Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

Waraka wa UAMSHO unaochochea machafuko Zanzibar

Usidhani akifa Ponda, Ilunga na Farid ndio kupona.

Kwanza wakifa hao ndio moto utawaka vibaya. Wakifa wao ni faida kwetu na kwao wenyewe pia,kitakachobaki ni mimi na wewe kumtafuta wakumtanguliza mwenzie. Ukiniua sina hasara! Vita ikifika mlangoni ndio utajua ubaya wake na wala sio kitu cha kushabikia, unashabikia kwakuwa unatazama tu kwenye tv ngoja siku hali ikufike hapo hutatamani tena na utaona bora uendelee kutazama kwenye TV.

Mateso na manyanyaso zaidi kwa jamii yetu waislam hatutavumilia. Amani ni tunu yetu sote basi na tuilinde. Walioua Zanzibar wanasababu zao binafsi kwakuwa Uislam haufundishi kuuwa watu bila ya hatia lakini kama mtu wetu kauliw bila ya hatia tunaruhusa ya kulipiza kisasi.

Serikali iliendee suala hili kwa umakini mkubwa sana na endapo watajichanganya hapo ndio umwagji damu Tanzania utakuwa rasmi!

Du Kumbe kuna dini zingine zinaruhusu kulipiza kisasi.. du hii mbay asana.
 
Nakupa like mkuu, inanipa tabu kuamini waraka husika.
Kama ni kweli basi siamini kama ni watu ambao wanaweza kutimiza uhalifu wowote bila kujulikana kabla.

inanipa tabu kujihusisha na mijadala hii yenye watu wanaofanya utani ktk mambo mazito bila kuchunguza kwanza maana wananipa hasira.ninae rafiki yangu ambaye alitoroka huko somalia.wapo vijana wengi waliokwenda huko na walishindwa maisha huko mafunzoni na wamerudi tuko nao mitaani,wanatusimulia mambo mengi tu na wanajutia na baada ya kutoka huko huo uislam wenyewe hawataki hata kuusikia tena,wameamua kuwa circular tu,hawataki uislam wala ukristo,dini zote wanaona miyeyusho wapo wapo tu.mie ninazo picha na dvd za huyo rafiki yangu bahati mbaya siwezi kuzipost humu maana sitaki kumharibia maisha yake.ameshachagua mwelekeo mwingine and thanks God he is doing fine.mie mkristo,yeye muislam lakini nimeukubali ukweli kuwa yeye ni binadamu anayeweza kukosea kama wengine na kusamehewa.amebadilika sana sana.amekuwa mtulivu na hapendi masuala ya dini kabisa.mie naenda nae taratibu ili siku moja abatizwe na muelekeo nauona.Namuomba MUNGU amsaidie.Nyinyi mnaozungumzia mada hizi i don't know kama you REALLY KNOW WHAT'S GOING ON DOWN HERE IN THE STREETS!mnawaharibia vijana future zao kwa kuwaaminisha upumbavu usio na kichwa wala miguu,you destroy our future through producing a lot of criminal minds in our young generation for the sake of your bullshit beliefs ambazo hata wakiamka mitume leo hawatazitambua!let me end up here nahisi maneno machafu yanajaa mdomoni,pumbavu kabisa!
 
"Insha allah kwa nguvu za allah"
Aisee! Kumbe huyo allah anaagiza hayo mauaji, sasa jamani nitakosea nikisema allah ana dhambi, na ataungua moto jehanamu?
Hata dini yenyewe ilienea kwa Jihad: vita ya kiimani, kuua ili kusambaza imani ya kiislam. Haya yote yalifanyika kinyume na mategemeo na muongozo wa mafundisho ya mtume Muhammad S.A.W.
 
Wewe vipi usiniletee comedy na viroja...wahi vatican huko kuna batch mpya ya mashoga wanafunga ndoa kwa mkupuo
ahahahahaa! Umesahau ya shehe qasim, ule mchezo wa kisilamu ambao kule kandahar, hata kunguru anaruka kwa bawa moja lingine anaziba tigo mnatisha dogo! yaani mlivyo noma hata mzee mzima mudi kakalia mjengo kule taifu!
 
mshikeni sana elimu na msimuache aende zake,,
na pia elimu ni chanzo cha maarifa.
Kila jambo lina msingi wake, Msingi wa kuwa mwerevu, kuwa na hekima, kuwa na busara na kufanya maamuzi sahihi ni elimu!
Nawasihi baadhi ya hawa waislam wasio na utu,
waache upumbavu wa kuitisha mihadhara isiyo na maana na kuwaita wenzao makafiri,, wasome waweze kufanya maendeleo na kukuza uchumi,, wanayoyafanya ni mkumbo tu na uwezo wao mdogo walionao wa kufikiri!
Elimu ndio njia pekee itakayosaidia na si vinginevyo!
 
Wewe vipi usiniletee comedy na viroja...wahi vatican huko kuna batch mpya ya mashoga wanafunga ndoa kwa mkupuo

sidhani hiki mnachobishiana na kukejeliana hapa ni msingi wa hoja yakinifu, nadhani, watoto wetu wamefeli, asilimia sitini ni ziro, na kati ya waliofeli wapo akina mariam na marry, issa na daudi, hebu wote acheni ushabiki wa kitoto tujadili namna ya kusaidia jamii yetu. Matusi,kejeli,dhihaka,dharau na ghiliba sio msingi wa umoja na mshikamano. Tena nawaambia,wate mnaojitia vishadadi vya kuipenda vurugu,vita, nyie ni wavivu ndio maana badala ya kufikiri ya maana ambayo hutumia akili kuyang'amua mnajazwa na hoja nyepesi za matusi. Hivi ukafika uko mbinguni kwa Mungu/Allah akawauliza ya nini mlikuwa mnanitukana kwa upuuzi na chuki zenu za kibinadamu MTAMJIBU NINI?. taifa litajengwa na wenye akili na nyie na kati ya hao wenye akili. Badili akili zenu kimtazamo chanya. NAIPENDA NCHI YANGU NA WAISILAMU NI NDUGU ZANGU.
 
Mheshimiwa mimi nimemrudhishia tu yule aliyeanza Kukejeli waislamu...ningekuona wa maana sana kama huu ujumbe wako ungemfikishia aliyeanzisha haya yote...
Au kwa sababu ni mwenzako umeona unirukie mimi ?
 
hapana ndugu yangu, nimekuona wewe, maana nafsi yangu imekuamini. Katika simulizi fulani ya mafundisho ya mtume, niliwahi kusimuliwa na mzee mmoja rafiki yangu alisema kwamba mtume aliwahi kusema" mwenye kuishinda hasira yake basi ndiye mwenye nguvu duniani" ndugu yangu hata kama ningeandika maneno haya kwa mwingine kinyume na imani yako, basi ungeweza kusema"mmeungana ili kunisema" siamini kwamba tunapaswa kutatua yetu kwa njia hii na pia ukitaka kujua sijakosea kuandika ujumbe wangu kwako angalia ulichonijibu. Haukunitukana wala kunikejeli na hii inamaanisha mimi na wewe tunaweza kubadili mitazamo ya kifikra humu na kwingineko. Asante kwa heshima yako ndugu yangu.
 
Huo waitwa ujeuri,
OKOKA mkubali MUNGU MMOJA, na YESU kuwa BWANA NA MWOKOZI WAKO, UMKIRI
uione pepo vinginevyo ukateketee na mapepo..wallahi tutaangamia

Ni mwamini Mungu mmoja gani? Baba, Mwana au Holly Ghost?
 
Wewe vipi usiniletee comedy na viroja...wahi vatican huko kuna batch mpya ya mashoga wanafunga ndoa kwa mkupuo
Unajua kabisa kuwa ushoga sio maagizo ya ukristu lakini unaongea tu ili kujifariji, kwa nini lakini?, hujasoma kuwa mtume muhammad anakuagiza kuwa torati, zaburi, injili, yaani biblia kwa ujumla ni vitabu vitakatifu vya mungu?
 
Ndugu hebu someni waraka huu uliosambazwa Zanzibar muone tunakoelekea

attachment.php
Hehehe kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuamini hata siku moja kama huu waraka umetolewa na UAMSHO
kwa hali ilivyo zanzibar hivi sasa UAMSHO hawawezi kufanya hayo

Kuna agenda ya siri na serikali inajua lakini huyo anaefanya hivi basi ajue anaiweka Zanzibar na Tanzania pahali pabaya
 
Unajua kabisa kuwa ushoga sio maagizo ya ukristu lakini unaongea tu ili kujifariji, kwa nini lakini?, hujasoma kuwa mtume muhammad anakuagiza kuwa torati, zaburi, injili, yaani biblia kwa ujumla ni vitabu vitakatifu vya mungu?

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu...wewe yule mwenzako aliyesema Allah ameingia motoni unamuona yupo sahihi ?

Mfundishe yule kwanza kabla ya kunifata mimi
 
ndugu hebu someni waraka huu uliosambazwa zanzibar muone tunakoelekea

attachment.php
huu waraka ni lazima uwe wa jemedari shetani hawa wanatumiwa tu katika kazi kueneza injili yake ya unyama na uovu na hofu kwa wasio na hatia. Xxxxxxxxxxxxxxxxx
lazima moto uwakute hapa hapa tanzania na wala sio duniani haphapa laivu mtandao mzima
 
Ni mwamini Mungu mmoja gani? Baba, Mwana au Holly Ghost?

Mungu m1 huyo ka humjui leo bas cjui uekwe kundi gan,tabu yetu tunashadadia sana,hatupimi maandiko ,the only way to see God ni thru Jesus.ukitaka chukua ukitaka potezea
 
huu waraka ni lazima uwe wa jemedari shetani hawa wanatumiwa tu katika kazi kueneza injili yake ya unyama na uovu na hofu kwa wasio na hatia. Xxxxxxxxxxxxxxxxx
lazima moto uwakute hapa hapa tanzania na wala sio duniani haphapa laivu mtandao mzima

Umeona eh?hz ni Satan's propaganda,watu wanaona raha kujbzana upuz.
 
Umeona eh?hz ni Satan's propaganda,watu wanaona raha kujbzana upuz.
Yap!, huyo ni kamanda LUCIFER akiwa kazini, biblia inasema ameshuka duniani akiwa na ghadhabu nyingi akijua kuwa ana muda mchache tu, ndio maana unaona anaamrisha ua padri, ua kafiri, mwagia tindikali Soraga, Biblia inaendelea kuonya kuwa OLE WA NCHI NA BAHARI.
 
Back
Top Bottom