Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

MTOTO akililia wembe mpe, hebu tuwape WAZANZIBAR sehemu yao tione nini watafanya, mipak ya maeneo yote yanajulikan n vilivy vyao pia vinajulikan.

Tuhuma nying kw sasa zitatanda ili mdai haki aonekane hana haki, mara wanasaidiw, wanachafua amani, wanaiping dini flani, wanmdhihaki kiongoz au serikal na meng yatatokea kw viongzi na hata watu wakawaid.

Kwakwli WAISLAM na WAZANZIBAR waliyajua iko siku yatatokezea lkn hawana habar nay kwni nikawaida za changamoto kweny kudai maendeleo.
 
hivi ni kweli hatuwezi kuchunguza mauaji na vurugu zinazofanyika Zanzibar mpaka tusaidiwe na hao CIA, mosab au ni namna tu ya kujikosha? if that is the case usalama wetu uko mashakani

Ni kama Mama yako au kiongozi wako akiiba kwenu ma wewe ndie unamwona na unaogopa kumkamata, akatamani akamatwe na mtu wa mbali na wewe, wauwaji wanajulikana vizuri tu, ila wamepewa kazi na viongozi hasa wa SMZ sasa JK afanye nini?
 
Ndugu hebu someni waraka huu uliosambazwa Zanzibar muone tunakoelekea





JE!!!! Serikali, pamoja na wana Usalama wote... Intelejensia, usalama wa Taifa... na engine wote mlizingatia na kusoma neno hadi neno la waqraka huu... kama ndio mlichukua hatua gani??? maana watatoka kwa Wakatoloki sijui watahamia kwenye taasisi gani.....
 
waraka unasikitisha, ila nashukuru mungu cause viongozi wa kikristo bongo zao zinafanya kazi na niwapenda amani,Na bila ya ubishi ndio wanaoishikilia amani ya hii nchi,
ushauri wa bure kwa hao wanaotamani kuona siku moja tz inakuwa nchi ya kiislamu,"kwa nini msihamie mali,somalia au sirya(cause mna hamu ya kushuhudia vita na umwagaji damu) inshaalah mola akiwasaidia mjitawale kwa hizo sharia zenu" Nawaomba mtuachi nchi yetu ya matunda na asali.
 
Ndugu yangu, hujitakii mema wewe, unawaambia waislam habari ya mtume paulo, kwao mtume paulo ndiye adui namba moja ya Waislam, hawawezi kusoma chochote cha mtume Paulo, Mtume Paulo ni moto na ni sumu kwa Uilsam kwa kuwa Paulo japo alihubiri mamia ya miaka kabla ya Uislam lakini kama vile alikuwa ameandaa movie ya dini itayokuja ambayo ni Uislam na kusema itawapotosha wengi,na kweli imewapotosha na kuwapofusha mamilioni ya watu.
Anaitwa Mtume Paul KIBOKO ya mjahidina
 
Mzizi wa Fitna hadi wakristo wanaitwa MAKAFIRI ni huu hapa:


QURAN 5:72-73
72. Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu!
Na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahala pake ni Motoni. Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru.
73. Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja.
Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru
 
mimi napatashaka kidogo juu ya hili, ukiongea na waislam juu ya hili watakwambia kua hao watendao sii waislam bali ni watu wenye agenda zao. Ok. Kama ndio hivyo mbona sioni kelele, maandamano nk ya waislam wa kweli kulaani mambo haya kama ilivyotokea kwenye ishu za kuchinja au dhamana ya Ponda,? Au ndo unafki wenyewe
 
[h=2]Wednesday, February 20, 2013[/h][h=3][/h]




UAMSHO.jpg


at 5:02 AM
 
This is a big problems.
Kikwete pitia hapa ucheki taarifa hii na uifanyie kazi haraka.
 
[h=2]Wednesday, February 20, 2013[/h][h=3][/h]




UAMSHO.jpg


at 5:02 AM

mkuu cha mchina kimeshindwa kusoma kizoooom basi tusome ujumbe.
Mytake. Hizi waraka zinazosambazwa nafikiri tunaelekea kubaya.
 
1. Rais
2. Makamu
3. Rais wa zanzibar
4. Makamu wa kwanza wa rais wa zanzibar
5. Makamu wa pili wa rais wa zanzibar
6. Igp.
7. Mkuu wa usalama wa taifa
8. Jaji mkuu

Kwa orodha hii hata ustaadhi ilunga watasema hawamuoni!... Na magaidi ya Zanzibar watazuga ili yaendelee kuchinja!
 
Hawa Jamaa naanza kuwachukia sasa maana nimewavumilia sana kuwapenda, waraka gani huu sasa! Kwanini tusivunje muungano tuwaache na nchi yao?

Kaka kwa uthibitisho gani unaokupa 100% waraka umetoka kwa jamaa wa uamusho. Ingawa Personal sipingi kwa 100% pia.
Je ni nembo? Mbona ni issue ndogo sana kwa watu wanajua basic za photocopy, sizungumzii computer.
Tz inapitia katika wakati mgumu sana. Kuna siasa, udini, umafia na personal issues kama ya yule shehe aliyemwagiwa tindikali. Hapa JF ilisemwa ni uamsho ila ukweli ulijulikana.
Wacha tueaache polisi, tiss wafanyekazi zao, hata kama tumepoteza imani lakini issue kama si siasa basi jamaa wapo makini bado

Mungu atabariki wauwaji wajulikane, ila kuna uwezekano lisiwe ambalo wengi tungependa kulisikia, mungu ibariki tz
 
mWISHOWE TUTAWAINGIZA HAWA WANYAMA MISIKITINI MWENU.

View attachment 83811

View attachment 83812

Kaka kwa uthibitisho gani unaokupa 100% waraka umetoka kwa jamaa wa uamusho. Ingawa Personal sipingi kwa 100% pia.
Je ni nembo? Mbona ni issue ndogo sana kwa watu wanajua basic za photocopy, sizungumzii computer.
Tz inapitia katika wakati mgumu sana. Kuna siasa, udini, umafia na personal issues kama ya yule shehe aliyemwagiwa tindikali. Hapa JF ilisemwa ni uamsho ila ukweli ulijulikana.
Wacha tueaache polisi, tiss wafanyekazi zao, hata kama tumepoteza imani lakini issue kama si siasa basi jamaa wapo makini bado

Mungu atabariki wauwaji wajulikane, ila kuna uwezekano lisiwe ambalo wengi tungependa kulisikia, mungu ibariki tz

Magaidi utawajua tu!. Mbona waraka wa ustaadhi ILUNGA mnaupinga!...
 
Usidhani akifa Ponda, Ilunga na Farid ndio kupona.

Kwanza wakifa hao ndio moto utawaka vibaya. Wakifa wao ni faida kwetu na kwao wenyewe pia,kitakachobaki ni mimi na wewe kumtafuta wakumtanguliza mwenzie. Ukiniua sina hasara! Vita ikifika mlangoni ndio utajua ubaya wake na wala sio kitu cha kushabikia, unashabikia kwakuwa unatazama tu kwenye tv ngoja siku hali ikufike hapo hutatamani tena na utaona bora uendelee kutazama kwenye TV.

Mateso na manyanyaso zaidi kwa jamii yetu waislam hatutavumilia. Amani ni tunu yetu sote basi na tuilinde. Walioua Zanzibar wanasababu zao binafsi kwakuwa Uislam haufundishi kuuwa watu bila ya hatia lakini kama mtu wetu kauliw bila ya hatia tunaruhusa ya kulipiza kisasi.

Serikali iliendee suala hili kwa umakini mkubwa sana na endapo watajichanganya hapo ndio umwagji damu Tanzania utakuwa rasmi!

Hata wewe sijakuelewa kama unahuzunika ama unashabikia! msijivunie pumzi na akhera na jehannum yangoja kuwameza ndugu zangu, heri uamini utubu kisha usikute kuliko usiamini ukashindana na MUNGU kujifurahisha nafsi yako kisha uzame moto wa milele.
 
Back
Top Bottom