari yy anakubaliana na hizo tuhuma ndiyo maana katoa solution inayofanana na hizo tuhuma yaani kathibitisha this is nolonger tuhuma bali ukweli wenyewe....Mkandara ajibu kama ni kweli au la ndipo tutaendelea mbele!
Waraka wangu sio mawazo yangu bali mawazo ya watu wanavyotuona sisi. Aidha niamini au siamini (japo mara 5 nimesema humu siamini) lkn haijalishi kwao ikiwa hatuna majibu au mimi sina majibu...Hakuna mahala ktk waraka wangu niliposema Mkandara nafikiri chama kina Udini, ukanda ama Ukabila isipokuwa tunavyoshutumiwa.. na nakuomba tena soma kipande hiki toka ktk waraka:-

Na kwa nini basi tumeshindwa kuwa na ngao ktk mashambulizi makali yanayoelekezwa kwetu?. Jibu nalipata kwa Mchambuzi tena akisema hivi:- Leo hii masuala ya Uongozi na siasa yametawaliwa sana na misingi ya UKANDA, UKABILA na UDINI. Mheshimiwa hili tupende tusipende ndivyo watanzania watawahukumu viongozi wetu kwa sababu ndivyo siasa za nchi hii zimejikita iwe kutokana na kupoteza dira ya Kitaifa, kuwepo kwa vyama vingi ama hisia na wajibu wa viongozi wenyewe kuwajibika ktk makundi ya watu wanaowawakilisha.

Sawasawa kabisa, wakati huu chama kinapojiimarisha vijijini na mijini na katika kanda zingine ili kuitenga ile dhana ya udini na ukanda inabidi itumie muda huu vilevile kufanya strategic leadership seminars kwa viongozi wake

CHADEMA either ichukue majengo au ikodishe iwe na chuo chake angalau kuwezesha viongozi wale from grassroots mpaka juu wawe na kauli moja inayofanana

Kuna wakati Lema anakurupuka na kauli za ajabu sana, au huyu Deus Mallya kada maarufu...( Hili ni group la watu ambao wanajua kuongea lakini hawana sifa ya kuchuja maneno kwenye jamii )

Kuna group la Mnyika na Zitto ( hawa wako vizuri lakini tungependa wawe wamoja, waonyeshe wana umoja ...nionavyo mimi Zitto hupenda sana kuji identify kitofauti na chama, Gwanda havai, peoples power hasemi na M4C huwezi mkuta, ila ana ushawishi mkubwa kwa vijana na mvuto, anapokuwa hajumuiki kwenye activities za CDM inatafsirika vibaya, naona hupenda sana kujiidentify na status quo akina Makamba hivi etc )

Kuna Lissu ( huyu anajua kupanga hoja na kuilinda na kuitetea, )

Kuna Dr Slaa ( huyu kwangu ameshuka mvuto...sijui kwanini ?! )

Wengine siwajui sana...
 
Sijui kwanini unadhani CDM wameshindwa?....sawasawa .mchambuzi kasema na wewe umesema.Okay..naamini umesikika.Km una plan nzuri iwakilishe kwa viongozi.Pia fanye juhudi ya kuwakaribisha na walio katika kambi yako.Waambie the storm is over.Hivi izi nguvu unazopoteza kusisitiza sijui nini na nini kifanyiwe kazi kwanini usipoteze kuwaambia hawa supporters wako humu ndani kuwa si kweli?That would be a more positive move than going round and round.Unafanya hii discussion iwe too much of cyclic reasoning.

Sishangai kuona wana CDM walifumbika macho wasivyo jua tayari kuna waislam wa kutosha wamejitolea kwa hali na mali, wametoa hadi uhai katika harakati za ukombozi.Huu si ushahidi tosha wa kuwakata kilimilimi wachochezi?Uwepo wa Sabodo ambayae hakuna asiyejua mchango wake,na si mtu wa kuhongeka kwa pesa mbuzi.Prof Safari naye ni mtu wa staha na weledi ni ushahiidi tosha kuwa watu wamepima kwa vigezo na kuamua.Walioouwawa ktk mazingira ya maandamano waislam ni wengi zaidi.Mkandala/mchambuzi utakuwa huwatendei haki watanzania, wala Mwenyezi Mungu wako ktk hili?

By the way kuna watu hawatakaa wawe wa CDM kama ilivyo wasivyo wa CCM.Serikali ya CCM kwa miaka zaidi ya 50 bado haijaweza washawishi watu kuikubali kwa mengi.Mpaka leo tasisi kibao hazikubaliki katika makundi ya watu.Km CDM inapinga kila kitu kiovu kwa vitenda basi wazandiki hawawezi fit in.
 
Sawasawa kabisa, wakati huu chama kinapojiimarisha vijijini na mijini na katika kanda zingine ili kuitenga ile dhana ya udini na ukanda inabidi itumie muda huu vilevile kufanya strategic leadership seminars kwa viongozi wake

CHADEMA either ichukue majengo au ikodishe iwe na chuo chake angalau kuwezesha viongozi wale from grassroots mpaka juu wawe na kauli moja inayofanana

Kuna wakati Lema anakurupuka na kauli za ajabu sana, au huyu Deus Mallya kada maarufu...( Hili ni group la watu ambao wanajua kuongea lakini hawana sifa ya kuchuja maneno kwenye jamii )

Kuna group la Mnyika na Zitto ( hawa wako vizuri lakini tungependa wawe wamoja, waonyeshe wana umoja ...nionavyo mimi Zitto hupenda sana kuji identify kitofauti na chama, Gwanda havai, peoples power hasemi na M4C huwezi mkuta, ila ana ushawishi mkubwa kwa vijana na mvuto, anapokuwa hajumuiki kwenye activities za CDM inatafsirika vibaya, naona hupenda sana kujiidentify na status quo akina Makamba hivi etc )

Kuna Lissu ( huyu anajua kupanga hoja na kuilinda na kuitetea, )

Kuna Dr Slaa ( huyu kwangu ameshuka mvuto...sijui kwanini ?! )

Wengine siwajui sana...
Here you go again:
Hawa akina Lema na Deus huwezi wapenda kama bado una nortion ya kijinga kuwa hawana elimu,halafu wanakufunika sana katik kauli zao,ila bahati nzuri hawa watakujibu kwa vitendo.Sidhani kama wanaweza kuwa hawajui chuja maneno zaidi ya Zitto.Zitto alichomwambia mzee Mtei ni ukosefu wa "busara sana kama si adabu", hakujua kuwa yule mzee alikuwa na haki ya kusema kama raia na hata active role katika safu ya uongozi iliyopo.Zitto hakujua kuwa kila mtu aliona kuwa alikuwa na nia madhubuti ya kuharm chama kuliko vyoyote vile.Zitto kauli zake kuhusu "mambo ya umasho zenj" yanatia aibu yanamdhoofisha sana.By the way Lema anaingiza wanachama wengi CDM by now kuliko kipindi chote zito alichowahi kuwepo.

Inasikitisha sana kuwa umejaribu mweka" Mnyika na Zitto" karibu ili litimie lile neno lililosemwa kuwa "kuna mpango wa kumtafuta ili anyamazishwe kwa rushwa" kupitia Zitto.Hilo kundi la akina Makamba lina mengi ya kuthibitisha kuwa CDM ni makini.Ni kundi linaloweza chambuliwa na kuonyesha tafsiri kuwa Zitto si kundi la wana CDM.Linaonyesha jinsi gani kaamua kujipendekeza nao kupitia "common patterns".Huwezi mfuasi wa dini halafu usifuate misingi yake,bora kusema tuu si muumini sasa nini kitakuunganisha na chama?Zitto atakuwa disperate looser.Yote hayo yanajadiliwa na yeye akiwa kama kiongozi,kshindwa ongelea katik chama ya nini kususia.Unless unathibitisha kuwa hashiriki na wenzie.Ushawishi ndio nini?Ushawishi ni "seduction" sio "attraction".Zitto anazidi kuwa maarufu ila wala si kuzidi kupendwa.na umaarufu unaweza kuwa "famous" au "infamous".tacheza sana hapa.

Tundu Lissu ni zaidi ya ulichoandika, ni mtu nayeaminika na kupendwa sana na wananchi hata wa CCM wenyewe.Dr. Slaa huwezi mpenda.Kwani katika kaushauri( kulalama) "Katibu Mkuu na mwenyekiti wametajwa ili wasikie hicho kilio".Nashukuru kwa vile unaanza thibitisha highlight yangu hapo juu.
 
9Nicholas;4611583]
Wakati ukitetea vichekesho .wengine bado tunapata maswali,kama wewe ni mwanachama wa hai wa CDM,nini kimekushinda kupeleka ushauri kupitia njia sahihi?kwanini unahimiza sana kudai haya mambo wakati umeshapewa majibu mengi tuu kwamba hiyo issue imedhibitiwa na bado inaendelea tazamwa kwa umakini sana kwa kila nyanja ila bado "unalaumu watu sana" na hauna consistency katika nafasi unazochukua katika hoja humu ndani.Nakumbuka ktk encounter nyingine na wewe inayomhusu Zitto ulikuwa na machungu hivi hivi na kuna sehemu nilikuonyesha na kukuliza kwanini umeamua chukua nafasi ya Zitto kujibu?A good thing hata wafuatiliaji wa hii thread tuu wanaona. Nilivyokuwa nikichomekea viswali vya kuonyesha unapobadilika.

Angalia na hii

hembu rudia tena hapa

Uispotee kuhusu ID na sikutaka uthibitishe background yake,ingawa una hofu hiyo.Nilikuambia wazo la kutumia "ID" fulani linahusiana sana "Nia yako" au "jinsi ulivyo" yaania jinsi unavyotaka personality yako iwe.Ingawa watu wengi wanatumia hidden ID.Sioni hapa nini una "tremble" ,trembling zinaibua suspsicion.Nini hujaelewaa.

Kuhusu tafsiri ya maneno "nakubalina nawe hata wanapojitangaza.Swala ni NIA njema na ufanye ipasavyo".Pia unafahamu. Na jmushi1 alieleza hayo maneno mawili ila wewe kwa vile unatabia king`ang`anizi ireationally ukakubaliana naye ila ukarudisha tena hiyo habari liyoanzisha sideway discussions.Hii ni tabia inayoonysha jinsi huheshimu makubaliano.

Pia
Kinachoudhi kwamba,watu wakijaribu kuambia kwa staili ya kukuonyesha kuwa umesikika na yanafanyiwa kazi unaanza lalama ..mara oh,mara hamsikilizi,mara sijui unazi..itakuja kula kwenu.Nadhani ni nafasi ya kuwaambia watu nia yako nini?Unataka uambiwaje ili ufuarahi kuwa umesikika with your wonderful advice?By the way si kitu kipya wala cha siri sana kiasi cha wewe kuifanya kuwa breaking news.Kila mtu anajua CDM wamebambikwa kuwa wana hivi vitu.(ukabila,udini,ukanda), na wewe umeeleza mara nyingi sana kwa staili ya kutoa eveidence.Tunaomba umwage ukweli wako wote hapa.Kama unaviamini vipo, na ufanye shauri kuwa hutaki CDM au huamini na useme solution zako hapa.Otheriwise spend sometimes ktk michango ya watu halafu ujue wapi umepoteza dira.Naamini una above average understanding.Acha kuplay victim.Kwa ujumla nakuhofia wewe kuliko wapiga kura..
Naona unataka suggest nimeelekeza personal attacks ingawa umequote vibaya.Ila inaelekea ni mtaalamu wa kukimbia na kukosa consistency.Discussion ili evolve.Ilianzia kuchambua hoja zako.Michango yako ikaanza sogea kuwa your wishes na very controversial muda ulivyokuwa ukienda.Nikaanza highlight wapi unaelekea na kwa kushirikiana kabisa tukaelekea wote.Na kwa vile ni king`ang`anizi ukaanza jidefend kuwa ninakufuata,nikaueleza ninachofuata ni ulichoandika.Nikaweka observations zangu na kwanini waraka wako hauwezi tena tenganishwa na Malengo yako humu ndani+na hii inapelekea watu kuona jinsi gania hata tabia yako nje ya hii forum kuwa wazi sana.Ushahidi wa postings zako unaonyesha wazi kuwa huu waraka wala si ushauri ni kazi yako maalumu humu ndani.Hapo ndipo palipopelekea mimi kuwa huru kutumia nafsi yako zaidi.hakuna sabau ya kuendelea kutumia kitu kuwakilisha mtu.Itakuwa ni ushirikina kama ningetumia katika sehemu za Ibada.

Sasa kwanini watu wapoteze muda na wewe kujadili kitu ambacho,baada ya kupeana mawazo haya baadaye unajaribu tena yarudisha kama vile makubaliano hayakufikiwa?

Time ilivyokwenda ndivyo unazidi kujiunganisha zaidi na huo uvumi kuliko kingine.sasa hivi uvumi na wewe ni kitu kimoja na ndio maana kila anayesoma hii thread kuona jinsi imeshift kutoka mada hadi kukuelekea wewe.Na nimeweka vitu vilivyokusaliti na umevikimbia vyote.
 
Here you go again:
Hawa akina Lema na Deus huwezi wapenda kama bado una nortion ya kijinga kuwa hawana elimu,halafu wanakufunika sana katik kauli zao,ila bahati nzuri hawa watakujibu kwa vitendo.Sidhani kama wanaweza kuwa hawajui chuja maneno zaidi ya Zitto.Zitto alichomwambia mzee Mtei ni ukosefu wa "busara sana kama si adabu", hakujua kuwa yule mzee alikuwa na haki ya kusema kama raia na hata active role katika safu ya uongozi iliyopo.Zitto hakujua kuwa kila mtu aliona kuwa alikuwa na nia madhubuti ya kuharm chama kuliko vyoyote vile.Zitto kauli zake kuhusu "mambo ya umasho zenj" yanatia aibu yanamdhoofisha sana.By the way Lema anaingiza wanachama wengi CDM by now kuliko kipindi chote zito alichowahi kuwepo.

Inasikitisha sana kuwa umejaribu mweka" Mnyika na Zitto" karibu ili litimie lile neno lililosemwa kuwa "kuna mpango wa kumtafuta ili anyamazishwe kwa rushwa" kupitia Zitto.Hilo kundi la akina Makamba lina mengi ya kuthibitisha kuwa CDM ni makini.Ni kundi linaloweza chambuliwa na kuonyesha tafsiri kuwa Zitto si kundi la wana CDM.Linaonyesha jinsi gani kaamua kujipendekeza nao kupitia "common patterns".Huwezi mfuasi wa dini halafu usifuate misingi yake,bora kusema tuu si muumini sasa nini kitakuunganisha na chama?Zitto atakuwa disperate looser.Yote hayo yanajadiliwa na yeye akiwa kama kiongozi,kshindwa ongelea katik chama ya nini kususia.Unless unathibitisha kuwa hashiriki na wenzie.Ushawishi ndio nini?Ushawishi ni "seduction" sio "attraction".Zitto anazidi kuwa maarufu ila wala si kuzidi kupendwa.na umaarufu unaweza kuwa "famous" au "infamous".tacheza sana hapa.

Tundu Lissu ni zaidi ya ulichoandika, ni mtu nayeaminika na kupendwa sana na wananchi hata wa CCM wenyewe.Dr. Slaa huwezi mpenda.Kwani katika kaushauri( kulalama) "Katibu Mkuu na mwenyekiti wametajwa ili wasikie hicho kilio".Nashukuru kwa vile unaanza thibitisha highlight yangu hapo juu.

Unajua hii tabia ya Watanzania wengi na haswa wale wanaojifanya wahafidhina wa siasa za mrengo mmoja,ndio mzee..nk ndio zilizotufikisha hapa tulipo. Mtu aikshakuwa kada wa chama anakuwa kama kukua kwake,kula kwake,elimu,fikra na yoye yanayozunguka maisha yake ni chama. Watu wa ina hii ndio hawa ambao hawataki kusikia viongozi fulani wakikosolewa kwenye chama,eti kwa sababu tu we ni kada! Ni jambo la kushangaza na kusikitisha sana kuona mtu mzima mwenye uwezo wa kufikiri anapotaka kuishi chini ya kivuli cha mtu mwingine aliyezaliwa kama yeye. Ukimuuliza mtu kama huyu mchango wake kwenye chama au nchi yake ni nini hana zaidi ya kusema "mi ni kijana",utadhani ukiwa kijana leo utaendelea kuwa kijana milele.

Ni demokrasia gani mnayoipigania isiyo na mipaka hata kufikia hatua ya kumchagulia mtu marafiki. Na isitoshe,ni viongozi au wanachama wangapi unaowajua wewe walioko Chadema wenye urafiki na watu ambao ambao sio wana-Chadema. Mbowe hana marafiki nje ya Chadema,.Slaa hana marafiki nje ya Chadema,..hii ndio itikadi yako? Kabla ya Chadema kuwepo watu walikuwa wanaishije,au wewe maisha yako yanaanzia tu pale ulipoijua Chadema. Acheni huu unafiki uliotufikisha hapa,hata hawa wazee tunaowalaumu leo hii,walianza na fikra kama hizi,za kuamini Mwenyekiti,sijui Katibu... hawakosolewi!
 
Wote wanayoitakia mema CHADEMA ni wapenda haki na wanaoitakia mema nchi hii,ukitaka madaraka na unafiki nenda CCM.
 
Daima hakuna anayeingia kwenye vita kwa malengo ya kushinda au kushindana. Kila mmoja huingia vitani kwa lengo la kushinda!.. Waambie CCM nao waje hapa waseme kuwa 2015 watashinda... Haitadhuru kitu; time will tel
Mkuu Deus Mallya, (off topic-hii ndio mara yangu ya kwanza kukujibu kitu humu, simply because, jina lako linakumbukumbu mbaya kwangu kufuatia kufanana na yule Dues Malya wa Wangwe).

Nikweli kabisa mtu anaingia vitani kwa malengo ya kushinda!, sasa ili uweze kushinda vita kihakika, kwanza lazima umjue adui yako halisi ni nani na ana nguvu gani, anatumia silaha gani na anategemea silaha gani?.

Vita ni vita vya ukombozi wa pili wa taifa la Tanzania inayoshikiliwa na CCM. Majeshi ya ukombozi yanaongozwa na Chadema!. Target ni watu, the people, the power!. CCM imekuwa ikishinda siku zote kwa sababu iliwekeza kwenye watu!, ili chadema ishinde 2015, nayo ni lazima iwekeze kwenye watu na sasa ndio hii M4C is all about!.

Sasa ili kushinda vita, lazima utumie the right strategies na kustrike at the right time. Kwenye hizo right strategies za Chadema ndipo hapo hoja za Mkuu Mkandara zilipolalia, amesema "Chadema is doing the right thing" ila doing the right thing alone, doesn't guarantee victory, apart from doing the right thing, one gotta do the things right!. Sasa kwenye hili la Ukanda, Udini na Ukabila, in reality limeelekezwa sana Chadema kufikia point ya ku onekana lina exist in reality!. Hata uwongo ukisemwa sana, mwishowe huonekana kuwa ni ukweli!, naomba wale wanaojua mambo ya "mind over matter kwenye nguvu za PSI-Powers", kuna kitu kinaitwa "highest state of mind suggestibility" ambapo macho ya kawaida yanaona physical things in reality kumbe ni just "make belive"!, hivyo hata kama kama huo Ukanda, Ukabila na Udini wa Chadema doesn't exist in reality, "the make belive" is "visibly seen" na watu ambao mind zao zimeshakuwa fed kupitia hiyo "mind suggestbility" na hivyo ndivyo wanavyoichukulia Chedema!.

Anachosema Mkandara, Chadema kisijikite kwenye "denial" bali kifanye "affimative actions" against tuhuma hizi, kwa kwa maone yake, all what Chadema is doing now, it is doing the right thing, but yet to do "things right" na akatoa angalizo, "If Chadema will just keep on doing the right thing alone, without doing "the things right", 2015 victory is still far ahead!.

Wenye busara wote, kabla hawajaingia vitani, hujipima na kujihakikishia ushindi hivyo huingia vitani with high hopes za "always hope the best, but they keep prepared for the worst"!, wapumbavu ndio huingia vitani kichwa kichwa kwa kiherehere cha kumshinda adui ambaye hamjui nguvu yake huku akijiaminisha kushinda, only to be wiped away!.

Kuna maangalizo kibao chadema mnapewa, ila huu umaarufu wa muda, unawavimbisha sana vichwa!, Mkandara anawaambia mnaleta ubishi!, lets hope huu ubishi wenu ni kwa wana jf tuu lakini viongozi wenu watasikia, vinginevyo 2015, hiyo ikulu anamtaishia kuisikia tuu kwenye bomba!.

Pasco!.
 
Huyu Mkandara hana hoja yoyote, mamneno mengi lakini hayana mashiko. Ni kuhemuka na kuweweseka tu. tunasonga mbele na ukombozi wa nchi.
 
Unajua hii tabia ya Watanzania wengi na haswa wale wanaojifanya wahafidhina wa siasa za mrengo mmoja,ndio mzee..nk ndio zilizotufikisha hapa tulipo. Mtu aikshakuwa kada wa chama anakuwa kama kukua kwake,kula kwake,elimu,fikra na yoye yanayozunguka maisha yake ni chama. Watu wa ina hii ndio hawa ambao hawataki kusikia viongozi fulani wakikosolewa kwenye chama,eti kwa sababu tu we ni kada! Ni jambo la kushangaza na kusikitisha sana kuona mtu mzima mwenye uwezo wa kufikiri anapotaka kuishi chini ya kivuli cha mtu mwingine aliyezaliwa kama yeye. Ukimuuliza mtu kama huyu mchango wake kwenye chama au nchi yake ni nini hana zaidi ya kusema "mi ni kijana",utadhani ukiwa kijana leo utaendelea kuwa kijana milele.

Ni demokrasia gani mnayoipigania isiyo na mipaka hata kufikia hatua ya kumchagulia mtu marafiki. Na isitoshe,ni viongozi au wanachama wangapi unaowajua wewe walioko Chadema wenye urafiki na watu ambao ambao sio wana-Chadema. Mbowe hana marafiki nje ya Chadema,.Slaa hana marafiki nje ya Chadema,..hii ndio itikadi yako? Kabla ya Chadema kuwepo watu walikuwa wanaishije,au wewe maisha yako yanaanzia tu pale ulipoijua Chadema. Acheni huu unafiki uliotufikisha hapa,hata hawa wazee tunaowalaumu leo hii,walianza na fikra kama hizi,za kuamini Mwenyekiti,sijui Katibu... hawakosolewi!

Majina (ids) yenu yana wa betray sana. Sasa haki ipi unataka kwa Zitto Mzee mtei hastahili?Zitto naye ni kiongozi namkosoa hapa,kwa nini yeye hataki kama alidhani anastahili kosoa wengine?Huku ni kukosa universal values,na hivyo kuwafanya fikra zenu ziwe mbali sana na wale walio wa haki.

Pia Zitto alichofanya ni slander kwa yule mzee.Kwani sihdhani kama hajui kuwa yule mzee ,tena mzee wake wa chama alikuwa na haki kama mwanachama yoyote kutoa opinion bila kusema kuwa ni msimamo wa chama. Pia ZItto alikuwa na nafasi ya kuongea naye ana kwa ana na kupata ufafanuzi zaidi.
 
[Nicholas;4612651]Sijui kwanini unadhani CDM wameshindwa?....sawasawa .mchambuzi kasema na wewe umesema.Okay..naamini umesikika.Km una plan nzuri iwakilishe kwa viongozi.Pia fanye juhudi ya kuwakaribisha na walio katika kambi yako.Waambie the storm is over.Hivi izi nguvu unazopoteza kusisitiza sijui nini na nini kifanyiwe kazi kwanini usipoteze kuwaambia hawa supporters wako humu ndani kuwa si kweli?That would be a more positive move than going round and round.Unafanya hii discussion iwe too much of cyclic reasoning.

Sishangai kuona wana CDM walifumbika macho wasivyo jua tayari kuna waislam wa kutosha wamejitolea kwa hali na mali, wametoa hadi uhai katika harakati za ukombozi.Huu si ushahidi tosha wa kuwakata kilimilimi wachochezi?Uwepo wa Sabodo ambayae hakuna asiyejua mchango wake,na si mtu wa kuhongeka kwa pesa mbuzi.Prof Safari naye ni mtu wa staha na weledi ni ushahiidi tosha kuwa watu wamepima kwa vigezo na kuamua.Walioouwawa ktk mazingira ya maandamano waislam ni wengi zaidi.Mkandala/mchambuzi utakuwa huwatendei haki watanzania, wala Mwenyezi Mungu wako ktk hili?

By the way kuna watu hawatakaa wawe wa CDM kama ilivyo wasivyo wa CCM.Serikali ya CCM kwa miaka zaidi ya 50 bado haijaweza washawishi watu kuikubali kwa mengi.Mpaka leo tasisi kibao hazikubaliki katika makundi ya watu.Km CDM inapinga kila kitu kiovu kwa vitenda basi wazandiki hawawezi fit in
 
Nicholas;4613191]Majina (ids) yenu yana wa betray sana. Sasa haki ipi unataka kwa Zitto Mzee mtei hastahili?Zitto naye ni kiongozi namkosoa hapa,kwa nini yeye hataki kama alidhani anastahili kosoa wengine?Huku ni kukosa universal values,na hivyo kuwafanya fikra zenu ziwe mbali sana na wale walio wa haki.

Pia Zitto alichofanya ni slander kwa yule mzee.Kwani sihdhani kama hajui kuwa yule mzee ,tena mzee wake wa chama alikuwa na haki kama mwanachama yoyote kutoa opinion bila kusema kuwa ni msimamo wa chama. Pia ZItto alikuwa na nafasi ya kuongea naye ana kwa ana na kupata ufafanuzi zaidi
 
Naona unataka suggest nimeelekeza personal attacks ingawa umequote vibaya.Ila inaelekea ni mtaalamu wa kukimbia na kukosa consistency.Discussion ili evolve.Ilianzia kuchambua hoja zako.Michango yako ikaanza sogea kuwa your wishes na very controversial muda ulivyokuwa ukienda.Nikaanza highlight wapi unaelekea na kwa kushirikiana kabisa tukaelekea wote.Na kwa vile ni king`ang`anizi ukaanza jidefend kuwa ninakufuata,nikaueleza ninachofuata ni ulichoandika.Nikaweka observations zangu na kwanini waraka wako hauwezi tena tenganishwa na Malengo yako humu ndani+na hii inapelekea watu kuona jinsi gania hata tabia yako nje ya hii forum kuwa wazi sana.Ushahidi wa postings zako unaonyesha wazi kuwa huu waraka wala si ushauri ni kazi yako maalumu humu ndani.Hapo ndipo palipopelekea mimi kuwa huru kutumia nafsi yako zaidi.hakuna sabau ya kuendelea kutumia kitu kuwakilisha mtu.Itakuwa ni ushirikina kama ningetumia katika sehemu za Ibada.

Sasa kwanini watu wapoteze muda na wewe kujadili kitu ambacho,baada ya kupeana mawazo haya baadaye unajaribu tena yarudisha kama vile makubaliano hayakufikiwa?

Time ilivyokwenda ndivyo unazidi kujiunganisha zaidi na huo uvumi kuliko kingine.sasa hivi uvumi na wewe ni kitu kimoja na ndio maana kila anayesoma hii thread kuona jinsi imeshift kutoka mada hadi kukuelekea wewe.Na nimeweka vitu vilivyokusaliti na umevikimbia vyote.
Jaribu hata mara moja ku quote waraka usipokubaliana..
 
Mukandara na watu wengine ni victims wa taaluma za bongo.Wanchanganya sana material kiasi cha kuwafanya nao kuwa victims kwa mara nyingine.Tuhuma za maadui zao wanaona kuwa wakizirudia sana zinatageuka kuwa kweli, kwangu mimi sioni kuwa zitakuwa kweli bali wapo watakaozipenda na kuziishi,na wapo watakaojikuta kuziamini.Mukandara ndio muumini wa kwanza na nachikifanya ni kuuminisha wengine.Hana tofauti na wale mbeha waliofungwa pamoja na kupigwa moto na Samson na kuachia katika shamba la ngano.Dhoruba iliyotokea ilikuwa kubwa.Na nia ya samsom kufunga mbeha zaidi ya mmoja ilikuwa makini sana,wakiwa wanyama zaidi ya mmoja katika hatari hawatakwenda njia moja,kila mmoja atapenda kimbia upande wake na baada yakushindwa wataenda mbele katika kwa mwendo wa Zigzag na wata -induce maximum damage.Kwa njia ya mkandala mambi ni kama hivyo,But what if kama Konde limegawanywa kwa mito yenye vina virefu na maji mengi?Mbweha watauana wenyewe katika maji na atakayepona basi atakuwa hana moto kwani maji yatakuwa yamemzima wakati wa purukushani katik maji.

Mukandara angependa sana watu waone kuwa chadema "wanafanya yapasayo ila si kama ipasavyo", hapa ni wazi huyu jamaa anataka ajipe role,ajipe role anayoamini kuwa viongozi wa kitaifa hawana uwezo wa kufanya kama ipasavyo,yale yaote yapayo kufanya.Hii tuu kwa undani wake inamsaliti mkandara kwani kati ya characters wake anaopenda wataja yupo anayependa kuongea vitu vinavyoendana na hivi kama si kuwa kama hivi.Mukandara km hakutaka fahamu vitu bora hufanywa katik simple ways.Simple way haina degree ya perfetions kwani mara nyingi ni perfet.Hakuna njia bora ya "kufanya yapasayo ipasavyo" katika kubonyeza kidude cha kuwasha TV.Ukitaka leta mengine ni sifa tuu na kuongeza upuuzi.Huwezi perfect obvious.

Mkandara anachokisema kwa kiasi fulani yupo nje ya mitazamo ya CDM,na yupo zaidi kwa CCM. CDM kushinda na kuchukua dola ni mchakato unaokamilika katika kura na baadaye matokeo kusema.Kuchukua dola kuna maanisha kuwa na viti vingi katik ubunge,madiwani na viongozi wa ngazi za chini.CCM wanaamini wanaamini katika matokeo ndio maana hawana mpango wowote wa maana unaoonekan zaidi ya kuwekeza katika kubomoa wengine.Ila hawajui kuwa wasipobomoka na wakiamua kushambulia CCM hawatanusurika.matokeo hupatikana katika njia nyingi,ila CDM wapo "aggressive" na wana power ya structure yao,na wapo very effective.Ndio maana wakisema nchi haitotawalika na haijatawalika.Itakuweje 2015 wakitawala Bunge?Mkandara hajaone kuwa m4c inachokifanya ni kuvuta watu kadiri inavyowezekana kiasi cha kuwafanya hao wasikiao uzushi wajikute wakijiuliza mbona mimi ndiye niliyebaki?watu huamini kwa kurudiwa rudiwa kwa habari ndio.Ila pia hata waumini wa dini wapo ambao huanzia fikra pale waonapo muumini wa dini nyingine akiwa na tabia ambazo si kama aambiwavyo.Ndipo safari ya kiimani huanzie pale,hujifunza kapata wapi hizo tabia njema,ndipo hukutana na mengi ya kumvutia na kumfunulia.CDM wanahitaji kuwa salama zaidi hata kama kuna watanzani ambao watabaki wapagani wa siasa za kweli.Kwani hakuna hata dini ,achilia mbalia chama kilihcoweza pata watu wote kwa muda wote hata pale nguvu yao ipo.Wapo watu Saudi Arabis is waislam wa rohoni wala kimatendo, wapo watu italy si wakatoliki,wapo watu china si wabudha,na wapo india si wahindu.

Mkandala pia ajue kuwa hata teja wa unga naye huonja tuu na kupotea, pamoja na habari zote mbaya alizoambiwa kuhusu unga na kuziamini sana ila haoni haja ya kuzifuata.Mkandara pia ajue kuwa wachaguao kumfuata shetani si kwamba wote hawajui,ila wanachagua.Katik yao kuna wasiopenda kujisema na kufanya mambo yao sirini hawa tunajikuta tukiwaita "wachawi",halafu kuna wale wafanyao hadharani huwa tunawaita "waganga wa jadi".Ni bora watu wengine humu wakajipambanua kama waganga ili wawe huru na wachawi wabaki wachawi ili wakumbane na mambo kama yale ya shinyanga ya kuchomana.
 
Sawa Mchungaji una akili sana wewe dah..niombee na mimi basi nibarikiwe!
 
Jaribu hata mara moja ku quote waraka usipokubaliana..

Mukandara usidhani kwamba nimekimbia responsibility kuwa sasa hivi nakusema wewe.Sasa hivi nipo na wewe na sababu ni kwamba jinsi majadiliano yalivyokuwa yakienda na behaviour zako.ushauri wako ulihama na kwenda katika manung`uniko, manung`uniko yaliyokuwa yakikuhamisha toka kuwa mshauri, hadi kuwa mtendewa .Na hizi highlight zako zinathibitisha kuwa sasa unataka "blackmail watu kuwa wewe ni victim" hizi ni patterns zako.Nadhani utakumbuka nilipokuahidi kuwa nitadecode msg zako muda si mrefu katika Mada iliyomhusu mh. Zitto.Kwa hiyo usidhani kuwa ku play "victime kutakuondoa katika hook" I am a hardcore radical of my own huwa siamini sana "kwa mkosefu kujificha u-yatima, kuonewa".Instead unanishawishi ni press very hard.

Nadhani hapo ndipo unaposhindwa nielewa.Soon watu wengine wataelewa kabla yako.Katika hii nimekuwa niki highlight, jinsi ulivyokuwa ukianza kwa kujiweka katika shemu ya wazalendo wa CDM, baadaye ukawa unawakoromea watu humu ndani, baadaye, ukawajariu watongoza kukubali ushauri wako kadiri michango invyokuendea...Sasa un aplay victim.Kuna sehemu nyingi sana nimekulaumu..kuwa distractions ni primitive tricks ambazo hata wanyama/ndege wanazitumia na siamini binadamu mwenye vichwa corrupts kama anweza zifanya kwa ufanisi kama hao viumbe wengine.So wala usipotezee soma michango yangu huku ukijua na wengine wanasoma.halagu uje tuelezane wapi unapinga na wapi unadhani tunaweza kutenganisha na ulichoandika?Nami nitadedicate my time kwenda sambamba na hii thread.Kwani katika vitu nivichukiavyo sana katik hii "plot vipo".Pole sana kama umebeba "unga" usipende kupita palipo "canine" kwa mazingira yetu DOG.

Ushauri.NI wewe uamue jitenga na uovu watu wauondoe uovu na kukuacha au uwe sehemu ya uovu na watu wakutoe na kukutupa kwa pamoja.
 
Sawasawa kabisa, wakati huu chama kinapojiimarisha vijijini na mijini na katika kanda zingine ili kuitenga ile dhana ya udini na ukanda inabidi itumie muda huu vilevile kufanya strategic leadership seminars kwa viongozi wake

CHADEMA either ichukue majengo au ikodishe iwe na chuo chake angalau kuwezesha viongozi wale from grassroots mpaka juu wawe na kauli moja inayofanana

Hili kwakweli nakuunga mkono na nimeshaongea na viongozi ndani ya CDM mara kadhaa imepita miaka miwili sasa sijui wanalowaza nini..Lakini wanaingia kwenye mtego mmoja wakupelekeshwa mno na contemporary issues zinazoletwa kwa makusudi na CCM pamoja na serikali yake ili kuwapunguza speed.

Ninawaomba tena viongozi kulitazama hili jambo and Mnyika knows my stand on this wajaribu kuweka mazingira ya watu wanaotaka kujitolea katika hiyo specific area waweze kuwasaidia kwani sometimes wengi wangependa kushiriki ila mazingira na u-busy wa viongozi unakuwa dis-incentive kwao.

Inawezekana pia viongozi wanafanya vetting kwa hao wahusika its very good and important lakini hapo hapo communication kati ya viongozi na wahusika inahitajika mno kuwa motivate hao professionals.
 
Unajua hii tabia ya Watanzania wengi na haswa wale wanaojifanya wahafidhina wa siasa za mrengo mmoja,ndio mzee..nk ndio zilizotufikisha hapa tulipo. Mtu aikshakuwa kada wa chama anakuwa kama kukua kwake,kula kwake,elimu,fikra na yoye yanayozunguka maisha yake ni chama. Watu wa ina hii ndio hawa ambao hawataki kusikia viongozi fulani wakikosolewa kwenye chama,eti kwa sababu tu we ni kada! Ni jambo la kushangaza na kusikitisha sana kuona mtu mzima mwenye uwezo wa kufikiri anapotaka kuishi chini ya kivuli cha mtu mwingine aliyezaliwa kama yeye. Ukimuuliza mtu kama huyu mchango wake kwenye chama au nchi yake ni nini hana zaidi ya kusema "mi ni kijana",utadhani ukiwa kijana leo utaendelea kuwa kijana milele.

Ni demokrasia gani mnayoipigania isiyo na mipaka hata kufikia hatua ya kumchagulia mtu marafiki. Na isitoshe,ni viongozi au wanachama wangapi unaowajua wewe walioko Chadema wenye urafiki na watu ambao ambao sio wana-Chadema. Mbowe hana marafiki nje ya Chadema,.Slaa hana marafiki nje ya Chadema,..hii ndio itikadi yako? Kabla ya Chadema kuwepo watu walikuwa wanaishije,au wewe maisha yako yanaanzia tu pale ulipoijua Chadema. Acheni huu unafiki uliotufikisha hapa,hata hawa wazee tunaowalaumu leo hii,walianza na fikra kama hizi,za kuamini Mwenyekiti,sijui Katibu... hawakosolewi!

Mbona unaonge kilekile...Kasome democrasia vizuri ili kutupunguzia idadi ya postings.Halafu uje ona haki ya yule mzee kuongea na haki ya kutadhihakiwa.ZItoo kamdhihaki mzee ila mzee hakumdhihaki wala mjibu ingawa aliweza fanya hivyo.Kwani alishindwa sema kuwa "kijana hajakomaa na kibaraka wa CCM" si angemmaliza live na kuirudisha career yake to zero?Kwanza sijui mnafanya nini msishauri akamwombe msamaha.Yuel mzee ni mlezi wake katika chama achilia mbali kuwa muasisi.Zitto angeweza sema kitu mbadala cha kupingana nae bila mdhalilisha.

Nigekuwa mwenyekiti wake ningeitisha kikao cha dharura.CDM walimsitahi sana ili pate muda wa kuona hayo kama kweli anayo akili timamu na uelewa anachokiweka rehani hapa.Enzi ya Mwalimu ni viboko tuu.
 
Nicholas;4613674]Mukandara usidhani kwamba nimekimbia responsibility kuwa sasa hivi nakusema wewe.Sasa hivi nipo na wewe na sababu ni kwamba jinsi majadiliano yalivyokuwa yakienda na behaviour zako.ushauri wako ulihama na kwenda katika manung`uniko, manung`uniko yaliyokuwa yakikuhamisha toka kuwa mshauri, hadi kuwa mtendewa .Na hizi highlight zako zinathibitisha kuwa sasa unataka "blackmail watu kuwa wewe ni victim" hizi ni patterns zako.Nadhani utakumbuka nilipokuahidi kuwa nitadecode msg zako muda si mrefu katika Mada iliyomhusu mh. Zitto.Kwa hiyo usidhani kuwa ku play "victime kutakuondoa katika hook" I am a hardcore radical of my own huwa siamini sana "kwa mkosefu kujificha u-yatima, kuonewa".Instead unanishawishi ni press very hard.

Nadhani hapo ndipo unaposhindwa nielewa.Soon watu wengine wataelewa kabla yako.Katika hii nimekuwa niki highlight, jinsi ulivyokuwa ukianza kwa kujiweka katika shemu ya wazalendo wa CDM, baadaye ukawa unawakoromea watu humu ndani, baadaye, ukawajariu watongoza kukubali ushauri wako kadiri michango invyokuendea...Sasa un aplay victim.Kuna sehemu nyingi sana nimekulaumu..kuwa distractions ni primitive tricks ambazo hata wanyama/ndege wanazitumia na siamini binadamu mwenye vichwa corrupts kama anweza zifanya kwa ufanisi kama hao viumbe wengine.So wala usipotezee soma michango yangu huku ukijua na wengine wanasoma.halagu uje tuelezane wapi unapinga na wapi unadhani tunaweza kutenganisha na ulichoandika?Nami nitadedicate my time kwenda sambamba na hii thread.Kwani katika vitu nivichukiavyo sana katik hii "plot vipo".Pole sana kama umebeba "unga" usipende kupita palipo "canine" kwa mazingira yetu DOG.

Ushauri.NI wewe uamue jitenga na uovu watu wauondoe uovu na kukuacha au uwe sehemu ya uovu na watu wakutoe na kukutupa kwa pamoja
 
Back
Top Bottom