Waraka wangu kwa viongozi wa CHADEMA

Waraka wangu kwa viongozi wa CHADEMA

Unajua hii tabia ya Watanzania wengi na haswa wale wanaojifanya wahafidhina wa siasa za mrengo mmoja,ndio mzee..nk ndio zilizotufikisha hapa tulipo. Mtu aikshakuwa kada wa chama anakuwa kama kukua kwake,kula kwake,elimu,fikra na yoye yanayozunguka maisha yake ni chama. Watu wa ina hii ndio hawa ambao hawataki kusikia viongozi fulani wakikosolewa kwenye chama,eti kwa sababu tu we ni kada! Ni jambo la kushangaza na kusikitisha sana kuona mtu mzima mwenye uwezo wa kufikiri anapotaka kuishi chini ya kivuli cha mtu mwingine aliyezaliwa kama yeye. Ukimuuliza mtu kama huyu mchango wake kwenye chama au nchi yake ni nini hana zaidi ya kusema "mi ni kijana",utadhani ukiwa kijana leo utaendelea kuwa kijana milele.

Ni demokrasia gani mnayoipigania isiyo na mipaka hata kufikia hatua ya kumchagulia mtu marafiki. Na isitoshe,ni viongozi au wanachama wangapi unaowajua wewe walioko Chadema wenye urafiki na watu ambao ambao sio wana-Chadema. Mbowe hana marafiki nje ya Chadema,.Slaa hana marafiki nje ya Chadema,..hii ndio itikadi yako? Kabla ya Chadema kuwepo watu walikuwa wanaishije,au wewe maisha yako yanaanzia tu pale ulipoijua Chadema. Acheni huu unafiki uliotufikisha hapa,hata hawa wazee tunaowalaumu leo hii,walianza na fikra kama hizi,za kuamini Mwenyekiti,sijui Katibu... hawakosolewi!

Pamoja na haya maneno mazuri lakini uelewe pia binadamu amepewa uwezo na Muumba wake wakujua how to discern intents...Haikatazwi kuwa na mahusiano na watu wengine lakini lazima uelewe kuna boundaries ambazo zinatakiwa kuwekwa hasa kama intention ya hayo mahusiano yanaingilia interest ya institutions..i.e chama; imani; nation etc etc...Tatizo letu ambalo mimi naona linaenda na makuzi nikushindwa ku-associate na bado kubaki na misimamo yako for the interest ya audiences unazojipambanua umo ndani yake....

Ndiyo maana wengine tukajitolea kuweka misingi imara ya kiungozi kwakuzingatia ideologies ndani ya chama na hapa na zungumzia CDM ambacho ndicho naamini kwa sasa kinamwelekeo wa kuijenga nchi....Nyerere did this kwa by then CCM kabla ya hii version mpya ya ufisadi ndiyo maana bado hii misingi inahold japo baadhi ya mawe yake yameng'olewa kwa makusudi na selfish individuals lakini ndiyo nguvu hasa ya CCM hii ambayo kila elite amejikuta kama kada bila kujua kwa sababu tu ya mtu mmoja aliyeweza kuweka common vission and goals katika chama na serikali yake...Hivyo hata baada ya miaka mingi ya yeye kuondoka hiyo misingi kuibomoa imekuwa kazi mno!
 
Nashauri JF tuanzishe utaratibu wa kuwa na abstracts. Kuna posts ndefu mno kiasi cha kuweza kumfanya mtu afukuzwe kazi (kumbuka kuna mambers wengi wanaaccess JF wakiwa kazini).

Ukiandika post ndefu itengenezee abstract ya maneno kama 150 iweke pale juu, ili wadaua wa fasterfaster wapate picha nini kinazungumziwa...

Nilifikiri peke yangu nimeliona hilo.

Halafu bora mtu anaandika kitu kirefu jiwe juu ya jiwe, waaapi, fluff kibao, redundancy, meandering etc.

Tuna wengine wanalipia internet access by the hour, tuwahurumie.
 
Pamoja na haya maneno mazuri lakini uelewe pia binadamu amepewa uwezo na Muumba wake wakujua how to discern intents...Haikatazwi kuwa na mahusiano na watu wengine lakini lazima uelewe kuna boundaries ambazo zinatakiwa kuwekwa hasa kama intention ya hayo mahusiano yanaingilia interest ya institutions..i.e chama; imani; nation etc etc...Tatizo letu ambalo mimi naona linaenda na makuzi nikushindwa ku-associate na bado kubaki na misimamo yako for the interest ya audiences unazojipambanua umo ndani yake....

Ndiyo maana wengine tukajitolea kuweka misingi imara ya kiungozi kwakuzingatia ideologies ndani ya chama na hapa na zungumzia CDM ambacho ndicho naamini kwa sasa kinamwelekeo wa kuijenga nchi....Nyerere did this kwa by then CCM kabla ya hii version mpya ya ufisadi ndiyo maana bado hii misingi inahold japo baadhi ya mawe yake yameng'olewa kwa makusudi na selfish individuals lakini ndiyo nguvu hasa ya CCM hii ambayo kila elite amejikuta kama kada bila kujua kwa sababu tu ya mtu mmoja aliyeweza kuweka common vission and goals katika chama na serikali yake...Hivyo hata baada ya miaka mingi ya yeye kuondoka hiyo misingi kuibomoa imekuwa kazi mno!

Na hapa ndip nilipo na tatizo na nyie. Tusipoachana na fikra hizi za chama..chama..chama..bado tutaendelea kubaki kwenye matope,wakati lengo letu ni kurudisha gari barabarani. Kuijenga Tanzania ya sasa ni zaidi ya tofauti ya kiitikadi za vyama vya siasa,dini nk. Unadhani tukiendelea kuamini katika chama badala ya watu hivi vyama vitatufikisha wapi? Tunahitaji watu with "best minds" na si bora mtu ili mradi yupo kwenye chama unachokipenda. For the sake of your interest,unadhani tukiendelea kuamini katika chama kwanza,(mawazo ambayo naamini ni ya kibinafsi),kitafuatia nini,utasema dini,..kabila,,na mengine yenye mwelekeo huu. Kuna tatizo gani mtu aliyeko Chadema kuwa rafiki na mtu liyeko NCCR,CUF,CCM..nk,au Muislam kuwa rafiki na Mkristo bila kujali tofauti zao za kiitikadi as long as kila mtu anaheshimu mipaka ya mwenzie?

Why do we discourage the guys with vision,smart and clear minds kama Januari and Zitto. Who knows the good things Januari is doing at Bumbuli bila kujali anatokea chama gani. Kama kuna makosa kila mmoja anafanya kwa nafasi yake kosoeni badala ya kufikiria kuwatenganisha kwa sababu ya tofauti ya kivyama. Kiongozi muungwana huonyesha msimamo wake hadharani,mnafiki hujificha! This reminds me kiongozi mmoja wa chama cha siasa bingwa wa kutukana,kukashifu,kukejeli na kutaja mafisadi, lakini mwisho wa siku anaenda kwa hao mafisadi na bakuli la kuomba misaada kwa siri.
 
Mkuu wangu shukran nakiona kipande hiki...
Hivyo, Tuache UNAFIKI, tuache kujidanganya kwa unafiki wa wapambe wa vyama wanaotumia siasa kaa uwanja wa kujuana. Sisi sote ktk nafasi tulizopo na kutambua kwamba Utanzania wetu unajumuisha tofauti zetu za maumbile, makabila na imani za dini na yeyote atakaye jaribu kumdharau hata mmoja wetu ni kielelezo cha Ubaguzi ambao hautakiwi kupewa nafasi bali kuupiga vita. Hizi ndio ngao zetu, ndizo zinazo tu identify kama jamii ya Kitanzania na lazima tuzilinde dhidi ya siasa za chuki na uutengano. Bila utayari wa kuwajumuisha watu wote kwa tofauti zao kama sehemu ya Utanzania wetu itakuwa vigumu sana kupata ushindi mwaka 2015 maana CCM wanaifanya kazi yao ipaswavyo – Kushambulia nasi ktk kujilinda lazima tuwe na kinga zetu kwa kufanya vitu sawa – Doing things right
 
Hivi hamuoni aibu .....?mbona hii ni ile ile templates.Yaani mmekosa kabisa ubunifu hata kidogo.Yaani mnabadili id tuu halafu mnamwaga tena hapa.Sisngangai kwanini CDm lazima wawatoe.Hamna ubunifu hata chembe, kila kitu mnacopy na kupaste huku mki-edit vitu vidogo sana.Footer.N ahii ipo katika serikali kimeo hata sera mbalimbali huwa hamuumizi vichwa kuangalia mambo yaliyopo na yajayo, halafu mnadai ni mpya.Kwa mwendo huu hamta mweza "honeybadger".

Hiyo signature ya "mlalamikaji" aka "mshauri" na wacheza cheusi chekundi wenzie ambao wapo kuzikubali hoja kwa niaba ya CDM.

Sijakuelewa unasema nini mkuu, nadhani unahitaji kuandika kisomi na kwa mtiririko makini.
 
Sumbawanga panasikiliziwa , then tutaangalia kama hizi propaganda zitafanya chochote.M4C itasimika rasmi sumbawanga kuwa ngome ingine.CCM sijui watapata wapi akina Lusinde wengine,wakajimalize wenyewe.Pia mapandikizi yaliyojilengesha yenyewe toka CDM nayo yanapewa nafasi ya kuwa akina Lusinde.
 
Huu waraka/mwingine(a.k.a mlalanikaji) wa mshauri wetu.Huyu ndio leo anajiita mwachama wa CDM
https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/140815-nina-swali-kwa-wanachadema-4.html
Mkuu wangu imefikia mahala tuzungumze ukweli na sii kuatfuta kuwapendesha Waislaam/ Wakristu CCM au Chadema bali ukweli toka ktk nafsi zetu ndio utahesabika ktk ujenzi wa Taifa hili.

Umezungumzia Redio na gazeti la Alnoor, hivi hawa jamaa wanarusha matangazo yao toka wapi na who owns it..naomba kufahamishwa kabla hatujaendelea maanake ndio utaratibu tunaoutumia hapa JF kuzungumzia magazeti au redio zinginezo..Na mkuu wangu this is not about Chadema bali wanaChadema ambao tumekubali kubeba mabango pasipo kujua chama kinasimamia maswala gani.

Hivi kweli kwa sababu ya JK kuwa Muislaam na redio sijui gazeti la Alnuur ndio sababu ya dharau kwa Waislaam wote! Na kama ulivyosema wapo Waislaam Chadema hivi hawa watu hawaoni kama ni aibu kubwa kuwadharau waislaam kwa ujumla wake kwa sababu tu ya gazeti la Alnuur ambalo halina mahusiano na CCM wala waislaam wote?..
Na labda niwakumbushe tu kwamba wakati JK anaingia madarakani tulihoji sote hapa fedha za misaada toka Iran na Libya mbona hatukuona ubaya wowote hali ni haki yetu ya kimsingi kujua mahusiano baina ya fedha zile..Hatukupewa jibu lakini sidhani kama kuna mtu alijibu kwa dharau ya elimu ya wakristu na kuifanya hii kuwa agenda ya Wakikristu..Leo tunahojiwa sisi, matusi yanatoka kwa wanachadema tena hawana hata uongozi wa kata!... hii hatari kwa chama.

Its pathetic kudai kuwa anafanyiwa personal attacks.Hakuna chembe ya balance.Alishapotoka long time.Hivi na uamsho uliukemea hivi?
 
Wee mchungaji shika adabu yako ikushike alaaa - unawashwa nini?... mbona hukuanza na mada yenyewe:- Kwa nini baadhi yenu mnapenda sana kudharau Madrasa au elimu ya Waislaam kwa ujumla? https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/140815-nina-swali-kwa-wanachadema-4.html
 
Nitasema jambo moja zito- labda mbeleni nitaliangalia zaidi - ni wagumu sana kushaurika. Wametengeneza cocoon ya kujilinda kiasi kwamba ni vigumu sana kuweza kutoka ndani. Na kama kuna kitu kitakachosababisha waendelee kuwa wapinzani wa kudumu siyo kukosa ushauri au mawazo mapya bali kutokukubali kubadilika.
 
Hizo hasira tunazijua +vitisho+kupayuka+matusi+kubembeleza point ikubalike+kuita wengine hawajui etc ndio kawaida yako.Ili kuweka records sawa hakuna kitu binafsi na jinsi gani posting zako zinaku betray, mada yenyewe ipo katika hiyo link hapo juu.Labda tuu nikuonyeshe wapi ulipoiandika just after kupewa sifa na ndege wa rangi yako Ritz.Nataka kila mtu aone kabisa hukuwa na sababu ya kuandika haya,kama kweli ulikuwa na uzalendo na busara unazotaka jivisha ili u brainwash watu kama ulivyofanyiwa wewe.Bado ulikuwa na nafasi ya kukemea waliodharau au kufanya kitu kibaya kwa busara za kawaida tuu.
Heshima mkuu Mkandara.
Nimesoma michango yako kwenye hii thread yako kuna hoja nyingi za ujenzi umeziongea, kuhusu baadha ya wana Chadema kudharau mafundisho ya dini ya Kislam na kutumia neno Madrasa kama kejeli kwa Waislam, kama umesoma Al nuur ukakutana na kitu kimekuudhi halafu ukaja JF, ukaanza kukejeli Waislam wote ukagongewa Thanks ukadhani unawakoga Waislam kumbe ujui hizo kejeli zako zinazidi kukipaka matope Chadema sababu, kuna baadhi ya wana Chadema JF, kila siku wanawatoa Waislam ndani ya Chadema kutokana na kejeli zao dhidi ya Waislam, uwezi kuwakejeli Waislam sababu ya JK, kuna Waislam wengi tu awamkubali JK, ata kama ni Muislam mwenzao
Mkuu wangu imefikia mahala tuzungumze ukweli na sii kuatfuta kuwapendesha Waislaam/ Wakristu CCM au Chadema bali ukweli toka ktk nafsi zetu ndio utahesabika ktk ujenzi wa Taifa hili.

Umezungumzia Redio na gazeti la Alnoor, hivi hawa jamaa wanarusha matangazo yao toka wapi na who owns it..naomba kufahamishwa kabla hatujaendelea maanake ndio utaratibu tunaoutumia hapa JF kuzungumzia magazeti au redio zinginezo..Na mkuu wangu this is not about Chadema bali wanaChadema ambao tumekubali kubeba mabango pasipo kujua chama kinasimamia maswala gani.

Hivi kweli kwa sababu ya JK kuwa Muislaam na redio sijui gazeti la Alnuur ndio sababu ya dharau kwa Waislaam wote! Na kama ulivyosema wapo Waislaam Chadema hivi hawa watu hawaoni kama ni aibu kubwa kuwadharau waislaam kwa ujumla wake kwa sababu tu ya gazeti la Alnuur ambalo halina mahusiano na CCM wala waislaam wote?..
Na labda niwakumbushe tu kwamba wakati JK anaingia madarakani tulihoji sote hapa fedha za misaada toka Iran na Libya mbona hatukuona ubaya wowote hali ni haki yetu ya kimsingi kujua mahusiano baina ya fedha zile..Hatukupewa jibu lakini sidhani kama kuna mtu alijibu kwa dharau ya elimu ya wakristu na kuifanya hii kuwa agenda ya Wakikristu..Leo tunahojiwa sisi, matusi yanatoka kwa wanachadema tena hawana hata uongozi wa kata!... hii hatari kwa chama.
Pima mwenyewe kama unastahili jiita mwanaCDM?Najua kwa staili hii inaelekea ndie walewale waandao midahalo isiyo na heshima huku mkijipa uchungaji etc.Hamna tofauti na CUF.Slowly unaanza thibitisha I was right from the firts palce.Kuwa hata Jina Waraka-Mkandara-mwana CDM-umekomaa na (udini,ukanda,ukabila) na kama main character wako anaweza kuwa na tabia kama zako.

Ni wapi ulipata authority za kunitisha kuwa kama si mwanachama wa CDM siwezi ielewa kama wewe.Mbona nimekuelewa wewe zaidi ya unavyojielewa kwa kusoma ulichoandika muda mfupi tuu,nikakuahidi ku decode?Utang`aka sana ila sasa watu watakuwa huru kuangalia unachokiweka hapa kwa mtazamo mwingine.Na kuwatisha kuwa umewazoea ,wanakupinga kila kitu.Hata ulipo utakuwa umechosha watu hivi hivi.Mungu katuwekea kitu,katika michoro mingi huwa tunajaribu weka kitu kinachotu reflect sisi au jamaa zetu,ila mara nyingi ni mawazo yetu,mitazamo yetu.

Sijui kwanini unajiweka mahali waangukiapo si "fallen heroes but villains ".You are trying very hard to cross all the road blocks to satan home.So next time ukianza jipikia sifa jua watu wameshakuona ulivyo.

Kwa jinsi hii lazima uone jukwaa la siasa halinogi.Kwani kushindwa kwako si kitu unachokitaka.
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/214083-jukwaa-la-siasa-halina-mvuto.html
 
Hizo hasira tunazijua +vitisho+kupayuka+matusi+kubembeleza point ikubalike+kuita wengine hawajui etc ndio kawaida yako.Ili kuweka records sawa hakuna kitu binafsi na jinsi gani posting zako zinaku betray, mada yenyewe ipo katika hiyo link hapo juu.Labda tuu nikuonyeshe wapi ulipoiandika just after kupewa sifa na ndege wa rangi yako Ritz.Nataka kila mtu aone kabisa hukuwa na sababu ya kuandika haya,kama kweli ulikuwa na uzalendo na busara unazotaka jivisha ili u brainwash watu kama ulivyofanyiwa wewe.Bado ulikuwa na nafasi ya kukemea waliodharau au kufanya kitu kibaya kwa busara za kawaida tuu.

Pima mwenyewe kama unastahili jiita mwanaCDM?Najua kwa staili hii inaelekea ndie walewale waandao midahalo isiyo na heshima huku mkijipa uchungaji etc.Hamna tofauti na CUF.Slowly unaanza thibitisha I was right from the firts palce.Kuwa hata Jina Waraka-Mkandara-mwana CDM-umekomaa na (udini,ukanda,ukabila) na kama main character wako anaweza kuwa na tabia kama zako.

Ni wapi ulipata authority za kunitisha kuwa kama si mwanachama wa CDM siwezi ielewa kama wewe.Mbona nimekuelewa wewe zaidi ya unavyojielewa kwa kusoma ulichoandika muda mfupi tuu,nikakuahidi ku decode?Utang`aka sana ila sasa watu watakuwa huru kuangalia unachokiweka hapa kwa mtazamo mwingine.Na kuwatisha kuwa umewazoea ,wanakupinga kila kitu.Hata ulipo utakuwa umechosha watu hivi hivi.Mungu katuwekea kitu,katika michoro mingi huwa tunajaribu weka kitu kinachotu reflect sisi au jamaa zetu,ila mara nyingi ni mawazo yetu,mitazamo yetu.

Sijui kwanini unajiweka mahali waangukiapo si "fallen heroes but villains ".You are trying very hard to cross all the road blocks to satan home.So next time ukianza jipikia sifa jua watu wameshakuona ulivyo.

Kwa jinsi hii lazima uone jukwaa la siasa halinogi.Kwani kushindwa kwako si kitu unachokitaka.
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/214083-jukwaa-la-siasa-halina-mvuto.html
wee mchungaji Mrema, umeelewa nini sasa hapo juu.. husemi unachokipinga isipokuwa una quote tu maneno ya watu.. funguka! au hadi upakwe mafuta..
 
JF Senior Expert Member
verified.png
Array

Join Date : 2nd March 2006
Location : T dot
Posts : 13,110
Rep Power : 7121
Likes Received4252
Likes Given3733
https://www.jamiiforums.com/great-t...o-vinavyohusika-na-takwimu-3.html#post4618275

[h=2]
icon1.png
Re: Kwanini waislamu hawana imani na vitengo vinavyohusika na takwimu?[/h]
quote_icon.png
By JokaKuu
Kichuguu, Mkandara, Nguruvi3, Mohammed Shossi,

..jamani hii mijadala ya DINI hamtofikia suluhu hata siku moja.

..unaweza kukuta mtu ni very objective and understanding, lakini linapoingia suala la dini tu anakuwa mtu tofauti kabisa-kabisa.

..binafsi sijui hii nchi inapoelekea ni wapi, lakini mijadala ya dini hapa JF inanipa wasiwasi sana na kinachoweza kutokea huko mitaani.

..baada ya mauaji ya kimbari kule Rwanda, sasa wenzetu wamepiga marufuku utaratibu wa kutaja makabila yao.

..tunachopaswa kufanya ni kuazimia kuishi pamoja kama WATANZANIA na masuala ya dini yawe ya mtu binafsi.

Mkuu wangu unaponiona mimi naingia kt mijadala ya dini ni kwa sababu napenda sana tuondoe chuki baina yetu maana imekwisha ingia na inatumaliza. Nimeyasoma na kuyasikia malalamiko ya waislaam pamoja na kutokuwa na wawakilishi wa maana nimewaelewa kama nilivyowaelewa wasukuma wa Bulyahulu au Wamasai wa Loliondo. I have big problem kwa nini ndugu zangu wakristu wanashindwa kuona kwamba swala hili la MuO linavunja UTANZANIA WETU..I have propblem with that.. halafu linapaliliwa sana hapa JF kwamba it's okay hata kama ni kinyume inajaliwa services zake! Hatuwezi kusema sisi Watanzania ikiwa kuna kundi la watu wanadai kubaguliwa halafu hatuna majibu isipokuwa tunawalazimisha wakubali hali hiyo. Tofauti na Kagame ambaye kaweka uwanja sawa halafu kasema nione mtu akizungumzia Ukabila maana hakuna mahala unapoweza kusema Wahutu wanaonewa chini ya Utawala wake. na kinachokatazwa ni kuzungumzia vita ile hasa akiwalenga kabila lake mwenyewe kutolipa kisasi kwa sababu yeye yupo madarakani.

Hatuwezi kutumia maneno matupu basipo vitendo maana waswahili wanasema;- Ada ya mja hunena ya muungwana hutenda. Sina maana mbaya hata kidogo isipokuwa niliyaona haya Bongo ktk vijiwe na kujua kwa uhakika kumbe chuki imeanzia hapa! we never had this thing wakati wa mwalimu isipokuwa toka Kuingia Mwinyi 2nd term tulijikuta ktk hali mbaya sana na Mkapa aliweza nusu japo kwa nguvu lakini hakuyamaliza. Kama navyosema siku zote, mimi sipendi unafiki kuficha kile nacho kiamini kwa kusema uongo na nachelea sana ya Rwanda kutokea sababu ya kitu ambacho tunaweza kabisa leo kukiweka sawa.​

Last edited by Mkandara; Yesterday at 16:13.​
 
wee mchungaji Mrema, umeelewa nini sasa hapo juu.. husemi unachokipinga isipokuwa una quote tu maneno ya watu.. funguka! au hadi upakwe mafuta..

Utatapatapa sana, kabla ya kutulizwa ili uanze discussion honesty,discussions zinazotafuta suluhu na si brainwash watu,kukejeli watu,by the way nimesoma sana postings zako za long time.Duh umejitahidi sana jilinganisha na kumchokonoa Mbowe, mapaka umemwambia helcopter ilikuwa sifa tuu.Sasa mbona kila mtu kathibitisha CDM walifanya uamuzi sahihi,ulionyesha CCM na wewe ni problems.Ulionyesha kuwa CCM hawajajenga barabara sasa wao ndio wataonya adha ya ubovu huo.

Sasa huoni aibu na kujifunza kuwa nguvu zote ulizotumia bado umeshindwa?
 
Nitasema jambo moja zito- labda mbeleni nitaliangalia zaidi - ni wagumu sana kushaurika. Wametengeneza cocoon ya kujilinda kiasi kwamba ni vigumu sana kuweza kutoka ndani. Na kama kuna kitu kitakachosababisha waendelee kuwa wapinzani wa kudumu siyo kukosa ushauri au mawazo mapya bali kutokukubali kubadilika.
Asante!.
 
Back
Top Bottom