jamii01
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 1,988
- 1,437
haya yanayoendelea zanzibar kwa ujumla viongozi wa juu wa serikali na chama wanajua,si kwamba hawajui,mengineyo anayoyasema JK ni upambe tu wa mdomoni lakini moyoni siyo.Mbegu kama hizi ameanza kuzipanda mda .Ngoja na upande mwingine na wenyewe wachoke.tuone nini kitakachotokea.
Kikundi kama cha uhamsho inajulikana na viongozi wake wengine wapo mitaani na wanajua kabisa jeuri wanayoifanya nguvu inapatikana wapi ikiwepo kusaidiwa kifedha pia kutoka nje.
Kikundi kama cha uhamsho inajulikana na viongozi wake wengine wapo mitaani na wanajua kabisa jeuri wanayoifanya nguvu inapatikana wapi ikiwepo kusaidiwa kifedha pia kutoka nje.